Elections 2010 CHADEMA inaweza kupoteza wabunge wengi 2015

Siamini kuwa hayo yatatokea.

CHADEMA cannot be the sole party with the responsibility to give civic education to the masses. Ni jukumu la kila chama cha siasa, Asasi zisizo za Kiserikali na mtu mmoja mmoja. Chadema wanafanya kazi kubwa sana ya kuelimisha umma na bado mchakato utaendelea hadi 2015. Hata wachache wakiianguka hiyo ni gharama ya ukombozi, waliobaki watasonga mbele hadi ushindi. Kama si 2015 basi 2020, nk.

Nimeshawi kusema katika forum kwamba tatizo la Watanzania wengi ni kupenda kutaka kufanyiwa mambo wakati wao wakikaa pembeni kama vile hawahusiki. Where ARE YOU BROTHER? JOIN THE STRUGGLE AND PLAY YOUR PART. TANZANIA NI YETU SOTE, SIO YA CHADEMA.

The struggle continues. GOD BLESS TANZANIA.
 
Nape (Naam !) kazi yako (wewe huna kazi wafanya nn sasa ?) tunaiona (sawa si macho unayo) , misukule yako (akili finyu ya kuwaza misukule) inajitahidi (tunashukuru) kweli tatizo ni kuwa wote wana mtindio wa ubongo (na wewe una udumavu wa fikra na juzi umetoka hospitali ya vichaa) , unaenda kuchukua watu wa mihadhara (mbona wewe ni kibaraka wa Pengo na umetumwa na CDM kwa niaba ya kanisa ) ndiyo waje wafanye (njoo na wewe ufanye pia) mashambulizi hapa , pole sana (na wewe pole kwa kuwa na fikra mgando na kutumiwa vibaya )

Huyu anayeitwa thinktwice nadhani hata anachojibu hapo kinatia shaka kabisa, anasema mwenzake ana fikra mgando wakati yeye anakariri tu taarifa za akina Mazingine, na jinsi alivyoandika nadhani ni mhudhuriaji mzuri katika ile mihadhara ya mbagala Zakhem. U
Kutaja ukristo na CDM, ni dharau kwa wakristu na ukristu, na Pengo kuingizwa kwenye maandishi yako yasiyo na hoja za msingi ni kuonyesha ushaifu na kuudhalilisha dini yako. Labda kama ulizaliwa uarabuni na umeoa uarabuni. Tanzania kuna mwingiliano mzuri tu, haya huyo pengo Mkristu ana ndugu zake wa dini nyingi, mimi mwenyewe na ndugu waislamu, dada na kaka zangu, wasabato, walokole, wakatoliki, waluteri,IC, twaishi kwa kuthaminiana na kuheshimiana. Kama hutaki wakristu katika nchi hii nenda Yemeni ndio kwenu
 
Nape (Naam !) kazi yako (wewe huna kazi wafanya nn sasa ?) tunaiona (sawa si macho unayo) , misukule yako (akili finyu ya kuwaza misukule) inajitahidi (tunashukuru) kweli tatizo ni kuwa wote wana mtindio wa ubongo (na wewe una udumavu wa fikra na juzi umetoka hospitali ya vichaa) , unaenda kuchukua watu wa mihadhara (mbona wewe ni kibaraka wa Pengo na umetumwa na CDM kwa niaba ya kanisa ) ndiyo waje wafanye (njoo na wewe ufanye pia) mashambulizi hapa , pole sana (na wewe pole kwa kuwa na fikra mgando na kutumiwa vibaya )
bwahahahahahahahahahahahahahahaaaa:lol::lol:
 
Haya wana JF jioneeni wenyewe nikisema mimi mtaona nawaonea vijana wa Nape, lakini angalieni wenyewe upoyoyo huu wa mtu anayejifanya kufikri mara mbili.Hapa ndiyo kaeleza nini sasa?
 
Hawa (wewe haumo kwa hiyo, mbona tunakujua sana kuwa umo )ndio vijana (wewe mzee kumbe ) waliotumwa (wewe pia umetumwa na kanisa) na Nape kujibu mapigo (wewe wajibu nini sasa ?) kwenye mitandao ya jamii (ipi hiyo hebu, itaje kama waijua )...kaazi kweli kweli (kazi ipo kwa ww kutumiwa vibaya na kuwa na fikra mgando)
Bwahahahahaaaaaaaaaaaa:lol::lol: think twice wewe kiboko!!!!
 
Nape (Naam !) kazi yako (wewe huna kazi wafanya nn sasa ?) tunaiona (sawa si macho unayo) , misukule yako (akili finyu ya kuwaza misukule) inajitahidi (tunashukuru) kweli tatizo ni kuwa wote wana mtindio wa ubongo (na wewe una udumavu wa fikra na juzi umetoka hospitali ya vichaa) , unaenda kuchukua watu wa mihadhara (mbona wewe ni kibaraka wa Pengo na umetumwa na CDM kwa niaba ya kanisa ) ndiyo waje wafanye (njoo na wewe ufanye pia) mashambulizi hapa , pole sana (na wewe pole kwa kuwa na fikra mgando na kutumiwa vibaya )

ThinkTwice, hebu ona aibu angalau kidogo!!!! Sasa wewe umejitokeza kujibu hoja za wachangiaji badala ya mleta hoja? Mleta hoja amekaa kimya wewe ndiye unayejibu hoja za watu sasa!!! Unafikiri mtu yeyote mwenye akili ya wastani atashindwa kujua kwamba wewe na Watanabe wote mpo kwenye payroll ya Nape?

Anyway endelea kutetea kitumbua cha watoto!!!!!!

Tiba
 
sasa wewe yani kuandika liujumbe lote hili lkn pointi hata moja ya msingi haionekani?
 
ThinkTwice, hebu ona aibu angalau kidogo!!!! Sasa wewe umejitokeza kujibu hoja za wachangiaji badala ya mleta hoja? Mleta hoja amekaa kimya wewe ndiye unayejibu hoja za watu sasa!!! Unafikiri mtu yeyote mwenye akili ya wastani atashindwa kujua kwamba wewe na Watanabe wote mpo kwenye payroll ya Nape?

Anyway endelea kutetea kitumbua cha watoto!!!!!!

Tiba
Kwani wewe unaejibu hapa, unajibu kwa niaba ya nani? Kila mtu ana uhuru hapa wa kutoa maoni yake. Mwache Think Twice ngoma itambae...........wera wera think twice
 
Kufikiri si kazi rahisi na nyepesi kama watu waliozoeshwa kumeza hata sumu wakiaminishwa kuwa haiui wanavyodhani. We ought to be smart guys, this scrap and much that is yet to come, ni matokeo ya failure ya system. Inatofauti gani na ille ya kupeleka watoto wakajaze ukumbi pale karimjee kwenye mswada wa mchakato wa katiba mpya? same people, same strategy, tuachane nao lets discuss sense here!
 
Hawa ndio vijana waliotumwa na Nape kujibu mapigo kwenye mitandao ya jamii...kaazi kweli kweli!

Huyu sio magamba ni mwana "magwanda" isipokuwa ana ujumbe hasa kwa Zitto Kabwe kusamehe posho yake ili kuleta maendeleo ya haraka kwenye jimbo lake.Huyu nadhani ni Mbunge ama msaidizi wake ambaye anawasiwasi kuipoteza hiyo posho kama CDM itaamua utekelezaji kwa wabunge wake wote.Kaficha ficha mambo lakini ujumbe ndio huo.
 
Watu wenye upeo wa kufikiri huwa hawafanyi kama haya yanayoendelea hapa. Ndugu wadau, alietoa mada alikuwa akitoa mtazamo wake, sisi kama wachangiaji tunatakiwa kukubali au kukataa kwa kutoa hoja, Kinachoendelea hapa ni matusi na aibu tupu. Kwa mtazamo wangu huyu anayejiita THINK TWICE hawezi kweli kuwa Nape ninae mfahamu. ushauri kwa ndugu zangu CCM kamaukikuta topic huipendi POTEZEA unaweza kwenda mada nyingine kama za utani au mapenzi.
HAPA TUNATAKA WATU MAKINI WENYE UPEO.

MUNGU IBARIKI TANGANYIKA
 
Ni muhimu kuelewa upepo wa dunia unavuma kuelekea wapi. Zama za kuendelea kutawala kwa mtaji wa ujinga wa umma zimepita.
 
Bora shehe Yahaya kuliko wewe,badala ya kupoteza ndiyo itaongeza wengi zaidi,tena mara kadhaa ya hao waliopo,angalzo ni kwamba hakuna mtu kushinda tena kwa kura za kukokotoa
 
Nape (Naam !) kazi yako (wewe huna kazi wafanya nn sasa ?) tunaiona (sawa si macho unayo) , misukule yako (akili finyu ya kuwaza misukule) inajitahidi (tunashukuru) kweli tatizo ni kuwa wote wana mtindio wa ubongo (na wewe una udumavu wa fikra na juzi umetoka hospitali ya vichaa) , unaenda kuchukua watu wa mihadhara (mbona wewe ni kibaraka wa Pengo na umetumwa na CDM kwa niaba ya kanisa ) ndiyo waje wafanye (njoo na wewe ufanye pia) mashambulizi hapa , pole sana (na wewe pole kwa kuwa na fikra mgando na kutumiwa vibaya )

unachofanya sasa ni ujinga uliyozidi mipaka. Jibizaneni wenyewe kwa wenyewe na sio kuingiza majina ya viongozi wa juu wa dini na kutaja imani za watu wengine. mwenzako hakutaja dini wala kiongozi alichosema ni watu wa mihadhara ambayo tujuavyo wengi inaendeshwa na watu wa dini zote. Sasa kutajiwa mihadhara akili zimekwenda kwa nani hadi umtaje Pengo na kanisa?
utoto unakusumbua!
 
Fikraako ni mgando kama una bisha agalia hapa.
Join Date : 20th May 2011
Posts : 8
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0

Back
Top Bottom