Chadema inapaswa kukarabatiwa sasa...

Waberoya
Siku hizi umejishusha sana umejiunga na kundi la kina MS, sokomoko, Mwanamageuko and likes watu wanaoona udini ndiyo silaha kwao pole sana.
Quinine!!! hata hujavuta pumzi tayari, kwa kitisho hicho ndipo waberoya asiuone ukweli? hivi maana ya UKWELI ni UDINI??? Sikukudhani kama nawe uko namna hii. :teeth:
 
No question about it....facelift for CHADEMA!
...and lipo for CCM of kwoz.
 
Quinine!!! hata hujavuta pumzi tayari, kwa kitisho hicho ndipo waberoya asiuone ukweli? hivi maana ya UKWELI ni UDINI??? Sikukudhani kama nawe uko namna hii. :teeth:
Utabadili majina ila hutabadili tabia hakuna mtu asiyekujua mtaumia sana mkitaka hamieni yemen si tanganyika.
 
Mwanamageuko,

..labda Zitto is ahead of his time, na Chadema need to catch up with him.

..njia ya uhakika ya kupata uongozi mahali popote pale ni kuaminika na kukubalika.

..alipojaribu kugombea Uenyekiti wa Chadema inaelekea hakuaminika na hakukubalika.

..kama Zitto anataka kuongoza Chadema basi he has to work on those two things.

..nadhani kwa sasa hivi ukaribu wake na viongozi wakuu wa CCM unawatia mashaka wenzake ktk uongozi wa Chadema.

..pia misimamo yake ambayo ina-lean upande wa CCM, zaidi ya upande chama chake Chadema, nayo inaongeza mashaka dhidi yake.

..ajaribu kuwa karibu na viongozi wenzake haswa ktk matamko yake. tumefika mahali sasa kunakuwa na msimamo wa Chadema, halafu kuna msimamo wa Zitto Kabwe.
 
Back
Top Bottom