Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Hata za ufisadi zilitoka humu kama ndiyo kuna ubaya gani kuendelea kuitumia JF au kutumia habari zenye maana kwa faida ya taifa....Ile habari ya magari ya azania ilitua hapa na Slaa akaikurupukia juu kwa juu, tumeshuhudia post nyingi na thread juu ya thread zikiomba Zitto kufukuzwa nini kimetokea? Lissu amesema wameshamwandikia barua ya kujieleza hapo nadhani ndio mwanya mzuri wa kuchukua hatua.
Kumbuka kuwa ni sisi humuJF tuliomshawishi Slaa asikubali matokeo.