MsakaGamba
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 392
- 141
Hii mada ma mods wanaogopa kuinyofoa?
Hili la chadema halipingiki ni chama chenye mlengo wa udini tena waziwazi,kama haitachukua hatua hawatafika kokote,nikajaribu kufanya kautafiti kadogo kwa wakristo kila ninayemuuliza chama gani chadema,ukifuatilia kwa undani unakuta hawa watu wameandaliwa makanisani. siku zote wakristo hawapendi kuongozwa na waislam huu ndio ukweli ,watajihidi kuhamasishana ili nchi iongozwe na wao kana kwamba wana hati miliki na nchi.sasa hivi waislam nao wameshituka,mwendo ni uleule hata mkisema wanatumiwa na ccm propaganda yenu wameshaishitukia wala hawadanganyiki vinginevyo chadema wajirekebishe.mnafikiri mtashinda kwa nguvu za kanisa peke yake?tz ni nchi salama hakuna bengazi, rukenirukeni tu kwa kujifurahisha,nani atakayeongoza hiyo bengazi huyo padiri wenu anayejificha kwy maspika,au huyo msaliti wenu mboe?! eti mnamsakizia lema ajipeleke gerezani baada ya kukosa sababu ili mlete vita,hatuwashangai hata rwanda chokochoko zililetwa na maaskofu.vurugu zenu zinaniboa sana.ok anzani kuleta vurugu na mtafute kabisa kwa kukimbilia.wenye uchungu na nchi watailinda.kama waliweza kupigania uhuru watashindwaje kuilinda,ebo!
Uchaguzi wa Ubunge na Urais 2010 Cdm ilijizatiti kuyashika makanisa..mfano mzuri Arusha Radio Safina ilitumiwa Vyema na Lema na wakawahadaa wananchi kuwa yule mama muislamu akiingia ataifunga Radio Safina na wakristo wakaingia mkenge wakafunga siku 7 na maombi juu ili yule mama Asishinde..kanisa la kkkt, na Catholic Church lililopo near makao makuu ya Tanapa yalikuwa yakitumika kwa maombezi maalum ya kumuombea Lema na viongozi wa cdm akiwemo Lema walikuwa ni wahudhuriaji wazuri tu..sasa hivi ushabiki unakuwa mwingi ila ni dhahiri kuwa cdm kilijikita katika makanisa na ni weakness cuz kura ziligawanyika kwa mpangilio huo, for the future Tanzania, chama chenye scope hiyo siyo kabisa kwa mana ni factor for social stratification...sisapoti udini for any party anyway!