Chadema ikichukua usukani wa nchi mahakama zilizopo zitatosha kubeba wafungwa?

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Nilikuwa najiuliza na kufikiria uozo ulipo kwenye hii nchi hasa kwenye masuala ya mafisadi!Kwa kuwa uongozi wote uliojuu umeonyesha kushindwa kusimamia haki ipasavyo hali hii imesababisha kila idara kuwa na ufisadi wa kutupwa! Nilikuwa nasoma post mbalimbali hapa JF, Mara Polisi wanavuta unga, mara akina RA, EL na wengine ni mafisadi, mara EPA, RICHMOND, DOWANs na mengine mengi!

Sasa nikajiuliza CDM wanawapinga sana mafisadi na ikitokea wakatawala nchi nina imani mafisadi wote wataswekwa ndani sasa hivi mahakama zitatosha kweli? make uozo uko hadi ubongoni?
Aisee hatari kweli inakuja mafisadi jipangeni wenzenu akina Mbaraki, Laurent na Gadhaf wamekaribia kuyaanza!
 
Back
Top Bottom