Chadema inabadilisha Nchi na Chama Cha Mapinduzi!!

ungetoa data ingependeza..unadai ni uwepo wa CDM ndio maana CCM inajivua gamba..nadhani umepotoka..Kasome Mwongozo wa CCM wa 1982 ambao unaelekeza chama kujikosoa na kujisahihisha..usiwe tu unakurukupia mambo..ebo?
We jamaa umelewa asubuhi hii??Huo mwongozo wa 1982 umefanya nini?? inamaana haukuwepo walipofanya ufisadi, ufedhuli na utapeli kwa taifa?? acha unafiki wewe hebu angalia jinsi taifa lilivyo ktk hali ngumu isiyoelezeka, usiongee maadam una domo, fikiria kwanza au ndo nyiee walewale?? Ndomaana unajiita PUMBATUPU nahisi ni PUMBATUPU zimejaa ndani yako
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa kweli Comrade kama umeliona hili naamini wewe ni mtu makini siungi mkono hii CCM ya leo lakini kwa Kikwete kuwaachia uhuru wakujieleza Watanzania nina mpongeza kwa moyo mkunjufu na hili ni jambo kubwa na kwa hakika limetuwezesha kuendeleza vita dhidi ya viongozi dhalimu bila kuogopa au kutishwa, japokuwa kwa upande wangu nilikuwa niko tayari kuuwawa kwa kusema ukweli nikiwa namaana kuwa hata angejaribu kubana uhuru huu nilikuwa nikotayari kufa kuliko kuona taifa likiteketea .

ALUTA CONTINUA......

Na labda nikseme ktk sifa ambazo pekee naweza kumpa JK ni kutoa Uhuru huu kwani anaweza kabisa kufunga milango kama alivyokuwa Mkapa..Na imewezekana tu kutokana na jadi yake maana mswahili hupenda majungu na drama hivyo kwa kila lisemwalo humpa kicheko na wakati mwingine kuchukia, maadam anakula na kulala siku imepita.. - Ndio maisha ya mwafrika!...
 
Watanzania wenzangu tuamke, tunahitaji viti vitatu tu bungeni kukomesha maamuzi ya kibabe ya ccm na spika wao. Upinzani ukiwa na zaidi ya 1/3 ya wabunge wote ccm itakosa 2/3 ya idadi ya wabunge wa kujiamulia kivyovyote. Na kama tukiweza kuwashawishi wale wenyeviti wa vyama vyao viwili vyenye mbunge mmoja kila kimoja wakaacha umamluki. Hapo upinzani utalifanya bunge liisimamie serikali kikweli na kwa maslahi ya watanzania wote. Shime wana Igunga pamoja na makosa tuliyofanya miaka na miaka, tusivunjike moyo wakati wa mabadiliko umewadia. Saa ya ukombozi ni sasa.
 
ungetoa data ingependeza..unadai ni uwepo wa CDM ndio maana CCM inajivua gamba..nadhani umepotoka..Kasome Mwongozo wa CCM wa 1982 ambao unaelekeza chama kujikosoa na kujisahihisha..usiwe tu unakurukupia mambo..ebo?
Kweli wewe ni kiazi cha kiangazi,walikuwa wapi miaka 50 iliyopita?tumia ubongo kufikiri usitumie visigino,ni vichafu vinakanyaga chini amka wewe.
 
ungetoa data ingependeza..unadai ni uwepo wa CDM ndio maana CCM inajivua gamba..nadhani umepotoka..Kasome Mwongozo wa CCM wa 1982 ambao unaelekeza chama kujikosoa na kujisahihisha..usiwe tu unakurukupia mambo..ebo?

Jina lako linajieleza. Pumbatupu
 
Mimi nilichofurahishwa na Chadema kuliko vyote ni kusimama from the huge crowd kwamba wao ndiyo upinzani in a way ule utitiri wa vyama sasa unaonekana ni irrelevant hata kwa watu wa kawaida kabisa. Ukiangalia vyama kama TLP na UDP ndiyo vinaishia hivyo maana vinabebwa na majina ya wenyeviti wao ukitoa hao huna chama wala baba yake chama!!!!!!

Huu ni ukweli usiopingika.....
 
ungetoa data ingependeza..unadai ni uwepo wa CDM ndio maana CCM inajivua gamba..nadhani umepotoka..Kasome Mwongozo wa CCM wa 1982 ambao unaelekeza chama kujikosoa na kujisahihisha..usiwe tu unakurukupia mambo..ebo?

CCM kuwa na mwongozo huo ni jambo moja na kufanyia kazi yale yaliyo kwenye mwongozo huo ni jambo jingine. Kinachosemwa hapa ni kwamba CCM haijawahi kuwa na mpinzani na mshindani halisi; na kwa CHADEMA wamempata. Mtasema wee vinginevyo lakini sisi tulio nje tunaona kwamba nchi imara na maendeleo ya kweli ya nchi na watu wake yatategemea CHADEMA imara.
 
ungetoa data ingependeza..unadai ni uwepo wa CDM ndio maana CCM inajivua gamba..nadhani umepotoka..Kasome Mwongozo wa CCM wa 1982 ambao unaelekeza chama kujikosoa na kujisahihisha..usiwe tu unakurukupia mambo..ebo?

Huyu bwana anayetaka data anaitwa nani vile? "pumbatupu"?
Basi natumaini hili jina ni saizi yake, kwa kweli ni MTUPU, huu mwongozo anaousema umeanza kutumiwa lini na ccm? wakati wa Mwalimu au enzi hizi za akina Mkapa na KJ?
("KJ" Watu wanapend kutumia JK wakimaanisha Jakya Kikwete, mimi sipendi kwa sababu inanichanganya na Julius Kambarage, mtu ambaye hafanani kwa lolote lile na Jakaya Kikwete. Hivyo nawaombeni mtumie Kikwete Jakaya wala mtu hawezi kukomfuse)
 
ungetoa data ingependeza..unadai ni uwepo wa CDM ndio maana CCM inajivua gamba..nadhani umepotoka..Kasome Mwongozo wa CCM wa 1982 ambao unaelekeza chama kujikosoa na kujisahihisha..usiwe tu unakurukupia mambo..ebo?
pumba tupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom