Mbereweta
Member
- Oct 26, 2013
- 43
- 3
Unachosema ni kweli, sasa hata mimi ndio naelewa kwa nini kuna watu bunge maalum wanadai kura ya wazi. Naamini kungekuwa na kura ya wazi cdm ingeweza kupata picha halisi ya nani ni mshabiki wa kweli. Nionavyo mimi wengi ni wanafiki anakusifia sana lakini akiwa peke yake anampigia mwingine. Pia nadhani hata mfumo mzima wa Kampeni wangebadilisha na sasa wazungumzie zaidi mambo ya pale walipo sio kuzungumzia tu posho za wabunge na mambo ambayo wakati fulani ni kero. Mfano kuna mtu aliongea kuwa huyu mtoto badala ya kuhoji kifo cha baba yake anakubali tu kugombea. Maneno kama ha ya hayafai wakati wa kampeni. (Nayo ni sawa na kutongoza)Hii ni kweli na sio uongo. CHADEMA kusema kweli imeteka watu wengi na kujiibulia washabiki wengi sana. Bali inawapiga kura wachache.
Unajua kura ni siri: Mtu anaweza akamshabikia mgombea fulani lakini ikifika wakati wa kupiga kura palepale ana badili na kumchagua mwingine, halafu akitoka anaendela kukushabikia.
Hii ndio inayo wacost CHADEMA itabidi wabadili mfumo si kufurahia ushabiki wa watu. Wawatake watu wawe na vitabulisho vay kupiga kura. pili wawaombe watu waende kupiga kura.
Au mnaonaje?