Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 1,211
- 230
Endeleni kuwasha moto na kupandikiza chuki na haya ndiyo mwanzo wa matunda yake.mengi yakutisha tuyatarajie !
Endeleni kuwasha moto na kupandikiza chuki na haya ndiyo mwanzo wa matunda yake.mengi yakutisha tuyatarajie !
Haitishi ni wsiwasi wenu, Dr. Slaa hajakatazwa kuhoji ila njia haikuwa sahihi kuhoji si lazima uvunje amri ya serikali; nadhani unaelewa nini maana ya serikali iwe ni Vatican, Tanzania utendaji ni uleule, kwani Dr. Slaa kama angehoji kwa press conference hangesikika? Lawana atazibeba sana kamanda mkuu alisema "liwalo na liwe" sasa mlaumu kitu gani? Hilo alilolitaka mwanaharamu huyu Dr. Slaa limeshakuwa lakini ukweli kuna mzazi leo hajalala kwa majonzi , wakati Slaa anavuana chupi na Josephine
Chama
Gongo la mboto DSM
Kamanda Precise pangolin;
wacha kamba kama ungekuwa unasikia uchungu ungekuwa Mufindi kuziba pengo la kamanda Mwangosi (R.I.P), inasikitisha na kuhuzunisha sana kuona kijana wa watu amepoteza maisha kwa sababu ya upuuzi wa mtu kam Dr. Slaa kulikuwa na ulazima gani wakati serikali ilishakataza, kama haitoshi baada ya tukio hili badala ya kuungana na familia ya marehemu bado alijitia kudai Chadema watafanya mkutano hivi tuseme angekufa mtoto wake au kaka yake Josephine bado angeyasema hayo? Leo kuna wazazi hawatalala, kwa majonzi, leo kuna watoto maisha yao yatabadilika kwa kumkosa baba, yote sababu ya nini kwa sababu ya mshenzi mmoja aliyekosa busara; mtailaumu polisi lakini kama huo ushindani wa kipuuzi usingeshinikizwa na mpumbavu Dr. Slaa Mwangosi (R.I.P) angekuwa hai, yeye amaeshinikiza akiwa hotelini kazi nyake ni kutoa vyambo watoto watu.
Makamanda akili kichwani mwenu hakuna mtu mwenye uwezo wa kushindana na nguvu ya serikali.
Chama
Gongo la mboto DSM
Hebu jiulize tuswali hutu Chama:
-Kwamba polisi wangeacha hafla ile ndogo ikafanyika, usalama wa raia na mali zao ungeathirika vipi?
-Kwamba polisi wangehangaika na VIONGOZI wa CHADEMA kama Dr Slaa tu isingetosha?
-Kwamba polisi wetu wamefundishwa kukabiliana na matukio kama haya kwa namna ile? Nguvu ile?
-Kwamba aliyeuwawa alikuwa hatari kiasi gani kwa wao Polisi?
Tunahitaji jeshi jingine la polisi nchi hii. Sio kubadili UONGOZI wa jeshi hilo tu.
Mkuu chama,
Hakuna anayefurahia mauaji haya nilimsikia Dr.Slaa anatoa kauli ya ubabe kwa serikali pamoja na jeshi anasema hatuwezi kusitisha mikutano yetu tutafanya kwa nguvu tumechoka, hivi kweli polisi wangekubali kauli kama hiyo ya Dr. Slaa.
Ni vizuri wawaambie na wajue kuwa kila wanalofanya linawekwa kwenye record. Tena ningependa CDM waanzishe Tume ya Haki za Raia na za Binadamu ambayo itakuwa na kazi ya kurekodi vitendo vyote (na wanaoviteda) vya kuvunja haki hizo.
Mkuu Ritz,
Dr. Slaa anajua nini maana ya serikali; taasisi ikiitwa serikali ina taratibu na sheria ambazo ni lazima zifuatwe hakuna cha ajabu mbona serikali ya Vatican ilishaua sana baada kuona watu wanahatarisha usalama wake; makamanda kuna siku wataujua ukweli kuhusu Dr. Slaa.
Chama
Gongo la mboto DSM