Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Hebu subiri kidogo, umeweza kuwaamini CCJ ambao so far ni mysterious, lakini huwezi kuwaamini CHADEMA walioweza angalau kuleta mabadiliko bungeni! Kuna kitu hujatuambia kuhusu CHADEMA na CCJ. In any case, watu hubadilisha uongozi kutokana na sababu moja kati ya hizi zifuatazo:
i) kushindwa kwa chama kilichopo madarakani
au
iii) yote mawili hapo juu.
Tunaweza kubishana kuhusu ii) na iii). Lakini tunakubaliana unanimously kuhusu i) na hii ni sababu tosha ya kuifukuza CCM. Sasa tutafute sababu ingine ya kuendelea 'kudumisha ndoa yetu' na CCM. Kwamba Chadema wanaweza au hawawezi sio sababu ya kuendelea kuwachagua CCM.
i) kushindwa kwa chama kilichopo madarakani
au
ii) kuwapo chama bora zaidi kuliko kinachotawalaau