CHADEMA ilipotosha umma taarifa ya Membe?

chama cha demokrasia na maendeleo pamoja na baadhi ya vyombo vya habari vinalaumiwa kupotosha taharifa ya waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa mh Benard Membe

Taharifa kamili
WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imesema baadhi ya vyombo vya habari pamoja na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), vilipotosha taarifa ya Wizara hiyo kuhusiana na chama kinachofadhiliwa ili kuleta machafuko nchini.

Imesema Waziri Bernard Membe hakutaja jina la chama wala nchi kinachofadhiliwa na nchi za Jumuiya ya Ulaya ili kuleta machafuko nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, John Haule amesema, Serikali itachukua hatua za kidiplomasia chini ya Mkataba wa Kimataifa wa Vienna kuhusu Mahusiano ya Kidiplomasia wa mwaka 1961, ikiwa itathibitisha nchi na chama hicho.

Haule amesema , Wizara imepokea taarifa za ujumbe wa simu za mkononi unaosambazwa kuwa baadhi ya nchi za Jumuiya ya Ulaya zinatuhumiwa kukifadhili chama cha siasa nchini ili kuleta machafuko na kwamba, raia wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo wanakuwa na wasiwasi juu ya usalama wao.

"Tumepokea taarifa hizo na tumezipeleka kwenye vyombo vinavyohusika kwa uchunguzi na ikithibitika, Wizara itatoa taarifa," amesema Haule leo.

Amesema, katika mkutano wa Waziri Membe alioufanya wiki iliyopita na waandishi wa habari, alijibu suala hilo bila kutaja jina la chama wala nchi inayofadhili, lakini Chadema kiliibuka na kumtaka Membe kuzitaja balozi hizo zinazofadhili chama hicho na kiasi cha fedha kinachotolewa

Taarifa hii imetolewa kwa kina nani? Majuha? Kama Membe alitamka kwa kuficha na Sofia Simba akapasua jipu tuseme Membe anajikosha ili agombee urais 2015. Hatudanganyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
 
umeona eeh? Sijui source yao ya habari huwa ni ipi? Slaa kipindi cha uchaguzi ashawahi kuzusha kuna contena lenye shahada za kupigia kura limekamatwa mahali,polisi kwenda wakakuta ni uzushi hakuna cha shahada wala nini! Hivi kwanini cdm wanamfeed kiongozi wao habari za uzushi? Hii inafanya watu kukosa imani nao

Uongo ndio mtaji mkubwa wa Chadema.

Mkuu wa mkoa shinyanga kafariki, Magufuri kaacha kazi n.k

Kweli hicho ni chama makini kweli kipewe nchi?
 
Swali linapokuja wakuu kwanini hamumkamati na kumuadhibu! vp humna uwezo huo!??
 
Chadema wamezoea sana kuzidisha na kupotosha umma. hao hao walidanganya kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga amefariki, na hao hao tena jana tu wamezua kuwa magufuri kajiuzulu. Na kesho watasema mengine.

hakika Chama hiki kimejaa wanafiki na waongo wakubwa sana katika kutaka kuleta balaa nchini.

wewe na Membe ndiyo wanafiki hata mtoto wangu alisikia na jana akashangaa na kuniuliza hivi nini kinaendelea nikakosa majibu.Useless people kama ninyi hatuwataki kabisa mmepitwa na wakati.

Tuambie mkuu wa mkoa wa shinyanga leo yuko wapi?kisha njoo upige porojo hapa.
 
Yakhe ghahawa ina levya?

Kashangazi, Ghawawa hailevi ila madaraka ndiyo yanalevywa. Mmelewa madaraka sasa mnafikiri nchi ni ya kwenu peke yenu. Si mmeona jinsi Ghadafi alivyolewa madaraka?? Na ninyi mko ivyoivyo ila hamjajua kwa vile dhoruba ya mabadiliko haijafika Bongo!!
 
wewe na Membe ndiyo wanafiki hata mtoto wangu alisikia na jana akashangaa na kuniuliza hivi nini kinaendelea nikakosa majibu.Useless people kama ninyi hatuwataki kabisa mmepitwa na wakati.

Tuambie mkuu wa mkoa wa shinyanga leo yuko wapi?kisha njoo upige porojo hapa.

Sikiliza vizuri kama una upofu wa masikio kauli ya Membe. Ametaja kuna chama kinafadhiliwa ........ lakini hakukitaja jina na mwisho alimalizia tumewaachia vyombo vya usalama kufuatilia hilo na kutoa taarifa kamili.

Kimsingi hakutaja jina na vile vyombo vya usalama vinalifanyia kazi na watatoa taarifa na hatua. Sasa Chadema Pupa za nini, Je hamjui kuwa mnajikanyaga wenyewe, kwanini mna react kama sio nyie.

Acheni ujinga huo, Tuache vyombo vya usalama vifanye kazi yake kiumakini na ufasaha.

Vipi Dr Magufuli kajiuzulu? uzushi mwingine huo.
 
Uongo ndio mtaji mkubwa wa Chadema.

Mkuu wa mkoa shinyanga kafariki, Magufuri kaacha kazi n.k

Kweli hicho ni chama makini kweli kipewe nchi?

Je wanaotwambia Kigoma kuwa kama Dubai, Mwanza kama Calfonia, Mgao wa umeme kuwa historia, Wanafunzi kutumia video cofference n.k Sijui wenyewe wanatumia mtaji gani. KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!

Keli nimeamini MTAJI WA CCM NI UJINGA WA WATANZANIA (Prof. Balegu, 2009)!!
 
Sikiliza vizuri kama una upofu wa masikio kauli ya Membe. Ametaja kuna chama kinafadhiliwa ........ lakini hakukitaja jina na mwisho alimalizia tumewaachia vyombo vya usalama kufuatilia hilo na kutoa taarifa kamili.

Kimsingi hakutaja jina na vile vyombo vya usalama vinalifanyia kazi na watatoa taarifa na hatua. Sasa Chadema Pupa za nini, Je hamjui kuwa mnajikanyaga wenyewe, kwanini mna react kama sio nyie.

Acheni ujinga huo, Tuache vyombo vya usalama vifanye kazi yake kiumakini na ufasaha.

Vipi Dr Magufuli kajiuzulu? uzushi mwingine huo.

acha kuzungusha visivyozungushika wewe.. kama kauambia uma kuna chama kinafadhiliwa manake anajua na ana vidhibitisho vyote

huwezi ukaongea hadharani wakati ni tetesi,, atuambie ni chama gani hicho
 
Sikiliza vizuri kama una upofu wa masikio kauli ya Membe. Ametaja kuna chama kinafadhiliwa ........ lakini hakukitaja jina na mwisho alimalizia tumewaachia vyombo vya usalama kufuatilia hilo na kutoa taarifa kamili.

Kimsingi hakutaja jina na vile vyombo vya usalama vinalifanyia kazi na watatoa taarifa na hatua. Sasa Chadema Pupa za nini, Je hamjui kuwa mnajikanyaga wenyewe, kwanini mna react kama sio nyie.

Acheni ujinga huo, Tuache vyombo vya usalama vifanye kazi yake kiumakini na ufasaha.

Vipi Dr Magufuli kajiuzulu? uzushi mwingine huo.

unajua mkuu kuna msemo unaosema'ukirusha jiwe gizani atakayesema yalaaah ujue limempata" Membe hakutaja chama sasa kwnini cdm wakurupuke?? kwanini TLP,DP ama SAU wasilalamike? au wanajihisi nini? mwaka huu wataglue kweli
 
Chadema wamezoea sana kuzidisha na kupotosha umma. hao hao walidanganya kuwa Mkuu wa Mkoa Shinyanga amefariki, na hao hao tena jana tu wamezua kuwa magufuri kajiuzulu. Na kesho watasema mengine.

hakika Chama hiki kimejaa wanafiki na waongo wakubwa sana katika kutaka kuleta balaa nchini.
Ccm ndo wapo wasema ukweli. Walitwambia ukweli ktk epa, richmond, dowans, kagoda, deep green etc.
 
Eti huyu jamaa nae anajifanya anataka kuwa Rais . Habari hii inatofautiana vipi na ile ya kwanza? Bwabwa ni bwabwa tuu hadi kwenye ubongo.
 
unajua mkuu kuna msemo unaosema'ukirusha jiwe gizani atakayesema yalaaah ujue limempata" Membe hakutaja chama sasa kwnini cdm wakurupuke?? kwanini TLP,DP ama SAU wasilalamike? au wanajihisi nini? mwaka huu wataglue kweli

CDM hawakurupuki, aliyetaja Chama ni Sofia, Mbembe alipoulizwa akajifanya kupoza issue ila alidhibitisha kuna chama bila kutaja jina. Sasa kama wanauhakika huo inakuwaje wasikijue hicho chama. Then our intelligence systemiko ICU!!
 
maneno kuntu haya.

Acheni kujikanyaga nyie Chadema
 
unajua mkuu kuna msemo unaosema'ukirusha jiwe gizani atakayesema yalaaah ujue limempata" Membe hakutaja chama sasa kwnini cdm wakurupuke?? kwanini TLP,DP ama SAU wasilalamike? au wanajihisi nini? mwaka huu wataglue kweli

Jaribuni kutumia akili mlizopewa bure na mwenyezi Mungu. Siku mbili ama tatu kabla ya Membe kuema KUNA CHAMA FULANI kinafadhiliwa na nchi moja ya magharibi, Waziri mwenzake katika Baraza la Mawaziri na mwana CCM mwenzake alitamka wazi kuwa CHADEMA inafadhiliwa na nchi moja ya magharibi ili kuleta machafuko nchini. Kutumia akili uliyopewa na MUNGU ni pamoja na kujumlisha moja na moja ili kupata mbili badala ya kumi na moja! Mawaziri wawili wa Chama tawala wanatuambia kuwa kuna Chama kinafadhiliwa ili kuleta machafuko nchini, mmoja anataja wazi jina la Chama hicho na mwingine anadai kuwa taarifa imepelekwa kwenye vyombo vya usalama ili kupata udhibitisho wa taarifa hizo, akili yako inakuambiaje??? Umeishatafuniwa, basi hata kumeza tu mpaka umezewe??? Za mbayuwayu jumlisha na za kwako!
 
Kauli ya leo ya serikali ni tata kidogo....wanasema Membe hakuitisha kikao na waandishi kuhusu suala la ufadhili wao toka nje....lakini hawakuseama kuwa hakusema CHADEMA ina ufadhili toka nje
 
CDM hawakurupuki, aliyetaja Chama ni Sofia, Mbembe alipoulizwa akajifanya kupoza issue ila alidhibitisha kuna chama bila kutaja jina. Sasa kama wanauhakika huo inakuwaje wasikijue hicho chama. Then our intelligence systemiko ICU!!

are u also influential teacher?(guru) mbona hufananii
 
Ccm ndo wapo wasema ukweli. Walitwambia ukweli ktk epa, richmond, dowans, kagoda, deep green etc.

CCM kuwa waongo hakujustify CDM kupapatika na kudanganya!!!!

au unataka kusema uongo wa CDM una upako?

conclusion ya Membe ni kuwa vyombo vya usalama vinafuatilia na mwisho vitatoa majibu. kwa maoni yangu hakukuwa na haja ya CDM kulalama labda wangeishia tu kupambana na Sophy na kuacha habari ya Membe kuwa hawahusiki period
 
Mnyika alisema kauli ya membe ina utata maana haijatajwa chama gani kinafadhiliwa. Kwa ilo jamaa,membe,anachanganyikiwa!
 
Back
Top Bottom