CUF wameingia kwenye ndoa bila kijitambua sasa huyu anasemaje au anamaanisha nini ? Kuwa adui wa CUF ni CHADEMA ili hali vyote ni vyama vya upinzani ? anamaanisha nini ? anamaanisha kuwa CHADEMA wameiga CUF hata bendera ? anyway hapa wanathihirisha uu CCM B, Ni kweli mnapinga kwamba ninyi si CCM B, Lakini maneno yenu na kauli zenu ni ushahidi wa kweli kuwa ninyi ni CCM B
V4C= VIBARAKA 4 CHANGE
Kweli wehu bado wako wengi, wazee wa mashindano, sasa nyie CUF kama nyie wabunifu uzeni basi huo ubunifu wenu tuone mbona mnazidi kufa bila kujua? mmefunga ndoa kaeni na mme wenu awatunze acheni majungu na umbea, ya CDM hayawahusu jadilini ya Mme wenu CCM. Hamna hoja mnaona CDM inavopaa na M4C mnajibaraguza ilikuwa hoja yenu mbona watanzania hawawajui na V4C yenu hiyo wehu hamna lolote.hahahahahahhahha mnatia aibu CDM kwani hamjui kuwa tuliwabeba sana?? kwani hamjui kuwa mliiga hadi rangi za bendera??/ mmesahau kuwa muafaka uliwauma sana kiasi kutuita CCM B??? halafu kweli wewe kilaza umesahau kuwa KIGOMA mlianza nyie NDOA??? then nikukumbushe kitu kaka sera ya serikali ya shirikisho yaani vyama vyote ni ya CUF ccm hawana, cdm hawana wote mnaiga. sasa basi nikuambie kitu CUF ndio wenye sera hiyo. na siyo niye vilaza mnaague vitu ambavyo hamvijui .
Mkuu jibu ni rahisi CUF siku zote wapinzani wa CDM sio CCM ndio maana kila wasemalo CDM wao wanapinga wanasupport ya Mume wao CCM. Ndoa tamu bwana hujui mume wao anawapa nn ndo mana wakati wote wanawatetea CCM badala ya CDM.hivi kwaninini cuf wanapoulizwa swali la kwanini wanajibu chadema kwanini?
kwanini wasijibu ccm halafu wanasema wao ni wapinzani
Eti Lipumba amefanya utafiti wa rasilimali za Tanzania nchini marekani!!?? eti Chadema wameiga? Yani hata hajui kwamba shughuli ya kuchangia M4C ilianzia arumeru wakati wa uchaguzi mdogo wa arumeru mashariki, shughuli ilifanyika Naura Spring hotel, wakati huo Lipumba hajulikani alipo na cuf ikiwa imeyumba hata ikashindwa kusimamisha mgombea.Baada ya ndipo shughuli ikahamishiwa viwanja vya jangwani kwa ajili ya wakazi wa dar na maeneo jirani.
Haya CUF, kila kitu nchi hii mmeanzisha nyie
1. Katiba mpya
2. Vita dhidi ya ufisadi
3. Movement for change
....
chadema imedandia behewa la cuf!
chadema imedandia behewa la cuf!
Kwa hiyo mnaanzisha kisha mnafungia kwenye makabati au, CDM awalali katika kuboresha chama na kukileta karibu na wanachi, msilalamike ingieni msituni na ninyi nuonekane, sio kukaa na kulalamika wakati wenzeni wanafight. CDM ni wabunifu na ndio maana hata CCM wanajaribu mbinu zote kukiaribia lakini mpaka sasa wameshindwa kwani wamejipanga vizuri sio mnaongea tu.