aka mabanzi......
hapa ni kazi tu
halafu wewe nahisi ulikuwa huendi parade hahahhaaha....unashinda half mile jioni huyoooo msiwasi
2015 wote hawa watapiga kura
si mchezo mkuu mambo ya ipamba. asante mkuu tupo pamoja ktk ukombozi wa taifa, huku wazungu wananiambia hawaifagilii kabisa CCM. Kinachoendelea huko jamaa wanafuatilia dakika kwa dakika na ripoti inatumwa kila siku, wamechoshwa na hao gambas, hawana mchezo CCM lazima iondoke madaraki hata kama itachukua muda.
Wachagga wa Iringa hao!
wazee hawa ni kamati ya shule ya mwembetogwa walikuwa wamtumwa na ccm ili kuzuioa chadema kutumia uwanja wa shule hiyo kwa shughuli ya leo
kwa mujibu wa nape ni lazima wafuatao wapewe majina yafuatayo ili cdm ikae vizuri:dr w. SilayoChadema eti chama cha Wachanga, aka chama cha ukoo, hawa nao wenye ngozi nyeupe wanashagilia ukoo wa nani? Hawa wanaoandamani ni wachaga? Sikujua kama kuna wachaga wazungu, hehehe mwaka huu watu maduka ya madawa yaongezee vidonge vya kuteremsha BP.
Haa haa haa!!!!!!!!!!!. Ama kweli chadema kinawakosesha watu usingizi wasiokuwa na maisha magumu. Kwa stahili hii utafikiri wanaomboleza kifo cha ccm. Halafu mbona wanajihami hami sana au wanaogopa nguvu ya umma. Inaelekea hawajaisoma historia ya Tarime ikawaingia akilini. Na wahehe, wabena walivyo kama moto wa kifuu.wazee hawa ni kamati ya shule ya mwembetogwa walikuwa wamtumwa na ccm ili kuzuioa chadema kutumia uwanja wa shule hiyo kwa shughuli ya leo