Chadema imedandia behewa la cuf!

MKUUU thom malima mkutano wa arusha jana uliendaje nasikia watu walikuwa nyomi pamoja chodomo wanadai ni ngome yao
 
Kama wamekopi au La sio tatizo, Chochote kilicho chema na bora, kuiga/kukopi/kufatisha ni busara, na wenye hekima hukopi mambo mema ndio maana tunakopi elimu sayansi na technolojia inapobidi, bali wasio na hekima wao hukopi yasio na heri kama vile uvutaji bangi, ufisadi, matusi, kejeri nk..............

All positive and constructive ideas needs to be implemented regardless to whom were initialized for the benefit of Tanzanian's as a nation.

Discussing them in a view of because was initialized by somebody then should not be practiced by second and third parties and could be a dis-respectfulness is a childish argument.

 
kiwososa ndugu ya hii story yako ni sawa na watu wawili wanamkimbiza mwizi...mwizi ametanguli mbele anakimbia kwa kasi sana na mkimbizaji namba 1(CUF) amejitahidi kumkimbiza mwizi akifuatiwa na mkimbizaji namba 2(CDM),baada ya safari ndefu ya kumkimbiza mwizi bila mafanikio,mkimbizaji mwizi namba 1(CUF) anaishiwa pumzi na kuchoka wakati huo mwizi anazidi kukimbia na kumwacha,mkimbizaji namba 2(CDM) anaongeza kasi na kumpita mkimbizaji mwenzake(CUF) na kumkamata mwizi...wakati CDM ameisha mkamata mwizi,CUF sasa nae anafika kwenye eneo alilokamatiwa mwizi na kuanza kulalama..."huyu ni mwizi wangu"..."mimi ndolikuwa nimekaribia kumshika"..."kwa nini umemshika"..."mimi ngemshika tu ata kama usingekuja wewe"...ahaaa ahaaa ahaaa...zile zile hadithi za sungura...
 
Ni kheri ya Chadema waliodandia behewa la cuf na hatimaye kuchukua usukani na kuiendesha treni.
cuf endeleeni kujipongeza kwa the so called ubunifu, tena wa kwenye makaratasi wakati Chadema wanafanya kweli on the battle ground.

Kama huyu Thomas Malima ndiye katibu mtendaji wa jumuiya ya vijana wa cuf lakini hajui tofauti kati ya vision na movement nakihurumia sana cuf kwakuwa naanza kuona sababu ya kushindwa kuwavutia vijana makini.

Eti Lipumba amefanya utafiti wa rasilimali za Tanzania nchini marekani!!?? eti Chadema wameiga? Yani hata hajui kwamba shughuli ya kuchangia M4C ilianzia arumeru wakati wa uchaguzi mdogo wa arumeru mashariki, shughuli ilifanyika Naura Spring hotel, wakati huo Lipumba hajulikani alipo na cuf ikiwa imeyumba hata ikashindwa kusimamisha mgombea.Baada ya ndipo shughuli ikahamishiwa viwanja vya jangwani kwa ajili ya wakazi wa dar na maeneo jirani.
 
Huyu naye tumeshamchoka kwa nini asikae kwenye ndo yake atulie ajilie vya mmewe amekalia kuleta chokochoko hadi kwa majirani au kwa sababu mmewe anabifu na jirani yake
 
Thomas Malima mdogo/Ndugu na Mtatiro... nawafahamu wote wote uwezo wa kufikiri ni mdogo sana,... vipi Arusha mmefanikiwa?
 
This folk( Tom Malima) is full of it , the stupidity I mean. Why waste time and energy on such counter productive issue as this is? Did you have patent on what you claim? Think critically and at the end you will find yourself having a better strategy perhaps more than CHADEMA. Stop crying on people shoulders!
 
kweli FUC hata ndoa na ccm mmeanzisha ninyi na itawamaliza wenyewe, CHADEMA imeshawashinda magamba naona FUC mnacheza, afu huyo malima hiyo B.A. with EDUCATION ndo unavyoitumia hivyo!!?
 
Inasemwa kwa sasa, hakuna jipya unaloweza kufanya eti likawa halifanani na alilofanya mwingine, iwe nchini kwako au nchi nyingine. Ila inapendeza zaidi unapofanya kitu kilekile lakini wewe ukakiboresha kikavutia zaidi. Hapa namaanisha kuwa CUF hata kama nyie ndo mlianzisha hii movement/vision, hamkuifanya kiufanisi kama walivyofanya wenzenu wa CDM. Hivyo CUF hakuna haja ya kulumbana, kuweni waungwana tu muwaache CDM wang'are maana wao wameiboresha na inaonekana imewapendeza sana. Kikubwa tuliondoeni kwanza hili jumba bovu ccm, ili tuanze na mfumo mpya ambao utawapa fursa watanzania ya kushiriki katika mchakato wa kujiletea maendeleo kwa uhuru zaidi kwa kutumia rasilimali zao kuliko ilivyo kwa sasa ambapo malaika watu ccm majambazi wamejiona wao ndo wana haki hata ya kuamua KUKUUA pasipo kufuata sheria, ila kwa sababu tu unatimiza wajibu wako japokuwa ni nje ya sheria/ Kamuhanda. (hii inakera sana)
Tuiungeni mkono CDM, maana ndo iko kwenye nafasi nzuri ya kutuletea mabadiliko ya utawala hapa Tanzania.
 
Kama kweli mliianzisha nyinyi, kwanin hamshangai basi vinaonekana vya CDM?
Yaani mlikua wapi wakati CDM wanawachukulia na kuvitangaza kua ni vyao?

Unaweza ukaanzisha halafu ukafungia makabatini. Ili msiibiwe tena maubunifu yenu feki, next time mkianzisha jaribuni kweka na copyright au patent right kabisa .
 
hahahahahahhahha mnatia aibu CDM kwani hamjui kuwa tuliwabeba sana?? kwani hamjui kuwa mliiga hadi rangi za bendera??/ mmesahau kuwa muafaka uliwauma sana kiasi kutuita CCM B??? halafu kweli wewe kilaza umesahau kuwa KIGOMA mlianza nyie NDOA??? then nikukumbushe kitu kaka sera ya serikali ya shirikisho yaani vyama vyote ni ya CUF ccm hawana, cdm hawana wote mnaiga. sasa basi nikuambie kitu CUF ndio wenye sera hiyo. na siyo niye vilaza mnaague vitu ambavyo hamvijui .
POLE mlimbwende kadumishe ndoa yako
 
TATIZO SIO V4C or M4C ,tunachotaka ni Chama cha Upinzani kweli kinacholeta mabadiliko y a kweli kwa Watanzania. acheni porojo
 
Back
Top Bottom