Chadema inapendwa balaa!

Hapa ni arusha ndugu yangu,viboshori vya chadema vimegeuka dili sa hivi,vinauzwa ghali but watu wanavichukua ajabu,pamoja na vitambaa almaarufu kama vitandio vya cdm!bar karibia zote utasikia 'peopleees........!'mabadiliko hayaepukiki!karibu arusha

Huku mtaani kwetu zinauzwa mpaka nguo za ndani za CDM na zinatembea mbaya.
 
Eti dar kuna wajanja mi nadhani wajanja wako Arusha challii angu, huku watu wakisema no wanamaanisha. Huwa nackia kwenye maredio jamaa angu kuwa vijijini na mikoani hawajaelimika sa inakuwaje dar ndo wawe watu wa magamba?????
 
Nimethibitisha ni kweli mkuu. Jamaa aliyezipeleka ni rafiki yangu anaishi dar. kaingia arusha leo na hizo zagazaga za chadema na akamkabidhi ndugu mmoja anaitwa omari matelephone nae ndo akatinga nazo hapo picknic. huyu omari sio mmachinga ila ni mhamasishaji mkubwa sana wa vijana. Huyu omari aliwahi kuingia disco mjini arusha akiwa na Kanzu ya machapishi ya chadema. ila viongozi wa chadema wanamuacha anaganga njaa. sijui lini watauona mchango wake
 
Ni kweli wamekuja machali wawili wafupi walikuwa na suzuki escudo ndo walikuwa wanauza hizo nguo watu wamezichangamkia mpaka nikashanga sana
 
hata mimi ninazo 3....kudadadeki....tena full suti na ile nyingine ya kuhifadhi chakula cha toto....

huu nao ni ufisadi, manake mi nazitafuta sizioni kumbe wenzetu mnazo zaidi ya moja?
 
Huyu si tuliambiwa kauwawa?
Nimethibitisha ni kweli mkuu. Jamaa aliyezipeleka ni rafiki yangu anaishi dar. kaingia arusha leo na hizo zagazaga za chadema na akamkabidhi ndugu mmoja anaitwa omari matelephone nae ndo akatinga nazo hapo picknic. huyu omari sio mmachinga ila ni mhamasishaji mkubwa sana wa vijana. Huyu omari aliwahi kuingia disco mjini arusha akiwa na Kanzu ya machapishi ya chadema. ila viongozi wa chadema wanamuacha anaganga njaa. sijui lini watauona mchango wake
 
Ni kweli bro Hapo Picnic nimeshuhudia mwenye jinsi CDM inavyo bamba.one day last wk nilikuwa upande huu wa pool tukawa 2napiga swaga kuhusu siasa, jamaa wanaikubali chadema mbaya kuliko maelezo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom