Chadema hoyeee......peoples power

ketwas

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
212
36
Hakika wanajf,mimi niko arusha hapa,kinachoendelea hapa makundi ya watu ni mengi
sana,kinachosubiriwa ni hiyo kesho patachimbika hapo mahakamani ndugu zangu,
tumechoka na huu ukiritimba wa kuburuzwa kila kukicha.lakini hatushangai kwani mfa maji haachi kutapatapa.kwanza ni aibu kwa taifa na pili ni ushujaa kwa wapinzani,sasa imeeleweka kuwa ccm ni chama cha upinzani,jana nape mwenyewe alichafua hali ya hewa kwenye mkutano wake baada ya kutafsiri alama za vidole za chadema palikuwa hapatoshi.
 
iongezee minofu habari ya nape!!!
 
Angalieni sana tena sana. Amani inavurugika kwa siku moja tu. Lakini tutaitafuta kwa miaka mingi. Tutizame mifano ya nchi nyingi duniani zilivyokuwa na sasa zilivyo baada ya kuichezea AMANI. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
watanzania wanachezea amani kwa manufaa ya watu wachache masikini
 
Angalieni sana tena sana. Amani inavurugika kwa siku moja tu. Lakini tutaitafuta kwa miaka mingi. Tutizame mifano ya nchi nyingi duniani zilivyokuwa na sasa zilivyo baada ya kuichezea AMANI. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

Kwa nini huchoki na hizo hoja mfu za amani watu haishi kwa AMANI unafikiria kuna amani. Watu wanauawa na polisi unaona waliokufa wamekufa basi hiyo ni amani. Tafadhali tushawishi tuione amani kwa vitendo siyo kwa visingizio.
 
Huwezi kuoa au kuolewa bila kupitia uchumba!! Na huwezi kwenda kwa mungu bila kumsujudu Mtume Mohamed vivyo hivyo huwezi kwenda mbinguni bila kupita kwa Yesu kristu. Amani muihubiriyo bila kutenda haki ni ubatili!!!!! Pipoooooozzzzz powerrrrr!!!
 
Nahisi kuna kamchezo ka kuhakikisha viongozi wote wa CDM wanakamatwa na kufikishwa mahakamani,ukiona hivi ujue kumekucha na nuru ishaanza kuchomoza...mfano kule kwa madiba kamatakamata ilianza hivihivi na ikawa ndo mwanzo wa mwisho wa ukandamizaji wa waafrika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom