CHADEMA imekiri kufadhiliwa kutoka nje ya nchi katika shughuli zake za kujijengea uwezo

Status
Not open for further replies.
Habari Leo bana!!

Wajinga ndio wanaweza amini ***** huu!!
mkuu kama haupo tanzania sawa. ila kama upo TZ ilikuwa ni suala lakuangalia taarifa za habati kupitia tv zetu. kwani zote zilionekana viongozi wa chama lao wakiongea live bila chenga. pole.
 
Kwenye ukweli, uwongo unawekwa pembeni. CDM ni chama cha KIKRISTO, WAISLAM hamna chenu CDM

Wewe Mafilili, hivi udini unakusaidia nini? Nyie ndio mnataka kuifanya Tanzania iwe kama Nigeria!!!

Pambaf!!!!

Tiba
 
Kukosa elimu ya kufikiria ni mbaya sana!, hivi misaada inayotoka ulaya huwa inatoka kwa waislamu? Misaada yote inayotoka ulaya inatoka kwa wakristo na siyo waislam. Ukiangalia bajeti ya serikali inategemea hela kutoka ulaya kwa asilimia kubwa. Nchi za kiislamu zinazotoa misaada ni 2 tu qweit na saudia tena kwa kiasi kidogo sana. Kwani wakristo wa ulaya wanatoa misaada ya pesa waarabu misaada yao ni tende na kanzu kuu kuu na kujenga masjid.
 
[/B]

Mwandishi ametoa source ya habari hii. lakini wasomaji wengi wamaishia kusoma habari hii nusu nusu.
Katika source ya habari hii, Dr. Slaa aliendelea kusema kuwa Chadema, CCM na Cuf wote wanashirikiana na mashirika fulani ya huko Ujerumani.
Ila watu kwa uvivu wa kusoma na kwa kukurupuka kwa mvuto wa udini, wameanza kutoa comments za ajabu sana.
Kama Chadema inashrikiana na mashirika ya Ujerumani, na inabandikwa udini, sasa CCM na CUF nazo zitabandikwa nini ??
Kwa mijibu waDr. Slaa, "...CCM inashirikiana na FES, CUF inashirikiana na FNF zote za Ujerumani..."

Sasa hebu tuone yaho mashirika mengine yaliyotajwa hapo.

1. Tuanze na FES ambayo CCM inashirikiana nayo:
The Friedrich Ebert Foundation (German: Friedrich-Ebert-Stiftung; Abbreviation: FES) is a German political foundation associated with the Social Democratic Party of Germany (SPD), yet independent of it. Established in 1925 as the political legacy of Friedrich Ebert, Germany's first Democratically elected President, it is the largest and oldest of the German party-associated foundations. It is headquartered in Bonn and Berlin, and has offices and projects in over 100 countries. It is Germany's oldest organisation to promote democracy, political education, and promote students of outstanding intellectual abilities and personality. The current President of the FES is Peter Struck.

2. Tuje kwa FNF ambayo CUF inashirikiana nayo:
The Friedrich Naumann Foundation (German: Friedrich-Naumann-Stiftung für die Freiheit) (FNF) is a German foundation for liberal politics, related to the Free Democratic Party. Established in 1958 by Theodor Heuss, the first president of the Federal Republic of Germany, it promotes individual freedom and liberalism.
The Foundation follows the ideals of the Protestant theologian, Friedrich Naumann. At the beginning of the last century, Naumann was a leading German liberal thinker and politician. He resolutely backed the idea of civic education. Naumann believed that a functioning democracy needs politically informed and educated citizens.

Hao SPD wanaoshirikiana na CCM ndio wanaounga mkono sana ndoa za jinsia moja.
Halafu, hao FNF wanaoshirikiana na CUF, sera zao zinafuata maadili ya kikristo ya mwanzilishi wao Pastor Friedrich Naumann.

  • Sasa kwa msingi huu hapo juu, tunaweza kusema nini kuhusu CCM na CUF ??
  • Kwamba CCM wanaunga mkono ushoga, na CUF wapo kidini zaidi ndani ya Ukristo ???

mkuu yaelekea kiswahili ni kigumu, kufuata idea za pastor haimaanishi kuwa ni sera za kidini anaweza akawa pastor na akaongelea mambo ya maisha tu ya kawaida kama afanyavyo slaa majukwaani. swala hapa ni kuwa chama cha kikrsto cha ujerumani kipo kwa maslahi ya ukristo kama jina lilivyo. ukienda kule uarabuni ni kitu cha kawaida kukuta chama kinaongozwa au kimeanzishwa na shehe na hiyo haimaanishi imani so long hakijataja uislam kama uislam. sijui kama umenielewa?
 
Mie nadhani kauli kama hizi za kisiasa si za kuzipeleka mahakamani... kauli kama....... chama fulani ni cha wajenzihuru....mwenyekiti kafumaniwa..chama kinafadhiliwa na majambazi ... si za kupeleka mahakamani ..kwani tunapoteza muda na rasilimali zetu. Kwasababu wao wamezitamka (wameshtaki) kwa wananchi...basi na nyie mkazijibu (mkazitete) kwa wananchi.....nao wananchi watatoa hukumu (sanduku la kura)......
 
tatizo jina la chama na sera zake zimelenga kundi fulani! chama chenyewe kinaitwa Chama cha Kikristo cha Ujerumani (CDU) .... JINA LA CHAMA LINABEBA LENGO ZIMA LA HIKO CHAMA AU KAULI MBIU YAO! . no wonder chadema ni anti muslims

NA HIYO CDU INAPINGA KWA NGUVU UTURUKI(waislam wengi) KUJIUNGA UMOJA WA ULAYA.KIONGOZI WAO KWA SASA NI CHANCELOR ANGEL MACKELR AMBAPO SERIKALI YA KULE IMERUHUSU "ISLAMOPHOBIA KUFANYA FUJO MAENEO YA MISIKITI" KWA KUTUMIA MAHAKAMA. NA SERA YAO CDU ILIKUWA NI KUUNGANISHA WAKATOLIKI NA WAPROTESTANT CHINI YA CHRISTIAN DEMOCRACE.NINA MENGI ILA UKITAKA ZAIDI NENDA WIKIPEDIA.WAISLAM KUWENI MAKINI NA CHADEMA
 
SIASA BWANA, TANZANIA inataka kubadilisha siasa kuwa mchezo wa utani hivi. Kwa hiyo siku hizi akija mfadhili ambaye ni mkristo basi watu wamkimbie, sababu utaambiwa we2 unatumiwa na kanisa, na akija muislamu nae tukimbie utaambiwa huyu anatumiwa na MAGAIDI wa KIISLAMU, akiwa muhindi utaambiwa budha au ghabacholi: da ama kweli ...

HAKUNA UPYA WOWOTE katika haya mambo ya urafiki kati ya (1) chama na chama rafiki au (2) nchi na nchi rafiki. BAJETI yetu kubwa ya serikali inafadhiliwa na nchi rafiki, za kiislamu, kihindi na wazungu ambao wengi ni wakristo; sasa kipya nini. MIMI nafikiri hapa tungejadili kama CDM wamevunja sheria yoyote ya nchi kwa kupokea misaada kutoka nje, hapo kungekuwa na maana. LAKINI nafahamu kuwa kinachokatazwa na sheria ni CHAMA CHA SIASA kupokea misaada/ufadhili kutoka nje kwa ajili ya mchakato wa UCHAGUZI; tofauti na hapo mambo yote ni ruksa, ili mradi mahesabu yako yanaonyesha (tazama Sheria ya Gharama za Uchaguzi namba 6 ya 2010). CCM ndo inayoongoza kwa kupokea misaada kutoka nje kwa vyama rafiki kama ANC cha AFR KUSINI (1995 kilifadhili hata na MREMA WA NCCR kwa ajili ya URAIS kwa kumpatia helikopita la kampeni, MANDELA alisema ni ili kuweka uwanja sawa kati ya vyama vichanga vya siasa na CCM; ANC ni mfadhili mkuu wa CCM); CHAMA CHA KIJAMAA CHA CHINA kinafadhili CCM na kwa sasa kinajiandaa kujenga UKUMBI MKUBWA wa mikutano kwa ajili ya CCM baada ya CHIMWAGA kuwa sehemu ya chuo kikuu DODOMA, UDOM; Warusi nao na Wabulgaria NA VYAMA VYAO nk ndiyo waliosomesha akina KINGUNGE, SOKOINE na makada wengine wengi tu wa CCM kwa ajili ya kuijenga TANU/ASP now CCM... sasa jipya lipi? HAKUNA.

NI VIZURI tukajikita ktk mambo ya msingi ya kisera, jaani je, SERA za CDM au CCM au CUF zitatukomboa kama wa-TZ kutoka lindi la umaskini? HAYA NDIYO MAMBO YA MAANA KUJADILI ..., MENGINE UPUUZI MTUPU kwani huwezi kuwa chama unajiandaa kuongoza dola na huna marafiki wa maana, NYERERE aliwahi kusema "... ndugu zangu, kwa kuwa ni muhimu sana hasa kwa nchi changa kama hii yetu au chama kuwa na marafiki kama ilivyo urafiki kati ya binadamu na binadamu, nilikuwa safirini, hivi karibuni, nchini CHINA (alitamka CHAINA) kwa ajili ya kujifunza wenzetu huko wanafanya nn katika kujiletea maendeleo ..."
 
Tatizo chama chenyewe kimelenga kundi moja halafu islamophobia inazidi kuongezeka kwenye hizo nchi za magharibi hivyo inafanya watu kuwa na wasi
 
Hebu jaribuni kumuelewa Dr. Slaa. Hakusema kuwa KAS ni wafadhili wa CDM bali wanawawezesha katika seminars kwa kuleta wataalamu wa kutoa mada.

wehu wengine bwana: me nawashangaa sana wehu kama nyinyi, hv unaweza kutofautisha nini hapo. kama unasema huli nguruwe lakini mchuzi wake unakunywa maana yake nini.... kazi mnayo na udini wenu huo
 
NA HIYO CDU INAPINGA KWA NGUVU UTURUKI(waislam wengi) KUJIUNGA UMOJA WA ULAYA.KIONGOZI WAO KWA SASA NI CHANCELOR ANGEL MACKELR AMBAPO SERIKALI YA KULE IMERUHUSU "ISLAMOPHOBIA KUFANYA FUJO MAENEO YA MISIKITI" KWA KUTUMIA MAHAKAMA. NA SERA YAO CDU ILIKUWA NI KUUNGANISHA WAKATOLIKI NA WAPROTESTANT CHINI YA CHRISTIAN DEMOCRACE.NINA MENGI ILA UKITAKA ZAIDI NENDA WIKIPEDIA.WAISLAM KUWENI MAKINI NA CHADEMA

mbona washawastukia kitambo! wapo wachache wanajifanya hawaoni.. udini wa chadema upo waziwazi !
 
Mimi nina wasi wasi na elimu tunayopewa watanzania, kwanini mnapandikiziwa udini nanyi mnakubali? Hivi sabodo alipowafadhili CHADEMA yeye ni mkristu? mbona hamkusema kuwa CHADEMA ni chama cha waislam kwa kuwa sabodo ni Mwislam?

fungua macho wewe, hivi sabodo unaweza kumfananisha na chama chenye uwezo na malengo ya kidini kama hicho, sabodo ni mtanzania akiiuza tanzania naye atakaa wapi... nyinyi mna malengo ya kidini si mseme wazi tuuuuu
 
NA HIYO CDU INAPINGA KWA NGUVU UTURUKI(waislam wengi) KUJIUNGA UMOJA WA ULAYA.KIONGOZI WAO KWA SASA NI CHANCELOR ANGEL MACKELR AMBAPO SERIKALI YA KULE IMERUHUSU "ISLAMOPHOBIA KUFANYA FUJO MAENEO YA MISIKITI" KWA KUTUMIA MAHAKAMA. NA SERA YAO CDU ILIKUWA NI KUUNGANISHA WAKATOLIKI NA WAPROTESTANT CHINI YA CHRISTIAN DEMOCRACE.NINA MENGI ILA UKITAKA ZAIDI NENDA WIKIPEDIA.WAISLAM KUWENI MAKINI NA CHADEMA
waambie japokuwa hawa watu ni wagumu sana kuelewa. mbuzi hasikii gitaa, labda tubadilishe mlio.
 
Funguka Dr taja na huyo mfadhili mwengine isije ikawa hao wa uholanzi ni chama cha kutetea mapenzi ya jinsia moja.

TAFAKARI: Shida iko wapi? Hivi mapenzi ya jinsi moja hapa Bongo hayapo? Tafauti na huko ulaya ni kuwa hapa Bongo watu hufanya kimya kimya (KIFICHO) ila huko "MAJUU" ni wazi na pengine kuhalalishwa.
 
Kweli Dr slaa kazeeka anaanza kuropoka sasa, tujiandae tutashuhudia mengi, imedhihirisha udini wa chadema kwa Mahusiano na Christian Democratic union, wadini wa kikristo wataendelea kumtetea! Ss atatueleza Mahusiano na vyama vyenye mrengo wa ushoga kule uingereza.

I deeply feel sorry for you because this post shows that you are very clueless and ignorant. Paying you any attention is definitely a waste of time and even torture.

Stop seeing issues on narrow sectarian prism.Jitoe katika utumwa wa udini na ukabila

SIASA BWANA, TANZANIA inataka kubadilisha siasa kuwa mchezo wa utani hivi. Kwa hiyo siku hizi akija mfadhili ambaye ni mkristo basi watu wamkimbie, sababu utaambiwa we2 unatumiwa na kanisa, na akija muislamu nae tukimbie utaambiwa huyu anatumiwa na MAGAIDI wa KIISLAMU, akiwa muhindi utaambiwa budha au ghabacholi: da ama kweli ...

HAKUNA UPYA WOWOTE katika haya mambo ya urafiki kati ya (1) chama na chama rafiki au (2) nchi na nchi rafiki. BAJETI yetu kubwa ya serikali inafadhiliwa na nchi rafiki, za kiislamu, kihindi na wazungu ambao wengi ni wakristo; sasa kipya nini. MIMI nafikiri hapa tungejadili kama CDM wamevunja sheria yoyote ya nchi kwa kupokea misaada kutoka nje, hapo kungekuwa na maana. LAKINI nafahamu kuwa kinachokatazwa na sheria ni CHAMA CHA SIASA kupokea misaada/ufadhili kutoka nje kwa ajili ya mchakato wa UCHAGUZI; tofauti na hapo mambo yote ni ruksa, ili mradi mahesabu yako yanaonyesha (tazama Sheria ya Gharama za Uchaguzi namba 6 ya 2010). CCM ndo inayoongoza kwa kupokea misaada kutoka nje kwa vyama rafiki kama ANC cha AFR KUSINI (1995 kilifadhili hata na MREMA WA NCCR kwa ajili ya URAIS kwa kumpatia helikopita la kampeni, MANDELA alisema ni ili kuweka uwanja sawa kati ya vyama vichanga vya siasa na CCM; ANC ni mfadhili mkuu wa CCM); CHAMA CHA KIJAMAA CHA CHINA kinafadhili CCM na kwa sasa kinajiandaa kujenga UKUMBI MKUBWA wa mikutano kwa ajili ya CCM baada ya CHIMWAGA kuwa sehemu ya chuo kikuu DODOMA, UDOM; Warusi nao na Wabulgaria NA VYAMA VYAO nk ndiyo waliosomesha akina KINGUNGE, SOKOINE na makada wengine wengi tu wa CCM kwa ajili ya kuijenga TANU/ASP now CCM... sasa jipya lipi? HAKUNA.

NI VIZURI tukajikita ktk mambo ya msingi ya kisera, jaani je, SERA za CDM au CCM au CUF zitatukomboa kama wa-TZ kutoka lindi la umaskini? HAYA NDIYO MAMBO YA MAANA KUJADILI ..., MENGINE UPUUZI MTUPU kwani huwezi kuwa chama unajiandaa kuongoza dola na huna marafiki wa maana, NYERERE aliwahi kusema "... ndugu zangu, kwa kuwa ni muhimu sana hasa kwa nchi changa kama hii yetu au chama kuwa na marafiki kama ilivyo urafiki kati ya binadamu na binadamu, nilikuwa safirini, hivi karibuni, nchini CHINA (alitamka CHAINA) kwa ajili ya kujifunza wenzetu huko wanafanya nn katika kujiletea maendeleo ..."

Umesema niliyotaka kusema utadhani tumeyajadili mezani

Tanzania still has a learning curve and we will get there but we must do the needful and partner with people, parties with whom we share similar ideas

Wengine wanaona tatizo ni chama hicho kuwa CDU.Hawajiulizi kama sera na itikadi hizo ni kueneza makanisa ama ni kuwa na ideas zinazo-accomodate diverse society

Msomi Mwingine naye ingawa anajua anachokifanya amejaribu kufanya spinning kwamba ati wazungu hawawezi kutoa bila kujua hela inarudije.Hii ni grey Propaganda na of-course hapa ni lazima awapate wengi.

utaratibu wa sister parties upo.Party with similar ideas and not necessarily 100 percent similarity per se.

Chadema kiko sahihi kumshataki Nape.Huwezi ku-mislead public kwa kufanya propaganda ambazo unajua ni uhalifu.Kuchafua chadema kwamba inapata mabilioni kutoka nje ya nchi ni uhalifu wa kisiasa kama huna uthibitisho.

Kusema kwamba chadema inafanya conspiracy na watu wanaotolea macho raslimali zetu ni uhalifu wa kisaiasa sio siasa

Capacity building ambayo sister party and other partners wanasaidia ni jambo la kawaida hasa pale ambako unakuwa na partners wanaokubaliana na sera na itikadi za chama husika.Vyama vya siasa nje ya Africa vinajikita katika itikadi ambayo ndiyo chimbuko la matakwa ya chama hicho katika kushika dola.It's the platform on which a political party lies.Ni imani ambayo unaamini itakupa dira ya kuwaelekeza wafuasi wa itikadi hiyo kule wanakotaka kwenda

Who told them that it is an ofènce for developing countries to copy and borrow ideals frm developed countries to forster good governance nd polical class?

European countries and americans are planting true democracy across the world and Tanzania should not be an exception.Mfumo wa vyama vya siasa umeanzia huko,ukiongelea demokrasia unaongelea ajenda ya mataifa ya magharibi kwa model hii na dhana yake.Sijui wanapiga kelele nini na kufanya upotoshaji ili kuhalilalisha slanderous campaign zao
 
Nashukuru sana;

Hivi ulihesabiwa au wewe ni miongoni mwa waliokamatwa na kuachiwa kwa dhamana?

Nawe soma hapa;
"...Hao SPD wanaoshirikiana na CCM ndio wanaounga mkono sana ndoa za jinsia moja.
Halafu, hao FNF wanaoshirikiana na CUF, sera zao zinafuata maadili ya kikristo ya mwanzilishi wao
Pastor Friedrich Naumann.

  • Sasa kwa msingi huu hapo juu, tunaweza kusema nini kuhusu CCM na CUF ??
  • Kwamba CCM wanaunga mkono ushoga, na CUF wapo kidini zaidi ndani ya Ukristo ??? ..."

Unaweza kusema ukitakacho lakini kama hauna ushahidi yanabaki kuwa ni mapumba.

Slaa kakiri misaada toka chama cha siasa cha kikristo, ni kipi usichokielewa au unachokisema?
 
Tokea lini ukaona msaada toka kwa waislamu wa kiarbu! Wao wananyonya ndo maana kule kwao hata ukifanya kazi huwa wanakunyonya, ni tofauti na wazungu.
 
said arfi,chiku abwao,abdallah safar,zitto na wengine kataka yangu mnasubiri nn tena hilo lipo wazi halihitaji tochi.mrengo mmoja hao(deception)

sio bure lazima utakuwa na minyoo ya nguruwe(pig tape worms) kichwani mwako!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom