Chadema huu ni wakati wa mabadiliko

Status
Not open for further replies.
Ni vigumu sana kuelimishwa ukaelimika, ubongo wako utakuwa umejaa kamasi. Watu wamejitahidi kukuelimisha lakini bado unashikilia misimamo ya kijinga tu.
Ipo siku ndio utajua nani kajaza kamasi kwenye ubongo, haya yoote yatabackfire bigtime!
 
Ni vigumu sana kuelimishwa ukaelimika, ubongo wako utakuwa umejaa kamasi. Watu wamejitahidi kukuelimisha lakini bado unashikilia misimamo ya kijinga tu.
Hata wewe sidhani kama IQ yako inafika 70, kwa maana usingeishi hivyo, na usiniambie sijui unaishije najua upo na maisha ya kawaida kabisa kama sio chini ya hapo, na IQ yako ingezidi 70 ungekuwa na uwezo wa kuelewa kwamba kila mtu ana haki ya kuchangia na kusema analoliona bila ya kutukanwa au kudhalilishwa na mimi sikufanya tofauti na hilo zaidi ya kusema kama mtanzania jinsi nionanvyo mambo yanavyokwenda kama nilikukera kama ungekaa kimya kama walivyofanya wengine wengi, na hiyo ndio intelligence sio kejeli!
 
Tena cdm wakisema waziwazi kuwa watauvunja muungano baada ya kupata madaraka watapata kura nyingi sana.kwa sababu watz wengi hawautaki muungano kwa sababu hauna faida kwao na kura nyingi zitatoka zenji ambao wamepinga waziwazi kuwa hawautaki. usione watanganyika wamekaa kimya ukadhani kuwa wanaupenda muungano la hasha ni kwa vile tu hawana hulka ya kusema hovyohovyo.usitishwe na viongozi wa ccm wanao utetea huo muungano ni kwa manufaa yao binafsi sana sana ya kichama.muungano ukifa ccm haipo.kwani kipande kimoja ni tanganyika (tanu) na kingine znz (asp) na ndio wenye sera ya muungano.cdm hakuna sera ya muungano.

Ushindwe na ulegee katika jina la yesu aliye hai
 
Ndugu,nakupa ushauri wa bure:acha kazi ya kupambana na kimbunga cha mabadiliko.
Nadhani uhamishie nguvu zako kwa vyama dhaifu kama UPDP ama CHAUSTA.
 
Ushindwe na ulegee katika jina la yesu aliye hai

Yesu hawezi kusikia sala yako kwa vile kwenye mkataba wa muungano hakuna sahihi yake kuna sahihi ya nyerere na karume tu.na utanishangaa nitaendelea kudunda tu.na kesho soma vizuri nitachangia hoja kama kawa hapo ndipo utakapoumbuka.usilitaje jina la yesu bure hapa siyo mahali pake.
 
Yeye ndo njia ya Ukweli na uzima.
 
Natoa rai kwa uongozi wa Chadema wakae chini na kuwafunda wabunge wao kwani inaonekana wamekosa uelekeo wawapo mjengoni.

Tumefuatilia kwa karibu tukagundua wabunge wao wanaongoza kwa kuanzisha mijadala ambayo inasababisha wananchi waanze kususia kusilikiza vikao vya bunge. Wengi wao wamegeuza bunge kuwa ni kijiwe cha kutoa porojo. Chondechonde wabunge wa Chadema kumbukeni mpo mjengoni kuwakilisha mawazo ya wananchi na wala sio kuhamasisha uvunjwaji wa sheria mkiwa bungeni.

Mbunge wangu John Mnyika kumbuka una deni kubwa la kutekeleza ahadi ulizozitoa manzese, sinza, ubungo, bonyokwa, kimara; punguza kupoteza muda kwa kuomba mwongozo BADALA YA kuwakilisha mawazo ya wanaUBUNGO.

Tafadhali CHADEMA badilikeni!!!

Ningekubaliana na wewe if and only if nchemba angekuwa cdm.lkn kwa hapo jaribu lingine.
 
Jamani nimesoma post zote,aliyeleta hoja alileta hoja nzuri ya kuelimishana na kujichunguza ili kwa points zilizotoka pande zote mbili,tuokote lile litakalotuwezesha kushika dola.Kila mtu ana haki ya kuchangia,hayo matusi ya nini? Hebu tujaribu kuwa 'great thinkers' wa kweli,hata ss tulio kimya na kufuata mijadala ya 'wasomi wetu' kwa makini,tupate mvuto wa kuwafuatilia. Ngalia Bunge hivi sasa linavyopoteza mvuto,kwa sbb ya maneno ya hovyo kama hayo! Sio wote wahuni humu,tunata hoja ipingwe kwa hoja na sio matusi.Mungu awasamehe na mrudi kwenye desturi zetu na maadili,tuendelee kujadili.
 
MAFILILI Wewe huwa unaangalia bunge lipi? Akina Muhagama, Mwigulu Nchemba, Lusinde wote ni CHADEMA? Hivi sijui wewe huwa akili yako huwa inakimbilia makalioni? Huna ushirikiano na ubongo wako, unajaribu kuwafanya watu waione ccm kamaa ni chama bora sana wakati chama chenyewe kimetawala nchi hii miaka zaidi ya 50 sasa lakini kilichofanikiwa kufanya ni kuwafukarisha tu watanzania na hakuna hata la kujisifu. Huwa unalipwa au ndio uvuvuzela wa bure tu?
 
Last edited by a moderator:
...Mbunge wangu John Mnyika kumbuka una deni kubwa la kutekeleza ahadi ulizozitoa manzese, sinza, ubungo, bonyokwa, kimara; punguza kupoteza muda kwa kuomba mwongozo BADALA YA kuwakilisha mawazo ya wanaUBUNGO.

Tafadhali CHADEMA badilikeni!!!
Ina Maana hajafanya chochote tangu awe Mbunge? Kwasababu kila Mara naona ahadi mara Maji

na sasa hii Hivi ingekuwa ni Mbunge wa CCM mngemwongoza kiasi hiki? Sijasikia Humu ndani ya

Jamii kwa Mbunge wa CCM akiambiwa juu ya ahadi alizozitoa; Isipokuwa RAIS WA NCHI!!!

Yaani Matakwa kwa Wabunge wa CHADEMA yanakuwa makubwa kama wao ndio wa chama

Tawala...
 
Mafilifili kuwa mkweli; halafu ni vema ukashare na wenzako kile ambacho ndani ya nafsi yako unaona ni sahihi, ukweli na inakupa amani.
Kama kweli unafuatilia mjadala wa bunge bila kuwa na ushabiki wowote wa kichama utagundua kuwa wabunge wa CHADEMA daima hujikuta wakipandwa jazba kwa sababu kuu mbili. 1. KUONEWA NA KITI CHA SPIKA/ MWENYEKITI au 2. KUPANDISHWA HASIRA NA MATENDO NA KAULI ZA WABUNGE WA CCM.

Tangu kuanza kazi kwa bunge hili kinachoonekana ni mkakati wa makusudi wa kuhakikisha hoja za msingi zinazotolewa na wabunge wa upinzani hasa CHADEMA na NCCR (ingawa kwa NCCR mara zote waathirika ni Kafulila, Machali na Mkosamali) zinapingwa tu. Rejea tangu mkutano wa kwanza wakati wa kuunda kambi ya upinzania Anne Makinda bila haya wa utu akajifanya kuleta tafsiri mpya ya kambi ya upinzani. Kumbuka ndicho kipindi msemo wa "meseji senti" na kuitana "mdogo wangu, dada yangu, nk" ulipoingia bungeni lakini walipoutumia wa CCM kiwemo Mkuchika, Lukuvi, nk Spika hakuona kama kanuni zilikiukwa!
Ilipokuja mswada wa sheria ya marekebisho ya katiba ndio balaa. CHADEMA na wengine wakizungumzia mtu badala ya suala kabla hata msemaji hajamaliza sentensi Spika/ mwenyekiti humwambia kaa chini! au leta ushahidi. Lakini CCM walipomaliza siku 3 wakimzungumzia Lissu hawakukemewa!
Job Lusinde mashatumia maneno ya kuudhi na yenye uchochezi mara nyingi kama "funga milango tupigane," wabunge wapimwe akili, Manyanya anakuja na kauli ya " Ulimboka ni Hitler", Sitta naye akaja na " wapinzani ni wanafiki, kazi yao unafiki nafiki tu!, Hawa wote na wengine hawajawahi kupewa onyo na spika wala kuambiwa wafute kauli zao. Kwa maana hiyo kauli hizi zipo katika kumbukumbu za bunge.
Juzi hapa Mnyika kusema "tumefika hapa kutoka na udhaifu wa Rais..." akafukuzwa nje kama mhalifu.

Angalia mgogoro wa madaktari unavyojadiliwa. Akisimama wa CHADEMA, NCCR, anaambiwa "unawashwa! unataka umaarufu! huruhusiwi kujadili suala lillilo mahakamani" Lakini Manyanya, Nchemba na wengine wa CCM akiwemo PM wakizungumzia ni OK.

Mafilifili, nimekusihi uwe mkweli kwa nafsi yako. CHADEMA wamefikishwa hapo kutokana na kuonyeshwa dharau ya wazi kuanzia kwa kiti hadi kwa wabunge wa CCM na mawaziri wa serikali. CHADEMA kwa kuona kuwa hawatendewi haki na aliyepaswa kusimamia na kulinda haki yao (Spika) ama anajifanya haoni na mara nyingine ameeshiriki kuwakandamiza wafanye nini???

EJL
 
MAFILILI Yaani wewe nimesoma hii nasikia kizunguzungu acha umbumbumbu ni aibu ulichopost,kwa hiyo ulitaka akae na kuunga mkono hoja mia kwa mia,tena wewe ni mafilifili kama unayajua
 
Last edited by a moderator:
Natoa rai kwa uongozi wa Chadema wakae chini na kuwafunda wabunge wao kwani inaonekana wamekosa uelekeo wawapo mjengoni.

Tumefuatilia kwa karibu tukagundua wabunge wao wanaongoza kwa kuanzisha mijadala ambayo inasababisha wananchi waanze kususia kusilikiza vikao vya bunge. Wengi wao wamegeuza bunge kuwa ni kijiwe cha kutoa porojo. Chondechonde wabunge wa Chadema kumbukeni mpo mjengoni kuwakilisha mawazo ya wananchi na wala sio kuhamasisha uvunjwaji wa sheria mkiwa bungeni.

Mbunge wangu John Mnyika kumbuka una deni kubwa la kutekeleza ahadi ulizozitoa manzese, sinza, ubungo, bonyokwa, kimara; punguza kupoteza muda kwa kuomba mwongozo BADALA YA kuwakilisha mawazo ya wanaUBUNGO.

Tafadhali CHADEMA badilikeni!!!
kwa kweli wewe mtoa mada upeo wako ni mdogo sana kwa leo hii mtu mwenye akili timamu akiangalia bunge atakwambia wachangiaji wa CCM wamekwisha na hoja zao zimepitwa na wakati katika kuchangia hoja mtu anaunga mkono hoja kwa 100% lakini malalamiko kibao.ukiwasikiliza wabunge wa upinzani utapenda mwenyewe kwa point zao nzuri hata hamu ya kuangalia bunge utapata.wakiongea ccm utatamani kuzima TV mfano mwigulu au Technician Stella manyanya ambaye aanajiita engineer wakati amesoma veta.
 
Ni dhahiri wasemaji wa vyama wanapokuwa wabunge wanatuchanganya sisi wananchi pale wanaposhindwa kusimamia maslai ya Taifa na kuleta ushabiki wa kichama. Suala hili lilianzishwa na wakina Mnyika na sasa hata CCM nao wameingia kwenye mkumbo huo. Mi nafikiri ni vema wachangiaji wakiwa bungeni watizame maslai ya Taifa kwanza maslai ya chama baadae, kwani kwa wananchi inaonekana wabunge wote ni kama popo.(kiumbe ambaye huwezi kujua ni ndege au mnyama). Ni vema Mnyika akaiga kama alivyochangia Mch. Msigwa leo kwenye bajeti ya Ujenzi.
 
Hongera kwa kutimiza wajibu ulotumwa, thanx for nothing inaonekana wewe ni mgeni wa mijadala bungeni, think twice kabla ya kuandika ngonjera zako
 
​du sasa ndio umeongea nini unaongea kama komba au lusinde

Mwambie, maana naona hajui anachokiongelea, CDM kwenye ishu ya muungano wabainisha wazi jinsi mabadiliko ya 10 ya katiba ya Zanzibar yalivyopoka mamlaka ya muungano hivyo kwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya mwaka 1977, tatizo ni kuwa magamba hawapendi ukweli but to be frank wao ndo wanaovunja muungano kwa kukaa kimya wakati baraza la wawakilishi (magamba + CUF) wanabadilsha mambo, just imagine kuwa katiba ya Zanzibar ya sasa haiikubali rufaa ziendazo Mahakama ya Rufaa, tunaelekea wapi? na watabadilisha mangapi? so think twice unapoosema CDM inavunja muungano maana ni magamba + CUF wanaovunja muungano
 
Natoa rai kwa uongozi wa Chadema wakae chini na kuwafunda wabunge wao kwani inaonekana wamekosa uelekeo wawapo mjengoni.

Tumefuatilia kwa karibu tukagundua wabunge wao wanaongoza kwa kuanzisha mijadala ambayo inasababisha wananchi waanze kususia kusilikiza vikao vya bunge. Wengi wao wamegeuza bunge kuwa ni kijiwe cha kutoa porojo. Chondechonde wabunge wa Chadema kumbukeni mpo mjengoni kuwakilisha mawazo ya wananchi na wala sio kuhamasisha uvunjwaji wa sheria mkiwa bungeni.

Mbunge wangu John Mnyika kumbuka una deni kubwa la kutekeleza ahadi ulizozitoa manzese, sinza, ubungo, bonyokwa, kimara; punguza kupoteza muda kwa kuomba mwongozo BADALA YA kuwakilisha mawazo ya wanaUBUNGO.

Tafadhali CHADEMA badilikeni!!!

Ahadi ni za miaka 5 ambayo bado haijaisha.nyingine zimetekelezwa ambazo bado hazitekelezwa zitatekelezwa ndani ya kipindi hicho cha miaka 5.ikishindikana zitatekelezwa kuanzia mwaka 2015 na serekali ya cdm kwa kushirikiana na mh mnyika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom