Chadema hawana vikao vya Chama?

Je uliyoandika hapo juu ni facts

Ile habari ya magari ya azania ilitua hapa na Slaa akaikurupukia juu kwa juu, tumeshuhudia post nyingi na thread juu ya thread zikiomba Zitto kufukuzwa nini kimetokea? Lissu amesema wameshamwandikia barua ya kujieleza hapo nadhani ndio mwanya mzuri wa kuchukua hatua.

Kumbuka kuwa ni sisi humuJF tuliomshawishi Slaa asikubali matokeo.

Mhe. Sokomoko,

Why don't you become modest enough; by giving the leadership of Chadema the benefit of always thinking along the lines of JF members?

CDM leaders meet and discuss, they are in touch with one another continuously . They do not always read JF contributors.

And mind you, they do not always have to call press conferences to announce what they decide. CHADEMA is a dynamic political party.

They don't believe Chadema is a class of intellectuals.

Wahafidhina ndivyo walivyo.
 
Mhe. Sokomoko,

Why don't you become modest enough; by giving the leadership of Chadema the benefit of always thinking along the lines of JF members?

CDM leaders meet and discuss, they are in touch with one another continuously . They do not always read JF contributors.

And mind you, they do not always have to call press conferences to announce what they decide. CHADEMA is a dynamic political party.

Labda kuwe na Chadema mbili lakini kama ni hii hapo kwenye nyekundu BIG NO.

"Lissu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chadema, alifahamisha kuwa kitendo hicho kikiachwa bila kukemewa, ingeondoa umuhimu wa vikao vya chama na maamuzi.

Alipoliulizwa na gazeti hili jana, Zitto alisema matatizo ya chama watayamaliza kwenye vikao na si katika vyombo vya habari na kwamba hakuna sababu ya kuendeleza maluimbano juu ya suala hilo wakati Watanzania wana matatizo mengi yanayohitaji kujadiliwa kwa kina ili yaweze kupatiwa ufumbuzi.

"Watanzania wana matatizo mengi ya kujadili. Kuna mgawo wa umeme, madai ya katiba mpya na kero ya maji, hakuna sababu ya kuendeleza malumbano kwa sasa,'' alisema Zitto na kuongeza:

"Watanzania hawatarajii malumbano, uchaguzi umekwisha, tufanye kazi. Sina la kusema kuhusu kuhojiwa na chama, tutayamaliza kwenye vikao na sio katika vyombo vya habari''. " Source: Mwananchi Chadema chamlima barua Zitto,wabunge tisa
 
“Watanzania wana matatizo mengi ya kujadili. Kuna mgawo wa umeme, madai ya katiba mpya na kero ya maji, hakuna sababu ya kuendeleza malumbano kwa sasa,’’ alisema Zitto na kuongeza:

“Watanzania hawatarajii malumbano, uchaguzi umekwisha, tufanye kazi. Sina la kusema kuhusu kuhojiwa na chama, tutayamaliza kwenye vikao na sio katika vyombo vya habari’’. " Source: Mwananchi Chadema chamlima barua Zitto,wabunge tisa

wewe una mawazo ya kipumbavu

kama unakaa kukosoa chadema na haututajii safe heaven mbadala wa chadema, sisi tunakuchukulia wewe ni mnafiki anayejipendekeza.

hautunyimi usingizi.
 
Sokomoko elewa habari nyingine za humu hazitoki mitaani tu au za uzushi uzushi tu kama uletazo wewe,maralia sugu na mwiba, tuwajua nyie mmetumwa kuchafua hali ya hewa humu. Elewa nying znazolushwa humu zimefanyiwa uchunguz,zina evidence,nyingine zmetoka magazetini ambapo wahusikia walihojiwa kabla ya kuandikwa.pia jua kwamba si kila habari imeanzia JF nyingne zimevuja kutoka chadema,serikalin au sehem nyingine nyeti hapa znaotia tu kuwapasha yanayondelea lkn watu tayari wana evidence za kutosha ndo maana hujaona hata mmoja akikamatwa kwa uzushi. Ila kama wangefa zako bila shaka wengi wangekuwa segerea...japokuwa sijuii jinsia yako nakushauri tu; ACHA FITNA,ACHA CHOKOCHKO
 
Ile habari ya magari ya azania ilitua hapa na Slaa akaikurupukia juu kwa juu, tumeshuhudia post nyingi na thread juu ya thread zikiomba Zitto kufukuzwa nini kimetokea? Lissu amesema wameshamwandikia barua ya kujieleza hapo nadhani ndio mwanya mzuri wa kuchukua hatua.

Kumbuka kuwa ni sisi humuJF tuliomshawishi Slaa asikubali matokeo.

You know this is a case of The Egg and the Chicken; Which one Came First" Hivi hizi habari za JF huwa zinatoka wapi.... Na kwanini Dr asizipate huko zilipotoka unasema kazipata hapa???? Also you must know yeye kama kiongozi lazima ajichanganye na wananchi na kushare mawazo... and JF is part of Jamii (Wananchi)....

But saying kwamba anatoa points zake humu........ Aah Bro Even from you i did not expect this, thats why I said maybe you made a mistake and this should have gone to Jokes Forum
 
WanaJF,

Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa chama kikuu cha upinzani kabla na baada ya uchaguzi nimegundua kuwa uamuzi mwingi wa chama unatoka kwenye forum yetu yaani JF mfano.

1.Gari la Azania uzushi uliozushwa hapa JF na Slaa kuudaka juu kwa juu
2.Kugomea matokeo ya uchaguzi, ikumbukwe kuwa ni sisi wanaJF tuliopendekeza Slaa agomee matokeo na kweli akagomea.
2.Barua za waliokacha siku ya walk out Bungeni dodoma, sijui ila inaonyesha hata Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe hakujua kama kuna wabunge hawaku "walk out" siku ile wabunge wa CDM walipotoka. Ila baada ya moto uliowashwa hapa na ushauri tuliotoa hatimae chama kikatusikiza na kuwaandikia wabunge ambao hawaku"walk out"

Sisi tunaweza ndio tukawa waamuzi wa hichi chama je mnalionaje hili wadau?

niliposoma title ya thread nikadhani umewakuta cet garden wanaendesha kikao na wanywa pombe, kumbe ni jokes na udaku bana... LOL
 
[SIZE=4Alipoliulizwa na gazeti hili jana, Zitto alisema matatizo ya chama watayamaliza kwenye vikao na si katika vyombo vya habari [/URL]

Kumbe zitto keshasema kuna vikao vya chama, sasa mbona umeuliza na kujijibu mwenyewe??
 
wewe una mawazo ya kipumbavu

kama unakaa kukosoa chadema na haututajii safe heaven mbadala wa chadema, sisi tunakuchukulia wewe ni mnafiki anayejipendekeza.

hautunyimi usingizi.

Well hapo umenena mkuu hakuna cha unafiki wala nini, tusichague vyama tuangale watu watakao deliver sioni ubaya kwa Kafulila kuchaguliwa na wananchi wa jimbo lake hali kadhalika Cheyo au Mhe Barwani yule mlemavu wa ngozi wananchi wa sehemu husika waliweka uchadema, usisiem, ukafu na ukila kitu pembeni wakachagua kiongozi. Tatizo la kuchagua chama ndio lililotufikisha hapa.
 
Kumbe zitto keshasema kuna vikao vya chama, sasa mbona umeuliza na kujijibu mwenyewe??

Zitto anashangaa Lissu kutumia media na viongozi wenzake kutumia forums wakati kuna vikao vya chama.
 
Well hapo umenena mkuu hakuna cha unafiki wala nini, tusichague vyama tuangale watu watakao deliver sioni ubaya kwa Kafulila kuchaguliwa na wananchi wa jimbo lake hali kadhalika Cheyo au Mhe Barwani yule mlemavu wa ngozi wananchi wa sehemu husika waliweka uchadema, usisiem, ukafu na ukila kitu pembeni wakachagua kiongozi. Tatizo la kuchagua chama ndio lililotufikisha hapa.

tukichagua mtu, tutaongozwa kwa sera anazotunga yeye na mkewe/mumewe wanapokuwa wamelala kitandani.

kama suala la kuchagua mtu ni hoja, mbona CCM wanapiga vita suala la mgombea binafsi?

mawazo yako finyu sana kijana. sikutukani. nakwambia ukweli
 
Sokomoko elewa habari nyingine za humu hazitoki mitaani tu au za uzushi uzushi tu kama uletazo wewe,maralia sugu na mwiba, tuwajua nyie mmetumwa kuchafua hali ya hewa humu. Elewa nying znazolushwa humu zimefanyiwa uchunguz,zina evidence,nyingine zmetoka magazetini ambapo wahusikia walihojiwa kabla ya kuandikwa.pia jua kwamba si kila habari imeanzia JF nyingne zimevuja kutoka chadema,serikalin au sehem nyingine nyeti hapa znaotia tu kuwapasha yanayondelea lkn watu tayari wana evidence za kutosha ndo maana hujaona hata mmoja akikamatwa kwa uzushi. Ila kama wangefa zako bila shaka wengi wangekuwa segerea...japokuwa sijuii jinsia yako nakushauri tu; ACHA FITNA,ACHA CHOKOCHKO

Naamini humu JF wapo watakao enda Segerea hivi punde wanaachiwa wale krismasi kwanza hata ukiwa upo upande gani wa dunia utafikiwa tu kama hamuamini waulizeni wataalam wa ze utamu. Ila sijui kama na mimi nimo au la maana sijaiona list.

Hapa JF kuna kashfa nyingi sana amezushiwa mkulu ametukanwa ile mbaya mbovu ushahidi upo na siku ikiwadia tutatafutana.
 
Wewe sokomoko usiwe mnafiki tangu lini wewe ukatoa ushauri kwa chadema kupitia jf? Usitake sifa ambayo huna, wewe ni mkulupukaji kila siku na matusi kwa strategy kwa chadema na wanachadema. Naomba nikuthibitishie kuwa pamoja na unafiki wa member wachache ndani ya jf, kimsingi jf imejaa wazalendo na wasomi ambao hutumika kupashana habari na elim ya uraia. Sasa yanayokuja jf siyo kwamba hayajafika au yameshafika ngome ya chadema. Chadema ni chama makini kinachosikliza na kufanya uchunguzi. Mambo mengi ambayo chadema imekuwa ikiyatoa kupitia makamanda wake mara zote wanafiki wamekuwa wakisema ni uongo lakini mwisho inajulikana ni kweli. Mifano michache ni hiyo uliyotoa
1. Kikao cha mwanza kama ingekuwa uongo dr slaa angekuwa mahakamani na wengine wote
2. Gari la adhani kama ingekuwa uongo adhani angeenda mahakamani, kwa taarifa yako karatasi hizo za kura zilikamatwa musoma

kwa hiyo usishangae mengi yanayojadiliwa humu yanafanyiwa kazi, hata leo asubuhi star tv imekiri kutumia michango ya wana jf, labda nikushauri tuu kwamba unapochangia ndani ya jf fikiri kwanza lakini kama umetumwa basi endelea na kazi yako. Ndio maana ccm imekutuma wewe, malaria sugu na weberoya ili kuthibitisha umuhim wa jf. Hongera jf kwa kazi nzuri sasa vita ni katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, na tume huru ya uchunguzi.
Crap!!!!
 
tukichagua mtu, tutaongozwa kwa sera anazotunga yeye na mkewe/mumewe wanapokuwa wamelala kitandani.

kama suala la kuchagua mtu ni hoja, mbona CCM wanapiga vita suala la mgombea binafsi?

mawazo yako finyu sana kijana. sikutukani. nakwambia ukweli

Kwahiyo wewe hoja ya mgombea binafsi huiungi mkono? Leo akifukuzwa Zitto halafu 2015 kabla ya uchaguzi akafukuzwa Slaa huoni utakuwa na nafasi nzuri ya kumchagua kama mgombea binafsi?
 
Naamini humu JF wapo watakao enda Segerea hivi punde wanaachiwa wale krismasi kwanza hata ukiwa upo upande gani wa dunia utafikiwa tu kama hamuamini waulizeni wataalam wa ze utamu. Ila sijui kama na mimi nimo au la maana sijaiona list.

Hapa JF kuna kashfa nyingi sana amezushiwa mkulu ametukanwa ile mbaya mbovu ushahidi upo na siku ikiwadia tutatafutana.

Mukiishiwa hoja munaanza vitisho.

Aibu.
 
Naamini humu JF wapo watakao enda Segerea hivi punde wanaachiwa wale krismasi kwanza hata ukiwa upo upande gani wa dunia utafikiwa tu kama hamuamini waulizeni wataalam wa ze utamu. Ila sijui kama na mimi nimo au la maana sijaiona list.

Hapa JF kuna kashfa nyingi sana amezushiwa mkulu ametukanwa ile mbaya mbovu ushahidi upo na siku ikiwadia tutatafutana.
Is that a threat? Is this freedom of speech? Is this democracy? Is this how kiongozi inapaswa aendeshe Nchi? Na wewe je unasupport hayo?
 
Back
Top Bottom