CHADEMA Huu ni wakati wa mavuno ya wanachama tusilale, tumieni majembe yenu yote kwa kasi!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Ukiangalia hali ya upepo wa kisiasa nchini kwa sasa CDM wanakubalika saana haswa kwa vijana wa jinsia zote, hiii ni kwa sababu ya hali halisi ya maisha kwa mtanzania kwa sasa, lakini sio kwa vijana tuu, bali pia kwa malika menginew pia, Kwa mtazamo wangu nadhani hali ngumu ya maisha plus, ulimbimbikizaji wa mali kwa viongozi wetu walio madarakani.

Naona ni wakati muafaka kwa CDM kuvuna wanachaa wengi, kwani mitaani na vijijini watu wanawasubiri kwa hamu muende ili wachukue kadi zenu, kwa muono wa haraka haraka tuu, mkifanya mkakati huo kwa miezi sita tuu mtakuwa na wanachama wengi zaidi ya CCM, I mean wanachama wenye kadi, kwa bahati nzuri nimezunguka vijiji vingi mambo ndio yako hivyo!

Kwa ushauli wangu, Dr. Slaa siyo mbunge angetumika saana kwa straitegie hiyo, pia Lema naye atakuwa na mvuto wa kipekee kwa sababu ya mambo yalivyokuwa kwa kesi yake na uwezo wake wa kuuza sera, lakini, inabidi iwe ni katika kipindi hiki kifupi straitegically, Viongozi mtashanga kwa turnup!

Nawasilisha.
 
kila kitu na nyakati zake huu ni msimu wa kuvuna na shamba lenyewe ni ccm.
wamekula wakakufuru sasa wanatapika.





peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees.
 
peoples power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

iyo ni poa
 
Si mmeona Ole Millya kisha anza? Watakuja weeengi saana! Just a matter of time
 
Mtavuna ukouko Kaskazini..uku kwingine hawawataki na ukanda wenu.

kakuambia nani ata ww mwenyewe siku si nyingi utajiunga!tunakuaja uko kwako,kaa mkao wa kuleta kikadi chako cha magamba!pple's pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
kakuambia nani ata ww mwenyewe siku si nyingi utajiunga!tunakuaja uko kwako,kaa mkao wa kuleta kikadi chako cha magamba!pple's pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

thubutu!!
Nijiunge na cdm kwani mie meno yangu yameungua!?
 
Mwanza, songea, mbeya, iringa kote kaskazini! Au kaskazini mwa msumbiji? Kama ni kaskazini ya msmb uko right
 
Mtavuna ukouko Kaskazini..uku kwingine hawawataki na ukanda wenu.

Mwanza kwetu mkuu...Karibu siku moja ijionee uimara wa CDM au waulize SITA na Ngereja kilicho wasibu kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani pale Kata ya Kirumba...hivi majuzi.
 
Back
Top Bottom