Chadema ilikuwa na uwezekano mkubwa wa kushinda Igunga ikilinganishwa na Arumeru

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
Huu ndio ukweli halisi whether you like or not na ukitaka kuliona hili ni nguvu ambayo MAGAMBA waliitumia Igunga ikiwemo hadi kufikia kuwavamia makamanda wa CHADEMA hotelini na kuwafyatulia risasi, na hata kumwagiana tindikali na kuwasingizia CDM.

Sababu kubwa niliyoiona ni kwamba, CHADEMA walianza vyema na speed nzuri Arumeru mashariki, lakini siku zinavyoenda naona CHADEMA wanapunguza mashambulizi na wao ndio wanaozidi kushambuliwa zaidi, hata mikutano ya CCM kwa sasa imechangamka ukilinganisha na wiki mbili zilizopita.

Pia its like kuna migogoro inayoenda ndani kwa ndani kwenye CHADEMA, na pia kuchafuana au kuchafuliwa kumezidi sana this time ukilinganisha na Igunga.

Kumbuka Igunga CCM walifikia hata hatua ya kupeleka vyakula kwenye kampeni ili angalau watu wawe wengi, wakati ukiangalia mikutano ya CHADEMA watu walikuwa wengi sana na mapambano ya kutosha,

Mimi ni mwana CHADEMA, lakini iwapo tutashindwa kulipata jimbo la Arumeru Mashariki licha ya weakness zote za mgombea wa CCM (Uraia, Hajui kuongea mbele ya watu, Mpasuko wakati wa kura za maoni), basi kwa kweli 2015 tusahau kushinda.

Najua hata Nape na mkuru wanatamani CHADEMA washinde Arumeru, I wapo CHADEMA itashindwa, naacha rasmi kushabikia siasa za Bongo kwani ntaona ni kujipa presha zisizo na faida maishani.

IGUNGA 2011 (Chakula)

CCM+Kampeni.png



IGUNGA 2011 (Pombe):
320581_163430573738117_158108290937012_315590_985909421_n.jpg
 
Kwani wameru wana njaa njaa kama wanyamwezi. Hao wako jirani na A town huwezi kuwakamata kwa wali maharage. Hukusikia wale wazee kukataa kupanda malori wanataka V8? Mnyamwezi anayajulia wapi mambo ya V8 si waliswekwa tu kwenye malori.
 
ccm safari hii hawana jipya kwa sababu huku siyo igunga huku ni kwa watu waliosoma hawadanganyiki ndio maana hawawezi kufurukuta kingine makundi yao yanawamaliza wanataka kumkomoa lowasa
 
hii imekuwa aibu sana kwa taifa hasa majirani zetu wakituona, nchi iliyokuwa na heshima imegeuka jalala, wachungaji wamesababisha cc wumini imani kupungua, mfano kanisa katoliki limekuwa kisiasa kidogo, mara lowasamgeni rasmi, mara kikwete chaguo la mungu, mara lowasa amekusanya wachungaji. najua ccm itashinda arumeru lkn hapo ndo ntaamini kuwa Tz n taifa lililojaa wajinga wengi.
 
Back
Top Bottom