Chadema inapendwa balaa!

hakika CCM inapendwa sana na nakuhakikishia wanaipenda chadema ni wehu na wapenda vita chadema siyo chama cha kitaifa ni chama cha wajerumani na EU ambayo inataka kuwatumia kuua watu wasio na hatia TZ chadema ni chama cha kikabila chama cha wachache ambao hawataki wengine wapae..ccm itaongoza milele chadema kinapendwa na wazazi wako na familia yako
 
Mkuu Punguza hasira na pia fikiri kabla ya kuanza kuandika.
 
hakika CCM inapendwa sana na nakuhakikishia wanaipenda chadema ni wehu na wapenda vita chadema siyo chama cha kitaifa ni chama cha wajerumani na EU ambayo inataka kuwatumia kuua watu wasio na hatia TZ chadema ni chama cha kikabila chama cha wachache ambao hawataki wengine wapae..ccm itaongoza milele chadema kinapendwa na wazazi wako na familia yako
Mkuu BUREKICHEKO kama jina lako naona hujatulia, umetoka kuvuta nini????Wewe na maghamba zako kwishinei, mpaka 2015 hakuna rangi mtaacha kuona na mtaji wenu wa CUF unaporomoka pia!!!!!!

Jo,kwa hiyo wanaopinga chama tawala ni wehu je walioikataa KANU ya kenya ni wehu. Jo kila empire ina tendency ya kurise kufall, CCM itaanguka hata kama si 2015
 
wapenzi na wanachama wa chadema napenda niwape nilicho kishuhudia hapa arusha muda huu kwenye bar moja maarufu inaitwa picnic hakika inatia moyo ni pale mmachinga aliyetokea ghafla kwenye hii bar usiku huu akiwa tisheti na baadhi ya kofia ndipo alipojitokeza mtu na pesa zake na kununua kofia zote na skafu na tisheti na kugaia watu ambao ni wa penzi wa chadema hakika ilikuwa ni furaha sana na mimi nimeshawishika kurudi dar ni amasishe wapenzi na wanachama wa chadema waonyeshe moyo walionao na mapenzi ya kweli kwa hiki chama anauza skafu, tshir
 
mi nilidhani kagawa miamvuli ukizingatia hiki ni kipindi cha mvua huko arusha.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Hapa ni arusha ndugu yangu,viboshori vya chadema vimegeuka dili sa hivi,vinauzwa ghali but watu wanavichukua ajabu,pamoja na vitambaa almaarufu kama vitandio vya cdm!bar karibia zote utasikia 'peopleees........!'mabadiliko hayaepukiki!karibu arusha
 
japo ccm wanagawa bure but hachukui mtu wakati chadema zinauzwa na zinakwisha niliona wakati uleee ARUMERU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom