Chadema inapendwa balaa!

Hata nccr mageuzi ilikuwa hivi.

NCCR iliundwa na mamluki wengi mno akina steven wasira, masumbuko lamwai, mrema na wengineo CDM inaundwa na wazalendo wa kweli kuna tofauti kubwa sana!!
 
Hata nccr mageuzi ilikuwa hivi.

Ulikuwepo au ulisimuliwa?...Hapo unalinganisha mlima na kichuguu mkuu...vinginevyo Mwigullu Nchemba asingekuwa Arumeru kwa sasa na fuko la hela akihonga raia...Mtiti wa CDM ni mzito hata bosi wako NAPE analifahamu hilo na ndiyo maana akakuajiri humu JF and CDM is your employer indirectly as well...ikitokea ikawa kama NCCR(japo ni ndoto za alinacha)hata wewe kazi hakuna...think twice...Ohoooooh!
 
Mbona hamumtambulishi kwa profession yake? Huyo ni mchungaji na hao ni waumini wake, nini cha ajabu?
 
siungi mkono uvaaji wa Suti wakati wa mikutano na wananchi. Msigwa ashauriwe kuvaa kawaida kwenye shughuli kama hizo inajenga hisia za kuwa karibu na wananchi.

watoto walikuwa wengi naona na wao walikuwa hawataki kupitwa na mkutano huu.
 
Ulikuwepo au ulisimuliwa?...Hapo unalinganisha mlima na kichuguu mkuu...vinginevyo Mwigullu Nchemba asingekuwa Arumeru kwa sasa na fuko la hela akihonga raia...Mtiti wa CDM ni mzito hata bosi wako NAPE analifahamu hilo na ndiyo maana akakuajiri humu JF and CDM is your employer indirectly as well...ikitokea ikawa kama NCCR(japo ni ndoto za alinacha)hata wewe kazi hakuna...think twice...Ohoooooh!

Safi sana Mkuu! KWA MTINDO HUU NATOA SIRI YANGU, 2015 NITAGOMBEA UDIWANI KATA YA ULANDA-KALENGA.
 
Hivi mikutano yake inafanyikia viwanja gani mbona siyasikii matangazo hapa mjini wakuu wenye taarifa watujunze ratiba ilivyo hapn kesho ni wapi?
 
Hivi mikutano yake inafanyikia viwanja gani mbona siyasikii matangazo hapa mjini wakuu wenye taarifa watujunze ratiba ilivyo hapn kesho ni wapi?
Viwanja vya kanisa! Kwani huwa hauhudhirii ibada?
 
Kuna ubaya gani Mchungaji akiwa na wafuasi wake? mbona Wachungaji wengi wana wafuasi tu kama Mchungaji Mtikila, Mchungaji Mama Rwakatare, Mchungaji Kakobe, nadhani hakuna cha ajabu.
 
Kuna ubaya gani Mchungaji akiwa na wafuasi wake? mbona Wachungaji wengi wana wafuasi tu kama Mchungaji Mtikila, Mchungaji Mama Rwakatare, Mchungaji Kakobe, nadhani hakuna cha ajabu.

Ma.ga.mba.zi addicted brain...pole sana mkuu...ila ndiyo hivyo ajira ngumu cha msingi ni mkono uende kinywani...piga kazi...2015 unauza hiyo laptop yao...unaenda zako kuishi ughaibuni..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom