CHADEMA imekosa Dira?

Kufuatia kushindwa mfululuizo katika chaguzi ndogo za Busanda na Bihalamuro, chama cha "demokrasia" na maendeleo chadema kimepoteza dira sasa badala ya kukaa chini na kufanya tathmini ya kisanyansi mpaka kupelekea kushindwa katika chaguzi hizo, viongozi wa chama hicho hivi sasa wanamtafuta mchawi kwa kusingizia kuibiwa kura.

Madai kama haya yamekuwa yakitolewa na chama cha wananchi cuf katika chaguzi mbalimbali lakini chadema wamekuwa wakidai kuwa cuf ni walalamishi na sasa wimbo huo unaanza kuimbwa na chadema.

Ukweli ni Chadema kimekosa mikakati thabiti kuweza kuongoza na kubaki na kulala kila uchao, kilichobaki sasa kwa Chadema ni kurudi kwenye drawing board na kuanza upya huku wakijua siasa za Mwembe ya yanga za kulipua mabomu na kuvurumisha helikopta hazilipi na watanzania washawatukia kuwa ni chama cha kikabila na familia

Maskini Masatu. mbona thread hii imekushusha hadhi hapa?
Maskini weeeee. Yaani sasa umekosa hata hoja za maana kuzungumza utitiri huu? Mhhhhhhh!
Ni aibu
 
Kukosa DIRA inamaanisha nini? Kuna uhakiki kwenye hili neno kwa chama kama Chadema? Neno hili linafaa kwa CCM kwa kuwa ndio kinachoongoza! Kiusahihi Chadema kimefanya kazi kubwa kuweza kuwafanya CCM WAANGALIE nyuma mara kwa mara. Shuhudia margin ya ushindi wa CCM uweze kujionea mwenyewe. Hayo majimbo matatu yaliyogombewa karibuni ni kioo tosha kuonyesha kinachokuja 2010. Unatakiwa kushuhudia bungeni kinachoendelea na uwajibikaji wa serikali (ya CCM) kwa wananchi uweze kufikia conclusion kama kweli Chadema imepoteza dira. Mimi siyo mwana Chadema lakini kwenye ukweli lazima kuuonyesha. Usisahau CCM ni master wa kupika ushindi ukitilia maanani tume huru ya uchaguzi bado kitendawili. Kumalizia napenda kuwaambia Chadema wakeep up the tempo!
 
Does this article make any sense ama tunataka sasa kushusha hadhi ya forum kwa kuleta inssues ambazo ni below standard of this forum ? Hivi Masatu hoja ama post hii si ungaliweza kuandika kule kule ziliko za CUF ama CCM tukabana matumizi ?Ni mawazo yangu na swali tu si lazima ufuate ninavyosema mimi .

Hawa ni miongoni mwa watu ambao hushabikia siasa ya nchi kama mipira ya ligi za Ulaya. Wapumbaf sana. Hawaangalii impact ilimradi baba, ama mjomba, au shangazi, au binamu, au wifi ni MSISIEMU basi na mkate ala hataki kujifikirisha na kufanya maendeleo ni kukaa tu bure. Hata hii internet connection kawekewa na hao hapo juu na hivyo what do you expect kama si kuwa puppet na kuandika mambo ya kishenzi kama haya. Kiongozi wao KIBUNANGO hapa jamvini. Wapumbaf sana.
 
CCM has failed most of us Tanzanians (Tanganyikans), we need an alternative to give the wake up call. As I sat back relaxed and watched how the game goes, Chadema looked, and still does look likely to give CCM that call. For me, I am a neutral, I dont belong any of these factions, but I love my country. I want it off the hands of these crooks/Hooligans, and thats all I need. My country comes first, forget Chadema forget CCM, country first. Sasa la msingi kusiwe na majority in parliament na pia wae na mitazamo inayopingana na yenye mwelekeo wa kujenga nchi zaidi na si ubinafsi!
 
Mugo"The Great";515422 said:
Kwanini wana-update daftari la wapiga Kura? Maana yake vijana wapya ambao hawakuwepo 1995, 2000 wanaingia sasa hivi. Kwa mfumo wa sasa unataka uniambie kuwa watanzania wameganda "siyo dynamic?" Kwanini niwaulize Chadema wakati mimi siyo wa huko? Mimi mwenyewe nina macho ya kuona na uwezo wa ku-analyse mambo.

Halafu usilinganishe Temeke na Busanda, Kiteto au Biharamulo, kwa sababu Busanda, B'mulo na Kiteto vinawakilisha Rural setting wakati Temeke inawakilisha miji. Na CCM ilikuwa strong zaidi in rural areas na upepo huu mabadiliko unavuma kuelekea kule ambako hawakutegemea yaani vijijini.

Again u missed the point! try to look at the bigger picture first, political dynamics ni zile zile hakuna jipya. Kama utakumbuka Mrema alikuwa anabebwa na wanafunzi wa chuo kikuu tena wengine leo viongozi wakubwa na mawaziri akina Ngereja, Nsanzungwanko, Mbatia etc. huku waki hamasisha maandamano kede kede, jiulize leo wako wapi?

Unazungumzia wapiga kura wa vijijini, mzee slow down huko hakufai kabisa mkuu na hiyo ndio ngome ya CCM dont read to much kwenye matokeo ya Bihalamuro.
 
Hawa ni miongoni mwa watu ambao hushabikia siasa ya nchi kama mipira ya ligi za Ulaya. Wapumbaf sana. Hawaangalii impact ilimradi baba, ama mjomba, au shangazi, au binamu, au wifi ni MSISIEMU basi na mkate ala hataki kujifikirisha na kufanya maendeleo ni kukaa tu bure. Hata hii internet connection kawekewa na hao hapo juu na hivyo what do you expect kama si kuwa puppet na kuandika mambo ya kishenzi kama haya. Kiongozi wao KIBUNANGO hapa jamvini. Wapumbaf sana.

It take mpumbavu kumjua mpumbavu! to make the matter even worse huyo mpumbavu ndio your biological father!

Just ask your mother!
 
CCM has failed most of us Tanzanians (Tanganyikans), we need an alternative to give the wake up call. As I sat back relaxed and watched how the game goes, Chadema looked, and still does look likely to give CCM that call. For me, I am a neutral, I dont belong any of these factions, but I love my country. I want it off the hands of these crooks/Hooligans, and thats all I need. My country comes first, forget Chadema forget CCM, country first. Sasa la msingi kusiwe na majority in parliament na pia wae na mitazamo inayopingana na yenye mwelekeo wa kujenga nchi zaidi na si ubinafsi!

This thread is about Chadema if you want to discuss the failure of CCM be free to initiate new thread and we will be more than happy to scrutinise those "crooks" and "hooligans'

Some times uwe unasoma heading kwanza kabla ya kudandia treni kwa mbele!
 
Politicians are the same all over, they promise to build a bridge even where there is no river.
 
Kufuatia kushindwa mfululuizo katika chaguzi ndogo za Busanda na Bihalamuro, chama cha "demokrasia" na maendeleo chadema kimepoteza dira sasa badala ya kukaa chini na kufanya tathmini ya kisanyansi mpaka kupelekea kushindwa katika chaguzi hizo, viongozi wa chama hicho hivi sasa wanamtafuta mchawi kwa kusingizia kuibiwa kura.

Madai kama haya yamekuwa yakitolewa na chama cha wananchi cuf katika chaguzi mbalimbali lakini chadema wamekuwa wakidai kuwa cuf ni walalamishi na sasa wimbo huo unaanza kuimbwa na chadema.

Ukweli ni Chadema kimekosa mikakati thabiti kuweza kuongoza na kubaki na kulala kila uchao, kilichobaki sasa kwa Chadema ni kurudi kwenye drawing board na kuanza upya huku wakijua siasa za Mwembe ya yanga za kulipua mabomu na kuvurumisha helikopta hazilipi na watanzania washawatukia kuwa ni chama cha kikabila na familia

Maneno ya mwishiwa, with faster declining prospensity. No wonder.
 
Masatu mi nilitegemea mtu ka wewe unayejua kusoma na kuandika ungeweza kupambanua mambo na ukajua Chadema kimeimarika ukifanya utafiti wako mdogo tu utagundua hilo mfano mdogo si tunaangalia % ambazo kilipata chama cha Chadema mwaka 2005 kulinganisha na mwaka 2009 kwenye majimbo hayo hayo hapo ndipo utagundua Chadema kinatisha Makamba halali huko ohoo
Kidumu chama cha mapinduzi.......!!!! kada mwaminifu
 
Maskini Masatu. mbona thread hii imekushusha hadhi hapa?
Maskini weeeee. Yaani sasa umekosa hata hoja za maana kuzungumza utitiri huu? Mhhhhhhh! Ni aibu

Hadhi? since when Masatu akawa na hadhi JF? unataka kunipa ujiko nisio stahili bure!
 
Again u missed the point! try to look at the bigger picture first, political dynamics ni zile zile hakuna jipya. Kama utakumbuka Mrema alikuwa anabebwa na wanafunzi wa chuo kikuu tena wengine leo viongozi wakubwa na mawaziri akina Ngereja, Nsanzungwanko, Mbatia etc. huku waki hamasisha maandamano kede kede, jiulize leo wako wapi?

Unazungumzia wapiga kura wa vijijini, mzee slow down huko hakufai kabisa mkuu na hiyo ndio ngome ya CCM dont read to much kwenye matokeo ya Bihalamuro.

Sasa nimejua kuwa una-mislead watu either kwa makusudi au kwa kutokujua facts. Hiyo miaka unayozungumzia nilikuwa pale Mlimani na Mbatia hakuwepo tena, Nsanzugwanko wala hakuwahi kukanyaga UDSM kupiga book. Mpaka Ngereja anamliza Degree yake 1994, Mrema alikuwa bado ni kada wa CCM.

Nsanzugwanko:
New England Univeristy – MBA – 1992-994 – Masters Degree
Tabora TTC – 1973-1974 –Certifcate in Teaching
College of Business Education – Diploma
New England University – 1991-1991 – Post-graduate Diploma

Ngereja:
University of Dar es Salaam – LLB- 1991-1994 Graduate
University of Dar es Salaam-LLM – 1996-1999 Masters Degree

Mrema:
Alikihama CCM mwaka 1995 na kujiunga na NCCR Mageuzi na hata wakati wa kampeni za 1995 Viongozi wote uliowataja hapo juu hawakuwepo UDSM kama wanafunzi

Ni vizuri wewe na Wenzio (CCM) mnaji-amini kuwa mnaangalia mambo at the bigger picture. Na hiyo ni Advantage kubwa kwa Wadanganyika na hasa pale mtakapogundua kuwa freefall is just around the corner and there is no way back.

Kwa taarifa yako nimetembelea vijiji vingi sana(ukiondoa vya mikoa ya Kusini) na mambo yanabadilika na siwezi kukuomba/kukulazimisha uniamini kwa sababu hakuna ulazima huo.
 
Mugo"The Great";516471 said:

The magic word ni wengine... ungesoma kwa makini sikusema wote. Ngereja alikuwa NCCR mageuzi toka akiwa mlimani na infact ndio nilie mlenga hapo.

All said and done the point is je hao hawakuwa NCCR?
 
Kama utakumbuka Mrema alikuwa anabebwa na wanafunzi wa chuo kikuu tena wengine leo viongozi wakubwa na mawaziri akina Ngereja, Nsanzungwanko, Mbatia etc.

Duh! ama kweli Kiswahili ni kigumu. Kumbe nilishindwa kuelewa maana ya neno wengine leo likifuatiwa akina. Anyway, Time will Tell.
 
Last edited:
Mugo"The Great";516496 said:
Kama utakumbuka Mrema alikuwa anabebwa na wanafunzi wa chuo kikuu tena wengine leo viongozi wakubwa na mawaziri akina Ngereja, Nsanzungwanko, Mbatia etc.

Duh! ama kweli Kiswahili ni kigumu. Kumbe nilishindwa kuelewa maana ya neno wengine leo likifuatiwa akina. Anyway, Time will Tell.

Lini Mbatia alikuwa waziri?
 
Chadema sio imekosa Dira bali haijawahipo kuwa na dira ,sasa itakosaje au itapoteza vipi ? Unajua Chadema ni wababaishaji sasa ukiwa mtu mbabaishaji unaweza kuwapoteza wengi sana na wakakuona unajua na una uwezo wa kila kitu kumbe patupu.
 
JF,
Utetezi ndio njia mbadala wa kuleta suluhisho katika huu mjadala.
Lakini, cha muhimu ni hizo takwimu??????
Nani yuko sawa?

Katika teknolojia ya sasa,hizo simu zenye vitufe kama taipu raita , notepad, hata selfphone! inaweza kutandaza habari sehemu yeyote duniani,sembuse minong'ono!

Hizo takwimu zinaweza kutofautiana kiasi gani?

Mie nafikiria sie Watanzania ndio tunakosa mwelekeo... hivyo kuviangusha vyama vyetu vya siasa!
 
It take mpumbavu kumjua mpumbavu! to make the matter even worse huyo mpumbavu ndio your biological father!

Just ask your mother!

Hata kama ni chemical father, wazalendo hawawezi kufikiria namna hii. Unatetea upumbaf pindi ukiwa beneficiary wa upumbaf na kimantiki ukiwa ni pumbaf vilevile, unapokosa au kukatishwa benefits ndio unaanza kulalama na walalahoi wanakutazama tu. Huu ni ujinga tuamke.
 
Back
Top Bottom