Chadema Inatisha kusini, Ndio Ukweli

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Niliona umati wa Chadema kusini hapa ITV nimeamini 2015 nchi imekwenda. kama hata kusini wameamka, ccm itamdanganya nani tena sijui
 
Sure mkuu, mi mwenyewe live nimejionea nyomi ya kusin ilivyokuwa, 2015 patachimbika!
 
na huku nako labda ni kaskazini,si unajua magamba walivyoishiwa...................
 
ngoja utamsikia nape atasema hizo picha ni za siku nyingi, waandishi wa habari wengine hawafuati maadili ya fani yao, we vuta subira tu mtamsikia
 
Jamani vp?. Mi na nape 2navyojua chadema ni chama cha kaskazin, sasa huku kusini wamefikaje?. Km ni hivyo kweli cdm wanatisha.
 
Tumechoka 2015 mbali,unaweza kuamini just last month may CHIZI wa atcl na wenzake wamekwapua $1m kwa supplier fake?
 
wote wamejiandikisha? watajitokeza siku ya kupiga kura?

Hii kauli ndo huwa inatumika kuhalalisha wizi wa Kura unaofanywa na Magamba, sasa kama wale wote hawajajiandikisha hao waliojiandikisha wako wapi???? Na wakati wa hiyo mikutano ya CHADEMA wanakuwa wapi???

Tusikubali kupumbazwa tena na hizi kauli NJAA na MUFILISI, 2015 lazima kieleweke
 
Tumechoka 2015 mbali,unaweza kuamini just last month may CHIZI wa atcl na wenzake wamekwapua $1m kwa supplier fake?

Mtu anayetaka mali zote zilizowahi kuibwa na Magamba zirejeshwe na magamba hayo yafungwe jela,lazima atakuwa anashahuku 2015 iwahi ili CDM watake over majambazi haya yapigwe mvua za kueleweka na mali zetu zote(nyumba za serikali,migodi,mabenki,mashamba,vitalu,Twiga,na Cash Money ) viweze kurejeshwa.

INAKERA SANA.
 
Back
Top Bottom