CHADEMA iitishe maandamano ya shinikizo?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Kushinikiza Dowans itaifishwe, Ngeleja ajiuzulu na kujijenga kisiasa na kiuongozi kuelekea uchaguzi wa mitaa? Wanangojea upendelem gani kwa Mungu au hadi awateremshie magunia ya kura?
 
Kushinikiza Dowans itaifishwe, Ngeleja ajiuzulu na kujijenga kisiasa na kiuongozi kuelekea uchaguzi wa mitaa? Wanangojea upendelem gani kwa Mungu au hadi awateremshie magunia ya kura?

Duh, hata mimi nashangaa! Kwanza alianza Zitto kuitumia vibaya nafasi yake na Waandishi wa Habari sasa CHADEMA, Kila mtu sasa hivi anaguswa namgao wa Umeme, take the opportune wakuu, you will draw attention ya kila Mpiga Kura
 
Vyombo vyote vya dola kuanzia Jeshi, FFU, Polisi, na hata Mgambo wataitwa ili kupambana na wakorofi wachache wanaotaka kuharibu "amani" ya Tanzania. Kutakuwa na mkong'oto wa mama nitazamie si ajabu baadhi wakaumia sana hata kupoteza maisha.
 
Vyombo vyote vya dola kuanzia Keshi, FFU, Polisi, na hata Mgambo wataitwa ili kupambana na wakorofi wachache wanaotaka kuharibu "amani" ya Tanzania. Kutakuwa na mkong'oto wa mama nitazamie si ajabu baadhi wakaumia sana hata kupoteza maisha.

Viongozi wetu wanajua kuwa Watanzania katika kufikiria wataanzia hapo (kutiana hofu) na ndiyo maana hawana wasi wasi kabisa. But just note that "Some people have to die a little for others to survive". Kwa Tanzania kila mtu anakimbia na mtumbwi wake kuhakikisha kuwa unaelea na hauzami. Lakini anasahau kuwa inaweza kuzama yote kama hawatashirikiana kufikishana pwani!:confused:
 
Kushinikiza Dowans itaifishwe, Ngeleja ajiuzulu na kujijenga kisiasa na kiuongozi kuelekea uchaguzi wa mitaa? Wanangojea upendelem gani kwa Mungu au hadi awateremshie magunia ya kura?

Ningeshauri iitishe maandamano ya kupinga ushauri wa Zitto na kupongeza ujasiri wa Ngeleja kupinga kutaifishwa kwa DOWANS.
 
Nafikiri maandamano yalenge kushinikiza waziri ngeleja ajiuzulu kwa kushindwa kutatua tatizo la umeme kwa muda..kama waziri mwenye dhamana?? tutakuwepo wengi huko..maana hata kukaa huku hakuna biashara inayofanyika..
Maandamano yaende mpaka kwa ofisi ya waziri asiruhusiwe kuingia ofisini mpaka kieleweke.
 
Kushinikiza Dowans itaifishwe, Ngeleja ajiuzulu na kujijenga kisiasa na kiuongozi kuelekea uchaguzi wa mitaa? Wanangojea upendelem gani kwa Mungu au hadi awateremshie magunia ya kura?

...Chadema hawana ubavu huo...!! wala historia hio hawana...!!! na Ma-oppurtunist fulani tu!!!
 
Nadhani ni muda muafaka kabisa. JK alipoingia madarakani ahadi zake zilikuwa ni pamoja na kulitafutia ufumbuzi tatizo la umeme, Sijui kama maana yake ilikuwa na maanisha ya kuingiza rich?dowans!
Nyimbo na ngonjera nyingi zimechezwa vya kutosha, ni wakati wa kusema sasa basi.
 
Wakati watengeneza mkataba na Richmond alidiriki kusema kwamba tatizo la umeme Tanzania litakuwa historia hii ni katika moja ya hotuba zake za mwisho wa mwezi....shame on him
 
Ngeleja ameshindwa kazi na anapwaya sana...aanze kufyeka kwanza yeye...halafu wengine wafuatie....linalofuata RICHRUKW nyingine badala richmond ngoja tusubiri...
 
Kushinikiza Dowans itaifishwe, Ngeleja ajiuzulu na kujijenga kisiasa na kiuongozi kuelekea uchaguzi wa mitaa? Wanangojea upendelem gani kwa Mungu au hadi awateremshie magunia ya kura?

oj_simpson_011108.jpg
 
Kushinikiza Dowans itaifishwe, Ngeleja ajiuzulu na kujijenga kisiasa na kiuongozi kuelekea uchaguzi wa mitaa? Wanangojea upendelem gani kwa Mungu au hadi awateremshie magunia ya kura?

Kwa taifa lenye wapinzani makini, wasiojikomba serikalini, hii ilikuwa golden chance, ya kuleta ile kitu wengi tunaitaka.

Vyama vyoote kimya, Mbowe ndio kwanza pengine anamtumia SMS Kikwete, ''pole kwa kazi mzee, tuombe Mungu tatizo litaisha'' Zito naye ndiyo mmemsikia.

Hakuna upinzani Tanzania, tunaliwa tu kupitia ruzuku.
 
Kushinikiza Dowans itaifishwe, Ngeleja ajiuzulu na kujijenga kisiasa na kiuongozi kuelekea uchaguzi wa mitaa? Wanangojea upendelem gani kwa Mungu au hadi awateremshie magunia ya kura?[/QUO
Asante kwa ushauri wa nguvu....
Tuwape siku mbili tu tuwasikie watasemaje?
 
Katika watu wanaojua kusoma alama za nyakati basi MMW..anajua..
Mzee una ushehe Yahya kidogo nini...lol
 
Ningeshauri iitishe maandamano ya kupinga ushauri wa Zitto na kupongeza ujasiri wa Ngeleja kupinga kutaifishwa kwa DOWANS.
Mkuu ungejua tu kwamba Ngeleja hawezi kukubaliana na Utaifishaji kwani Dowans ni mali ya mtandao, hivi kweli ulitegemea atasema nini?..
Mkuu mnajaribu sana kutumia vitabu mahala ambapo hapastahili.. Kwanza fahamu Bongo inaendeshwa vipi ni rahisi sana kuwashtukia vibaka..Siku zote ukisikia serikali inatetea jambo au kutoa ahadi basi litazame mara mbili.
 
Mkuu ungejua tu kwamba Ngeleja hawezi kukubaliana na hili kwani Dowans ni mali ya mtandao unategemea atasema nini?..
Mkuu mnajaribu sana kutumia vitabu mahala ambapo hapastahili.. Kwanza fahamu Bongo inaendeshwa vipi ni rahisi sana kuwashtukia vibaka..

djvat0x8mfp1nzg1w4qj.gif

peace out homie!
 
JK aliwahi kusema mgao wa umeme utakuwa historia.......sijui kama anaweza kusema haya maneno leo hadharani. Shame on him
 
CHADEMA huwa nakikubali ila sometimes huwa hawapo makini na mikakati ya kujikuza kisiasa
 
Back
Top Bottom