William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Viongozi wa kitaifa Mawaziri na wabunge wa CCM wameshindwa kabisa kufikiria juu ya kuokoa nji hii!
Kukua na kupanuka kwa kasi kwa CHADEMA Na asasi za kiraia na wanaharakati kumewafanya badala ya kupanga mikakati ya kuendesha nchi kwa makini wanawaza jinsi ya kuigawa na kuisambaratisha Chadema. Akili hii inafanya selikali kushindwa kabisa kujiendesha kwa viongozi wake kushindwa kujiendesha na kuyaacha mambo yakienda ovyo ovyo
Jk anatumia akili nyingi kuwalinda wanasisiemu wezi wa kula kama akina Masele, wasira, mahanga na wenzake akizani anawakomesha CHADEMA kumbe mbinu hizo ndizo Zinazoiangamiza Taifa.
Juzi badala ya mawaziri kukaa kuandaa bajeti vizuri yenye tija na mvuto na yenye matumaini wakaa wanaandaa mikutano ya vijembe juu ya chadema Jangwani arafu mwisho wa siku aibu yao.
Selikali mbinu ya kuiua CHADEMA ni hii hapa. Pandisha mishahara, thibiti rushwa na mfumuko wa bei. Thibiti wizi wa mali ya umma na imarisha huduma za afya, majisafi na shule ila kwa propaganda mnajichimbia kabuli