CHADEMA, imetoka kwenu?

Selous

JF-Expert Member
Jan 13, 2008
1,325
144
Jana usiku nilipata msg hii
Tafadhali tuma neno CHADEMA kwenda 15710 kwa mchango wako wa sh 300 tusaidiane kukiimarisha chama kwa ukombozi wa nchi yetu dhidi ya mafisadi tafadhali julisha na wengine lucy owenya; sender +255769955123
I have no problem kwa kuwa nilishasikia through general meeting. I feel proud of it as i have no any contact with senior leaders for CHADEMA. Does this msg hold the truth?

Tuambie tusambaze, tupate habari zenu kila kukicha.
 
+255769955123 vp si upige hiyo number umuulize aliekutumia au not reachable?

 
tutachanga tu hakuna mbaya kama tunawapigia kura mamiss ,Bongo star search ,Tusker project fame ,the comedy tupate gari kwa nini tusichangie maendeleo
 
Namba halisi ya CHADEMa bado hajaanza kufanya kazi, kwa taarifa kuwa bado wanafanyia kazi database yao kwa ajili ya kufanyia kazi na kutunzia kumbukumbu hivyo wote hawa ni macybers wanaotaka kujipatia pesa toka kwa watu mbalimbali.Hiyo namba sio ya CHADEMA ni ya watu wa kawaida
 
Back
Top Bottom