Chadema ijipange upya

NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
596
307
Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.
 
Not enough:)
 
Jitoe magamba na wewe! Hatudanganyiki.......Lowassa, Chenge na RA wako bungeni kwa ticketi ya chama kipi? Bunge ni zaidi ya chama NOT ENOUGH
 
Nyoka ni yule yule hakuna jipya,tatizo la ccm sio la mtu mmoja mmoja bali la mfumo wote haufai,
 
Not enough kweli.....na hiyo CDM uliyopo wewe naamini sio hii ya Dr Slaa.Hii CC ya chama cha magamba ni kama mbu hivyo CDM hatuwezi kutumia rungu kupambana nao....nenda kamsalimie mzee Msekwa na CC ya magamba waambie huku watu wapo variant hadi basi
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Nyie tuendeeleni kupuuza mambo tuone kama ikifika 2015 kama hatujawa extinct - where is NCCR???
 
CDM na CCM ni tofauti, kujivua gamba kwa CDM ni sawa na kufata maovu ya CCM. CDM ipo mzuka kwa mfumo huu kwani ndio haswa umeivunja ngome/magamba ya CCM. Wanachama wa cdm ndio haswa wajivue mangamba na elements zote walizorithi za ccm. CDM CHAMA KUBWA!
 
Nyoka ni yule yule hakuna jipya,tatizo la ccm sio la mtu mmoja mmoja bali la mfumo wote haufai,

Hivi mfumo wa CDM ni mzuri sana? wa kumwabudu mwenyekiti kama Mungu mtu? au sababu anatoa pesa? ndo maana unaona Zitto anakuwaga tofauti.
 
Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.

Mukama wako ni mtupu mno.Hajui nini kilitokea na kinatokea ndani ya CCM. Hajui siasa ya ujamaa na kujitegemea iliuawa na mafisadi kwenye kikao chao kilichoketi Zanziba hata kabla Nyerere mwenyewe hajafa. Mukama wako kama zuzu akiwa Zanzibar juzi juzi hapa alisimama nakutamba kwamba eti CDM hawana itikadi ila CCM wanaitikadi ya ujamaa na kujitegemea. what a shame! Maskini Mukama, hajui kabisa kwamba tatizo sio mafisadi bali tatizo ni mfumo uliowazaa mafisadi. Kuua azimio la Arusha chini ya usimamizi wa nguvu na baraka zote za CCM ndio kuliko zaa ufisadi na mafisadi. Viongozi ndani ya CCM waliokuwa hawana mitaji ya kukusanyia utajiri waliruhusiwa kuvuna mitaji hiyo kwa njia zote haramu, hii ni pamoja na kuliingiza taifa letu katika mikataba mibovu na yakinyonyaji. Walio kuwa nje ya mfumo wakaanza harakati zakuingia kwa gharama yoyote ikiwamo rushwa ktk chaguzi. Tukaanza kushuhudia maprofesa walafi kama akina Kapuya wa kiacha kazi za uhadhiri/ utafiti na kujiingiza kwenye ubunge na kuruhusu vijana wao wakiwashughulikia watu wanaodhani ni wapinzani wao huko Kaliua. Tukashuhudia ndugu zeti waasia/wahindi/waarabu nao wakiunganisha biashara zao na siasa kwa gharama zozote. Mr.NOT ENOUGH, CCM hawajagundua gamba la kujivua. Nawashauri kwa nia njema warudi wakasome Azimio la Arusha, ama hakika wataliona gamba la kujivua. Bahati mbaya sana timu ya Mukama ama kwa kiburi au kwa siasa za ulimbukeni hawana mpango wakuliona gamba halisi. Mzee Msekwa umeipeleka wapi busara yako mpaka unaanza kupelekwa na kitukuu chako Nape Nnauye ambaye ina onyesha kabisa haijui wala hajawahi kuiona misingi ya Azimio la Arusha.
 
Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.

Hamia ccm.
 
Not enough nimegundua huna msimamo wewe mara wajifanya mwanchadema huku ukiiponda,unaleta mambo ya kukata tawi ulilokalia
 
chadema wamejipanga zamani taratibu, ila kama unaona haijajipanga nenda CCM ambako leo bado uko huko (kachukue kadi ya pili) otherwise chadema iko full mszuka
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mnafiki wewe, kama ni mkweli ungeenda kusemea kwenye vikao vya CDM! Hamia tu huko CCM kama basi hauko CCM kweli. Hatujuti kumpoteza mwanachama mnafiki kama wewe!
Mimi ni mkweli si mnafiki kama wanachama wengine, penye ukweli nasema ukweli
 
Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.

Naomba ufafanuzi wa maneo hayayenye lugha machnganyiko ndipo tuweze kuchangia
 
wa magamba tu wewe,mwana cdm gani unayefananisha chama chako na hao ccm!cdm chama safi,adilifu na yenye kupigania wanyonge!ijisafishe vp wakati iko safi na haina magamba?
 
Ndege wanaofanana huruka pamoja,wewe mwenzetu huko unakokwenda ni wapi?ccm kukudanganya kwa kujivua gamba wewe chali duh!
 
Honestly CCM have done the massive reconstitute in CC, Nina imani na wajumbe karibia wote isipokuwa January who we all believe that he is a puppet. Mtu kama Mkama, Nape, Chligati hawana makundi kabisa kwahiyo CCM kwa 90% inaweza ikarudi kama chama hai. Nikiwa kama mwanachadema naona hii ni challange kwetu na kuna haja ya kujipanga upya.
Na hii uliiposti somewhere else
Lema hapati ubunge 2015
Wana Arusha walikuwa wamechoswhwa kabisa na Mbunge wao Mrema ambae ailikaa kwa vipindi vitatu.Kuna usemi wanasema 2010 ungemshindanisha Mrema na karatasi basi watu wangepigia kura karatasi. Hii inaonyesha ni kiasi gani alikuwa amechokwa.

Lema alikuwa hodari wa kuomba kura kwani alikuwa na mvuto wakati wa kampeni, ila tuelewe unaweza kuwa mzuri kwenye kuomba kura lakini when it comes tu execution na jinsi ya kujenga hoja uka fail. Tuache ushabiki wa kisiasa ila kama leo tukisema tu mrate Lema na Zitto, Mdee, Mnyika na Lissu itakuwa ni sawa na kichuguu na mlima kilimanjaro. Wana Arusha wengi walizani Lema angepeleka challange bungeni kama vijana wenzake ila imekuwa tofauti kabisa. He presents his stuff in a cheap way and this proves his poor competence and knowledge.

Sasa hivi Arusha ukitembelea kwenye social platforms utasikia tu huyu bwana 2015 hapati tena. Infact mpaka viongozi wake wanadiriki kusema Lema is too athletic.

Ushauri - Lema should take time to learn kutoka kwa waliomtangulia na and he should not be over ambitious especially in hunting the popularity.

Yet unajidai eti "nikiwa kama mwanaChadema".Loh,MAGAMBA hayo
 
Not enough kweli.....na hiyo CDM uliyopo wewe naamini sio hii ya Dr Slaa.Hii CC ya chama cha magamba ni kama mbu hivyo CDM hatuwezi kutumia rungu kupambana nao....nenda kamsalimie mzee Msekwa na CC ya magamba waambie huku watu wapo variant hadi basi

Hawa wapima public opinion wa Msekwa na Nape watakua disappointed kweli!
 
Back
Top Bottom