CHADEMA imeupokea ushauri wa CCM na kuufanyia kazi...

Acheni kujifariji kama askari wa Saddam.
Hali ye ccm ni mbaya na inazidi kuwa mbaya.

hivi wewe Nape hujihurumii!? Kijana elimu yako, nyadhifa ulizozawadiwa hazikusaidii chochote!? Au wewe ni mtoto si RIZIKI? Kijana una akili mbofu mbofu sana, jaribu kwenda na nyakati.
 
Nape Nape!You are deadly wrong! Cdm sio chungu wala kinyago cha mbao,cdm ni roboti !! mziki wake mtasimulia 2016,endeleeni kushangaa na kujipa moyo.Ila mfano wako waweza kufaa ndani yenu ccm,yaani mafisadi waliokulea huna jeuri kwao,yaani ww ni chungu broo.
 
CCM haiwezi kufa, ila ikinyang'anywa dola, itakuwa upinzani kwa msimu mmoja tu, itatafakari vizuri makosa yake, then itarudi kwa kishindo kikubwa kuliko tsunami, halafu itaongoza vizuri sana. hapo tutakuwa kama USA, democratic na republican, Idadi ya wabunge itakuwa na uwiano mzuri, hakuna chama kitakachoweza kutamba kuwa vingine ni vya msimu, Mafisadi watachukuliwa hatua haraka kuepusha kashfa kwa chama husika, viongozi watapimwa kwa uwezo wao na si kuangalia familia wanazotoka. kwa hapo Tanzania itang'ara, inaweza ikawa katika big three za Africa au hata ikang'aa zaidi kwa kipindi kifupi kisichozidi miaka 20.
 
Hah kwa taarifa tu ushauri wa CCM kwa Chadema haukuwa wa kukurupuka, ulimaanisha tunafurahi wamefuata ushauri hata kama kuna mahali wameteleza....MTUNGI UUFINYANGE MWENYEWE UKUPE TABU KUUVUNJA UKITAKA? ITAKUWA MAAJABU SANA, UCHONGE MWENYEWE KINYAGO KISHA KIKUTISHE MPAKA UNA KIMBIA... CDM fikirini mara mbili njia mliyofuata.
Nnauye Jr, Unaweza kuchota maji ndoo nzima na kuyamwaga ardhini, lakini kamwe hauwezi kuyazoa hayo maji toka ardhini na kuyarudisha kwenye ndoo!

CCM wanafanya mambo mengi sana ambayo hawana uwezo wa kuzuia madhara yake. Na hii ni ndani na nje ya chama. Wewe mwenyewe you are on record ukisema mafisadi wamepewa siku 90, what happened? Na nini madhara ya hiyo kauli ndani ya CCM?
 
Last edited by a moderator:
Hah kwa taarifa tu ushauri wa CCM kwa Chadema haukuwa wa kukurupuka, ulimaanisha tunafurahi wamefuata ushauri hata kama kuna mahali wameteleza....MTUNGI UUFINYANGE MWENYEWE UKUPE TABU KUUVUNJA UKITAKA? ITAKUWA MAAJABU SANA, UCHONGE MWENYEWE KINYAGO KISHA KIKUTISHE MPAKA UNA KIMBIA... CDM fikirini mara mbili njia mliyofuata.

We jamaa hamnazo kweli, mara ngapi huwa unaombwa kutoa ufafanuzi kuhusu ishu nyeti kuhusu chama chako lakini huwa unakula ganzi, lakini hii sio kiviiiiiiile umechoropoka huko ulikokuwa umejificha. Afu kwenye chama chenu cha magamba wewe ndo nani vile sijui. You are a totally Joke broder.
 
Hah kwa taarifa tu ushauri wa CCM kwa Chadema haukuwa wa kukurupuka, ulimaanisha tunafurahi wamefuata ushauri hata kama kuna mahali wameteleza....MTUNGI UUFINYANGE MWENYEWE UKUPE TABU KUUVUNJA UKITAKA? ITAKUWA MAAJABU SANA, UCHONGE MWENYEWE KINYAGO KISHA KIKUTISHE MPAKA UNA KIMBIA... CDM fikirini mara mbili njia mliyofuata.

Hoja zingine huwa unazikimbia humu, lakini hii kwa sababu haihitaji ujieleze umeichangamkia asubuhi na mapema; kuwa consistent na usiwe mtu wa msimu wewe.
 
Mnauye natumaini unaujua ukweli jinsi chama chako kilivyo poteza mvuto ndani ya jamii.Kuwa na sera na usahuri nzuri ni jambo la kawaida huwezi kuwa na mabaya yote ni lazima kuwa na mabaya na mazuri hali kadhalika hata CDM yapo mabaya yake na mazuri.CDM inakubali kushaurika kwa na kupokea mazuri toka ccm,ila ccm haikubali kupokea mazuri toka kwa cdm.Ndiyo maana mnapotenga mvuto ndani ya jamii.Watendaji wabovu na mafisadi ndiyo wanao idohofisha ccm.Ila CDM ipo itawawajibisha.kimbunga kisipo ezua nyumba basi kitatoka japo na bati.M4C VUA GAMBA VAA GWANDA.
 
Hah kwa taarifa tu ushauri wa CCM kwa Chadema haukuwa wa kukurupuka, ulimaanisha tunafurahi wamefuata ushauri hata kama kuna mahali wameteleza....MTUNGI UUFINYANGE MWENYEWE UKUPE TABU KUUVUNJA UKITAKA? ITAKUWA MAAJABU SANA, UCHONGE MWENYEWE KINYAGO KISHA KIKUTISHE MPAKA UNA KIMBIA... CDM fikirini mara mbili njia mliyofuata.

Enyi Magwanda wote wenye uchungu na nchi hii, ambao mnaona maisha yanazidi kuwa magumu kila kukicha, na wachache wanaojuana/wenye tabia za undugu wanaendelea kuneemeka kupitia migongo yenu, Kalibuni Upinzani, mwacheni Nape kijana mnafki aendelee kusema Mmeshindwa kuvaa magamba. Magamba ni mazito sana na sababu ni kwamba mmekinga migongo kwamda sana (50 years) na sasa juu ya migongo yenu wanapanda hata watu 100 per time. Kalibuni tuikomboe nchi hii.

Nape msalimie sana Nchemba,
 
Hah kwa taarifa tu ushauri wa CCM kwa Chadema haukuwa wa kukurupuka, ulimaanisha tunafurahi wamefuata ushauri hata kama kuna mahali wameteleza....MTUNGI UUFINYANGE MWENYEWE UKUPE TABU KUUVUNJA UKITAKA? ITAKUWA MAAJABU SANA, UCHONGE MWENYEWE KINYAGO KISHA KIKUTISHE MPAKA UNA KIMBIA... CDM fikirini mara mbili njia mliyofuata.

Kaka achana na habari za hao CCM, ni wachache sana tunaojua ni nini kinachokufanya uendelee kubakia CCM, kama sio cheo walichokupa muda huu tungekuwa tunakijenga chama chetu cha CCJ muda huu. Nape ni heri turudi CCJ tujipange kwaajili ya kusimamisha mgombea 2015 maana CCM wamekudanganya, wamekwambia utakuwa Katibu mwenezi lakini wamekupa majukumu ya Hadija Kopa kutunga mashairi ya taarabu na mipasho.

Kuna kitu nimesahau kidogo naomba unikumbushe kaka, hivi lile jengo la chama chetu cha CCJ mwezi huu kulipa kodi ya pango ni zamu ya Samwel Sita, Mwakyembe au wewe?
 
Hah kwa taarifa tu ushauri wa CCM kwa Chadema haukuwa wa kukurupuka, ulimaanisha tunafurahi wamefuata ushauri hata kama kuna mahali wameteleza....MTUNGI UUFINYANGE MWENYEWE UKUPE TABU KUUVUNJA UKITAKA? ITAKUWA MAAJABU SANA, UCHONGE MWENYEWE KINYAGO KISHA KIKUTISHE MPAKA UNA KIMBIA... CDM fikirini mara mbili njia mliyofuata.
CCM wanavichwa walikumbuka msemo wa ''mchawi mpe mwana,'' wakakukabidhi CCM yao ukaiacha ccj yako, kisha 6, Harisana Mwakiwembe mkasepa ona sasa kinakufia Kigamba
 
Hah kwa taarifa tu ushauri wa CCM kwa Chadema haukuwa wa kukurupuka, ulimaanisha tunafurahi wamefuata ushauri hata kama kuna mahali wameteleza....MTUNGI UUFINYANGE MWENYEWE UKUPE TABU KUUVUNJA UKITAKA? ITAKUWA MAAJABU SANA, UCHONGE MWENYEWE KINYAGO KISHA KIKUTISHE MPAKA UNA KIMBIA... CDM fikirini mara mbili njia mliyofuata.

Nape ushauri wa bure kwa nini usingejiunga au kuanzisha kundi lolote la taarabu/mipasho?maana kwa hiyo misemo yako ilivyokukaa mdomoni inaonyesha wazi ulivyobobea kwy mipasho kuliko upembuzi yakinifu!i wonder mwanasiasa kijana,msomi wa kuwango fulani tena mwenye exposure ya kutosha unakua mtu wa mipasho kuliko kujenga na kujibu hoja za kuwashawishi na kuelimisha jamii ya Kitanzania,kwa nini usiige mifano ya wanasiasa wenzako ambao ni vijana!
 
Nape harudi tena hapa nini? Rudi kaka hawa ni vijana wenzio mjadili hoja kwa hoja na kihoja kionekane.
 
Ni kweli watu vijijini wanaupokea vizuri wito wa kuisurubu CCm kuliko Mjini hasa DSM ilikuwa inakosekana Elimu ya Uraia kweli CDM moto wa kuotea mbali ...........tuzime moto ambao unazidi kusambaa kama ukombozi wa nchi ya Lyibya kwa marehemu Col.Ghadaffi alipowaita walibya Mende hakujua kilicho mbele yake hata mtaro wa maji machafu hakujua ulipo.Mjuwahuzia
 
Hah kwa taarifa tu ushauri wa CCM kwa Chadema haukuwa wa kukurupuka, ulimaanisha tunafurahi wamefuata ushauri hata kama kuna mahali wameteleza....MTUNGI UUFINYANGE MWENYEWE UKUPE TABU KUUVUNJA UKITAKA? ITAKUWA MAAJABU SANA, UCHONGE MWENYEWE KINYAGO KISHA KIKUTISHE MPAKA UNA KIMBIA... CDM fikirini mara mbili njia mliyofuata.

Hapa hakuna kurudi nyuma kaka chama ndio kinazidi kuota mizizi,kama ulikuwa unategemea kwamba kitakufa hilo sahau kabisa,CDM imekomaa na imeenea kila kona ya nchi nyie subirini kufa tu mmeshindwa kazi.
 
Hah kwa taarifa tu ushauri wa CCM kwa Chadema haukuwa wa kukurupuka, ulimaanisha tunafurahi wamefuata ushauri hata kama kuna mahali wameteleza....MTUNGI UUFINYANGE MWENYEWE UKUPE TABU KUUVUNJA UKITAKA? ITAKUWA MAAJABU SANA, UCHONGE MWENYEWE KINYAGO KISHA KIKUTISHE MPAKA UNA KIMBIA... CDM fikirini mara mbili njia mliyofuata.
Wewe unadai kwamba mmefurahi chadema kuutendea kazi ushauri wenu? Si hata kule Arumeru mashariki mlisema mtafurahi kama Slaa atagombea ubunge ili mumbwage, matokeo yake dogo janja mwenyewe aliwabwaga mkaishia kuwapongeza kwa hasira utafikiri ulikuwa unagombana. Furahieni hata sasa kitendo cha chadema kujiimarisha vijijini mwisho wa siku mtajikuta 2015 mnawapongeza kwa uchungu kama mlivyofanya kule Arumeru.
 
Back
Top Bottom