CHADEMA iko tayari kuongoza?

''Labda kwa kuitoa list of shame na kuendesha operesheni Sangara''; by Blantanda
ndiyo hicho kinachonitisha sana... maana yawezekana kwa wengine huo ndio uongozi wenyewe..

Kweli? Hicho hapo juu ndicho ulichokuwa unafikiria na kutishika nacho sana? Dah, kwa hiyo kipindi hiki una assignment ya kuipiga madongo CDM ili iweje mwanakijiji?, CDM ife? Idharauliwe? Wanachama wahame? Au una malengo yako binafsi kufagia njia yako? To make it short, CCM kazi kubwa (hidden) waliyo nayo(kuliko jukumu halisi la kuikwamua nchi kiuchumi) ni kudhoofisha harakati zote za CDM. Walioko katika uongozi hawafanyi kazi zaidi ya kupambana na changamoto za polisi, wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi ambao wamepewa rungu la kuzua harassment kila wakati mpaka ile juhudi ya viongozi wa upinzani usionekane, zaidi waonekane wana vurugu, wagomvi n.k. Bungeni ukweli umeuona sina haja ya kusimulia.
Ndio maana sasa hapa kazi yako imekuwa rahisi, maelezo ya hapo juu yanadhihirisha, unakazi ya kutumia katechnic kako kuzidi kumwaga sumu ili iwe watamanivyo wapinzani wa wapinzani. Go on mwanakijiji.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom