CHADEMA imekalia kuti kavu. Ni hofu ya uchaguzi 2015 na machafuko yanayoendelea dunian

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
352
Kasi ya chadema imewatisha baadhi ya vyama, wingi wa watu kwenye maandamano na kukubalika hasa na vijana, hali ngumu ya maisha, na machafuko yanayoendelea dunia. Kumeitia hofu serikali na chama tawala. Vyombo vya dola kiangalia cdm kwa jicho la tatu. Swali watu wanajiuliza, je ni kweli cdm inahamasisha vurugu na uchochezi, tatizo ni cdm au ufisadi na hali ngumu ya maisha na ukosefu wa ajira au ni hofu ya ccm uchaguzi 2015, na kuchokwa na wananchi. Cuf, nccr, ccm, udp, tlp one side cdm other side (alone). Wht is next move? wait and see,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom