Chadema iende kanda ya ziwa- mwanza, shy, geita, mara, shimiyu, kagera

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Kanda ya ziwa tunahitaji kuongea na viongozi wa CDM, ngazi ya taifa ili kufahamu juu ya mambo mbalimbali yanayolikabiri taifa. Tunajua yapo mengi sana, tunataka tushiriki kupata mstakabari wa taifa.

Tungependa pia kupitia mikutano hiyo kuwaona viongozi wetu mkoa na wilaya wakiwasilisha mada mbalimbali hususani hali ya kisiasa katika maeno yao. Ni wazi wakati umefika hawa viongozi wa mikoa na wilaya kuongea tena sana na kwa takwimu. Tungefurahi pia idadi ya wanaCDM hai kuanza kujulikana wilayani, mikoani hadi taifa. Je tunawanachana takribani wangapi? tunasogea mbele au stagnant, au tunarudi nyuma???

Viongozi mtusikie.
 
Back
Top Bottom