chadema inaota ndoto za mchana!

Padre Slaa needs to be honest with Tanzanians, people are not stupid - He needs to tell them exactly what he plans to do as president. He needs to stay away from the politics of criticizing Kikwete and CCM at large. It's obivous his tactics are not working.
If he's... honest, even God might just come in and help him win. lazima watuambie nini watafanya na sio kuitisha maandamano ambayo hayana tija
 
Rostam Aziz anajitahidi kuajiri wapambe humu JF, kila uchao utakuta mnyela mpya kaingia jamvini na upupu wake.Angalieni atawawowa nyie.
 
Sidhani kama kuna watanzania waelewa wataipa kura Chadema; Watachakachuliwa tu
tumegundua mambo mengi sana....kama epa kagoda nk
waongo sana, wamese eti kuna mgao wa umeme, aka, kwetu unawaka
wapenda fujo, Nao si wana mabomu ya machozi kama ya gongs
hawaheshimu sheria, Wanajenga office zao kwenye viwanja vya manisipaa magufuli anapiga ekis
walaghai, Downs eti ee
wachonganishi, Mkyembe na Rostam wamechonganishwa
wajasiliamali kupitia siasa, Caspian si ya Dk
wabaguzi,(ukanda/ukabila,udini), Mufaka wakfanya zanzibari tu, Tanganyika aka
wachochezi, Wamemuiba Wasira kutoka Upinzania, Ripoti ya inteligensia Arusha wala haina uchochezi
wakulupukaji, Wanaendesha mashangingi tu, hata Pinda kawakataza
wana tamaa sana. Wamechakachua uchaguzi
UKITAKA KUAMINI HAYA...mm
Muulize KAFULILA atakupa full UKWELI.mm
TUNAWAJUA SANA in AND out.mm

Kweli nyani haoni nanihii.:hand:
 
Padre Slaa needs to be honest with Tanzanians, people are not stupid - He needs to tell them exactly what he plans to do as president. He needs to stay away from the politics of criticizing Kikwete and CCM at large. It's obivous his tactics are not working.
Then what's your worry, idiot.
 
nchi kamwe haiwezi kupewa wahuni kama wa chadema,chadema wanachofanya sasa sio misingi iliyowekwa na waasusi wa chama kama mzee wetu mzee MTEI! CHADEMA POROJO NYINGI KULIKO SERA,SLAA NA MBOWE WANAPASWA KUWAAMBIA WATAWAFANYIA NINI WANANCHI AU KUTOA SULUHISHO LA MATATIZO YALIYOPO LAKINI WAKIENDELEA NA POROJO ZA MAMBO YA DOWANS,HIVI KUNA MTZ ASIYEJUA ISHU YA DOWANS ASA HIVI? SASA WANASHADADIA NINI?

Waseme mara ngapi ili uwaelewe?Si Mbowe,Dkt Slaa,Chadema au mtu/taasisi yoyote ile yenye jukumu la kuwashawishi wabishi ambao sio tu hawataki kukubali ukweli lakini pia hawataki kutumia ubongo wao kuwasaidia kuelewa ukweli uliopo.

You know what,laiti Chadema ingekuwa inaongea mambo yasiyowagusa wala msingepoteza muda kuijadili.Tofauti na wananchi wanaoshiriki maandamano ya chama hicho,nyie mafisadi mmeguswa kwa hofu kuwa chama hicho kinataka kuwa-Mubarak ie kuwahamasisha wananchi wawanyang'anye hiyo keki ya taifa mnayoifakamia kwa ulafi mkubwa
 
Padre Slaa needs to be honest with Tanzanians, people are not stupid - He needs to tell them exactly what he plans to do as president. He needs to stay away from the politics of criticizing Kikwete and CCM at large. It's obivous his tactics are not working.
If he's... honest, even God might just come in and help him win. lazima watuambie nini watafanya na sio kuitisha maandamano ambayo hayana tija
I agree.Not all people are stupid.But some people are not just stupid but also too stupid to understand their own stupidity.Kwa mfano,jitu zima lenye akili linahoji Dkt Slaa atueleze atafanya nini atapokuwa Rais.Unakuja hapa JF kufanya nini kma husomi magazeti,huangalii tv na husikii redio?Maana laiti ungekuwa unafanya hivyo (kufuatilia vyombo vya habari usingeuliza swali hilo la kizembe kuhusu Dkt Slaa.

Halafu mzembe wewe wa kufikiri,unapaswa uelewe kuwa ishu hapa sio Chadema au Dkt Slaa.Ishu ni TANZANIA.Badala ya kuuliza maswali ya kizembe kuwa "Dkt Slaa aseme atafanya nini akiwa rais" jiulize wewe mwenyewe "HIVI NAIFANYA NINI TANZANIA MUDA HUU?".
 
Rostam Aziz anajitahidi kuajiri wapambe humu JF, kila uchao utakuta mnyela mpya kaingia jamvini na upupu wake.Angalieni atawawowa nyie.

Ni kweli.Kuna namna mbili ya kudili na makahaba wa kisiasa.Moja ni kuwapuuza,na mbili ni kuwakalia kooni kwa hoja.Na watakuja sana mwaka huu kwani wanaona kinachotokea huko North Africa,na namna eActivism ilivyochangia mapinduzi.
 
Mkandara umeongea ukweli wote..lakinio tatizo ni kwamba wameweka pamba masikioni mwao..hawasikii wakiambiwa ukweli na hawajali pia, wameng'ang'ania na kujikita zaidi kwenye propaganda za udini na kusema uwongo.
 
Padre Slaa needs to be honest with Tanzanians, people are not stupid - He needs to tell them exactly what he plans to do as president. He needs to stay away from the politics of criticizing Kikwete and CCM at large. It's obivous his tactics are not working.
If he's... honest, even God might just come in and help him win. lazima watuambie nini watafanya na sio kuitisha maandamano ambayo hayana tija

Unataka watoe ahadi likuki kama Afisa Maendeleo JK? Haya si alizitoa hizo ahadi mbona ameanza kutoa ulimi mapema kwa kusingizia hata waliomtangulia hawakumaliza hayo matatizo!!! Huna hoja
 
Kashaga Mafisadi siku zenu za mwisho zimefika.Mungu ni mwema sana mwambie Kikwete hata kunywa dawa Loliondo siyo solution nchi ni ya watanzania na siyo mali ya wezi wachache kama nyie
 
Kashaga kwa kuwa wewe ni mmbea sana peleka pia salamu kwa watoto wote wa mafisadi Ridhiwani Kikwete na Fredy Lowassa kuwa Ccm end of the road!CDM nafasi zimejaa na maisha ya mateso kama Jeanamu yanakuja wajiandae kwani dhambi walizowafanyia Watanzania hakika hawana mahali pakutubu.HUKUMU NI LAZIMA.
 
Sidhani kama kuna watanzania waelewa wataipa kura Chadema;
tumegundua mambo mengi sana....
waongo sana,
wapenda fujo,
hawaheshimu sheria,
walaghai,
wachonganishi,
wajasiliamali kupitia siasa,
wabaguzi,(ukanda/ukabila,udini),
wachochezi,
wakulupukaji,
wana tamaa sana.
UKITAKA KUAMINI HAYA...
Muulize KAFULILA atakupa full UKWELI.
TUNAWAJUA SANA in AND out.

sijui hata kama ugonjwa wako babu wa Loliondo anaweza kuutibu
 
Nyakageni umetumwa?angalia usichomewe ndani na hao waliokutuma wamekupa pesa ambayo haikufikishi popote Hakika ukombozi kwa Watanzania ni Lazima,mwambie KIKWETE UKOMBOZI TANZANIA LAZIMA. Na pia Ccm inafia mikononi mwa Mkwere.
 
nchi kamwe haiwezi kupewa wahuni kama wa chadema,chadema wanachofanya sasa sio misingi iliyowekwa na waasusi wa chama kama mzee wetu mzee MTEI! CHADEMA POROJO NYINGI KULIKO SERA,SLAA NA MBOWE WANAPASWA KUWAAMBIA WATAWAFANYIA NINI WANANCHI AU KUTOA SULUHISHO LA MATATIZO YALIYOPO LAKINI WAKIENDELEA NA POROJO ZA MAMBO YA DOWANS,HIVI KUNA MTZ ASIYEJUA ISHU YA DOWANS ASA HIVI? SASA WANASHADADIA NINI?

Hahahahahaha kwa mwendo huuu hahahaha msululu wa Loliondo kamwe hautakatika hata kwa mtutu na babu wa watu anaweza kufa akitibu watu kama hawa hahahahahaha
 
Padre Slaa needs to be honest with Tanzanians, people are not stupid - He needs to tell them exactly what he plans to do as president. He needs to stay away from the politics of criticizing Kikwete and CCM at large. It's obivous his tactics are not working.
If he's... honest, even God might just come in and help him win. lazima watuambie nini watafanya na sio kuitisha maandamano ambayo hayana tija

Kama zisingekuwa zinafanya kazi asingetumia muda wa kuhutubia Taifa zima kuongelea na kujadili chama au kutuma viongozi wake after kubwabwaja na kubabaika kama mapunguani!

Mwenye macho aambiwi tazama!We endelea kulala fofofo watanzania zamani washaamka
 
Back
Top Bottom