CHADEMA hawana mkakati, endeleeni na shughuli zenu

Ferds

Hivi kweli ummeshindwa kabisa kuelewa msimamo wa CDM mpaka sasa? .........hivi kweli nchi hii vilaza ni wengi .....

Kerengende mimi nimechoka zaidi yako kwa hili... hivi kilichotokea mbona JK anakijua na ni effective consideration ya ile action ndiyo inayosubiriwa kwa yule mpenda maendele na kiongozi wa haki... HR waliweka kunji zanzibar miezi zaidi ya nane.... sasa nini ugomvi wa chadema kuexpress genuine demands

ahhhhh hata mimi nachoka
 
Mimibaba,
Thanks Babangu. Lakini mimi napenda hata wale wanaopotoka tuwarudishe kwenye line. Kupotoka ni hulka tu ya binadamu na wanaweza kubadilika. Kumbuka nilifunzwa kama Padre kama walivyosema, na kazi ya Padre si kutafuta tu watakatifu, ni pamoja na kuwaokoa waliopotea na wenye dhambi. Tuwe wavumilivu tutafika tu, ila wanawapotezea wenzao walio serious muda na resources. Kimsingi wanachofanya ni ufisadi, lakini tunahitaji kuwabadili kama watabadilika, wakishindikana watajijua wenyewe. Hivyo ninapojibu hapa Jamvini ni kwa sababu tu ninapenda kuwathamini wote na kuthamini mawazo yao kwa vile nao ni binadamu na wana vionjo na maonjo yao. Jambo muhimu ni kuwajua na kujaribu kufahamu malengo yao, uharibifu wanaotaka kufanya na namna ya kujaribu angalau damage yao isiwafikie walio wasio na hila bali huchangia kwa lengo tu la kutaka kupata ufumbuzi wa jambo au kwa lengo la Ukombozi wa Taifa letu kama tulivyosema siku zote.

asante daktari wa ukweli, hapo juu nimekukubali na nimegonga busu langu la thanks
 
Kerengende mimi nimechoka zaidi yako kwa hili... hivi kilichotokea mbona JK anakijua na ni effective consideration ya ile action ndiyo inayosubiriwa kwa yule mpenda maendele na kiongozi wa haki... HR waliweka kunji zanzibar miezi zaidi ya nane.... sasa nini ugomvi wa chadema kuexpress genuine demands

ahhhhh hata mimi nachoka

hata wewe umeelewa usichokielewa na ambacho hukijui!!!!!!!!!!!! pole sana, hivi msimamo ni upi, na anayosema mwenyekiti wa chama ni yapi na yana mwelekeo gani au wewe ni pendapenda, ushapenda basi chongo kwako kengeza, kizungumkuti cha chama na uongozi wake kwako unajustfy kuwa ni genuine, tohoa hoja hapo , mimi nimeelekeza kwa DR wewe unajitia kujibu matokeo unajibu uchokijua !!!! pole sana
 
libaba lizima unakuja kutudanganya jamvini. mwulize huyo daktari wa ukweli kama nani aliongoza zanzibar.

tatizo lenu hamna ushahidi na mnatumia ushahidi wa kuchakachua ambao mnautengeneza hapa jamvini kuwa ndio ushahidi wenu.

huoni sasa bila hata aibu unasema profesa alipata asilimia 60 zanzibar. hii ni kama yale matokeo ya turnout 65% ambayo mlitaka kuonyesha ni ushahidi wa kuchakachua.

huyo daktari wa ukweli kafulia, alisema ana ushahidi kumbe hana hata mwenyekiti wake anamruka kwa kusema anamtambua rais

daktari wa ukweli ana busara zake na wananchi tunamheshimu ila bora atubu kwamba alitudanganya hana evidensi

ni ngumu sana ku-deal na watu wa pwani.

mlishazea mipasho.

tulia dokta. wanahaha.

dr. slaa siyo kama makamba au kinana.

kwamba hata akikutana na mbwa akamuomba ushahidi ataanza kubwabwaja kutoa ushahidi.

sahau.

hapo andika maumivu.

subiri shubiri. wakati utakapofika.
 
hata wewe umeelewa usichokielewa na ambacho hukijui!!!!!!!!!!!! pole sana, hivi msimamo ni upi, na anayosema mwenyekiti wa chama ni yapi na yana mwelekeo gani au wewe ni pendapenda, ushapenda basi chongo kwako kengeza, kizungumkuti cha chama na uongozi wake kwako unajustfy kuwa ni genuine, tohoa hoja hapo , mimi nimeelekeza kwa DR wewe unajitia kujibu matokeo unajibu uchokijua !!!! pole sana

nimegundua kitu ... ulizaliwa kijijini kama mimi.., na sasa upo mjini unafaidika na hilo unalolitetea sasa.. well ukikumbuka shida za walio vijijini na ulizokuwa unazipata unaona bora wafenazo huko.... usiruke mbachao kwa msala upitao...., endelea kutetea unyonge wa matanzania lakini siku moja hutakuwa na ujasiri huu wa kutetea ufisadi na maovu katika nchi hii kwa manufaa ya nyie wachache..... nakuombea mafanikio katika harakati zako za depression of Tanzanians new hope...
 
Kuhusi vidhibiti, Dr. Slaa amepiga danadana, kwa sababu alisema atataja majina ya maafisa wa usalama wa Taifa walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hajafanya hivyo.
Hii hadithi ya Geita haiwezi kuaccount for tofauti ya kura milioni 3.
 
Dar-Es-Salaam ,
Thanks ni imani yangu kuwa siku ya kesi utatokea kama shahidi namba moja, ndio ngoma itakuwa tamu, Eh! Kwanza sijui kama unajua kesi iliko, naona umejaa ushabiki zaidi. Itakapoisha usivyotegemea naamini siku hiyo pia utakuwa na ujasiri wa kutokea hadharani! Kila la heri mkaiandae kesi vizuri.

Huyu ndie Dr.W.Slaa mwenyewe au kuna mtu anatumia ID yake?
 
Soma mabandiko yake. Linganisha na kauli zake za sauti. utajua kuwa 99.999999....% ni Dr. Slaa.

Kama ilivyo kwa Dar Es Salaam. Ni Malaria Sugu 100%
 
It is time now for Chadema to come out and give their evidence about the rigged election of 2010.
For many days now since that promise was made, days are passing and we are witnessing the changing of the goal posts, Instead of Giving the evidence as they have formerly promised they are now talking about, the Constitution Change and the free and fair NEC, I want to say that those Issues are important, but we want them to fullfil their promise on the election rig evidence.

The evidence which CHADEMA should give is vital for Strengthening their party and earning more public trust, People are not forgetful about that promise, and they want to see that CHADEMA really means bussines or they are the sore losers who want to distabilise and incapacitate the current government inorder to cement their political gains.

So I would like to call on the Chadema Leadership, You either give the evidence about the rigged election of 2010, or you keep Quite on the Issue, and humbly apologise to the President of the United Republic of Tanzania for walking out of his speech without the Concrete reasons of doing so incase you dont have any evidence whatsoever.

Patience is running out, and I want to tell CHADEMA leadership that nobody is going to go to the streets and Commit crime for giving out the evidence as soon as possible.
did u mean "quite" or "quiet"? andika kiswahili babu....
 
Soma mabandiko yake. Linganisha na kauli zake za sauti. utajua kuwa 99.999999....% ni Dr. Slaa.

Kama ilivyo kwa Dar Es Salaam. Ni Malaria Sugu 100%

Naona na yeye kaanza kujua kutoa mipasho!

Na kwa posti hiyo tu kaandika vizuri kwa kufuata kanuni za uandishi wakati kikawaida kwenye posts nyengine huwa hafati.

Ndio maana nikataka kujua kama ni yeye.
 
Gamba la Nyoka na wewe naona ni kama mtu mmoja.

Sintashangaa kama mkiwa mapacha maana ni hikihiki wewe uliandika juzi na kuleta ubishi mkubwa.

Walikujibu na nikafikiri umeelewa ila naona bado wewe pia leo unarudi hapa na hizi Taarabu.

Poleni sana maana wakati Dr. Slaa anawajibu akifikiri mmepotea, ukweli ni kuwa "mnajua mkifanyacho..."

Wimbo huu unawafaa sana sana nyie watu. Muda ukifika, mtasikia nini kimeiva na nyie mlishwe ......

Kuhusi vidhibiti, Dr. Slaa amepiga danadana, kwa sababu alisema atataja majina ya maafisa wa usalama wa Taifa walioshiriki na jinsi walivyoshiriki. Hajafanya hivyo.
Hii hadithi ya Geita haiwezi kuaccount for tofauti ya kura milioni 3.
 
Last edited by a moderator:
It is time now for Chadema to come out and give their evidence about the rigged election of 2010.
For many days now since that promise was made, days are passing and we are witnessing the changing of the goal posts, Instead of Giving the evidence as they have formerly promised they are now talking about, the Constitution Change and the free and fair NEC, I want to say that those Issues are important, but we want them to fullfil their promise on the election rig evidence.

The evidence which CHADEMA should give is vital for Strengthening their party and earning more public trust, People are not forgetful about that promise, and they want to see that CHADEMA really means bussines or they are the sore losers who want to distabilise and incapacitate the current government inorder to cement their political gains.

So I would like to call on the Chadema Leadership, You either give the evidence about the rigged election of 2010, or you keep Quite on the Issue, and humbly apologise to the President of the United Republic of Tanzania for walking out of his speech without the Concrete reasons of doing so incase you dont have any evidence whatsoever.

Patience is running out, and I want to tell CHADEMA leadership that nobody is going to go to the streets and Commit crime for giving out the evidence as soon as possible.

Jamani Katiba yenu yenye viraka haisemi kuwa Rais akitangazwa hakuna Mahakama yenye uwezo wa kuchunguza? Nijuavyo ushahidi huwa unapelekwa mahakamani, sasa huu ushahidi upelekwe wapi? Just a thought, na huo ushahidi ukiletwa utaufanyia nini?
 
Gamba la Nyoka! Nadhan hakuna haja ya kutokuwa wavumilivu. CDM wameomba iundwe tume kuchunguza yaliyojiri kipindi cha uchaguzi na utangazaji wa matokeo. Sasa kama wakituwekea huo ushahidi hapa then iweje?? Hakuna anaetaka amani ivunjike kwa namna yoyote na hivyo tutumie jukwaa hili kupropagate peace.

RealMan:
Hivi inamake sense, Kufanya Conclusion halafu ndo uombe uchunguzi ufanyike?. So far msimamo wa Chadema ni kwamba uchaguzi raisi wa mwaka 2010 ulichakachuliwa kwa hiyo ni uchaguzi batili.
na ili kuthibitisha Msimamo wa viongozi wakuu wa Chadema katika hilo:
(1) Dokta Slaa hakutokea siku ya kumwapisha JK, ili kutuma ujumbe wa kutokuridhika na matokeo
(2)Wabunge wa Chadema walisusia Hotuba ya Raisi ili kutuma ujumbe wa kutoridhika na mchakato wa uchaguzi wake.

Sasa hii ina maana gani?, maana yake ni kwamba Chadema wanaushahidi wa kuonyesha kwamba uchaguzi ule wa raisi uliharibiwa na kuhujumiwa ili kumfeva mgombea wa CCM.

Sasa kama wana Ushahidi haina haja ya kuundwa tume. kwa maoni yangu wanaweza kwenda mahakamani kuwashitaki wale ambao wana ushahidi wa kutosha waliovuruga uchaguzi(siyo kupinga kutangazwa kwa raisi).

Iwapo hawana nia ya kufanya hivyo, na so far mpaka sasa hawajaitangaza nia hiyo, option ya nguvu ni kwenda kwa wananchi kuwaeleza ni nini kilichotokea. kama miaka kadhaa iliyopita waliondoa hoja bungeni kwa kuhofia kuzimwa, na kisha kuja kuwashitaki wanaoitwa mafisadi kwa wananchi wananshindwa nini kuja kuwaelezea wananchi kinagaubaga kilichotokea katika uchaguzi wa mwaka huu?. kwa mtizamo wangu ni dhahiri kwamba kuiba uchaguzi nao ni ufisadi. ikumbukwe pia kwamba ahadi ya kutoa ushahidi wa kuhujumiwa kwa uchaguzi wa mwaka huu ilitolewa na Dokta Slaa.

Haitoshi kusema kwamba wameiandikia NEC kuonyesha kutoridhishwa na mchakato wa uchaguzi, na kwamba ushahidi wamepewa NEC, sasa haya ni majibu ya kushangaza, NEC ndiyo mtuhumiwa halafu unampa ushahidi ili afanyeje?, akiri kwamba ni kweli ndiyo ameharibu uchaguzi?, hili linawezekana?. yaani unamtuhumu mtu kwamba umeiba unampa na ushahidi halafu unamwambia kwamba jihukumu?.

Na kwa mtizamo wangu ni kwamba wakati huu ni wakati muafaka kabisa kutuelezea kile kilichojiri katika uchaguzi wa mwaka huu. hoja wanayoitumia ni kwamba huenda kukatokea uvunjifu wa amani kwa baadhi ya wananchi kuingia mtaani na kuleta vurugu. hoja hii ilikuwa na nguvu mara baada ya matokeo kuwa yametangazwa, lakini kwa sasa serikali ishaundwa, na iko under full control, halafu kitu kingine ni kwamba iwapo Chadema watatoa ushahidi huku wakiwaelimisha na kuwaelewesha wananchi kwamba vurugu siyo option nzuri, kiufupi Chadema wakidiscourage vurugu, bila shaka wananchi wataelewa na Chadema itazidi kujijengea heshima zaidi mbele ya Wananchi.

Kiufupi ni kwamba Chadema inabidi watuambie Watanzania.
(1) Je wanamtambua Raisi halali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba ni mheshimiwa Jakaya Kikwete?
(2) Je Uchaguzi Uliibiwa?, Ulichakachuliwa?, ulivurugwa?, wapi?, na nani?
(3) Dokta Slaa alipata kura ngapi za haki?, ambayo ni asilimia ngapi ya kura zote?

Wakisha fanya hivyo, then waendelee kutuletea ajenda ya NEC huru, kwa sababu so far ajenda yao ya kudai NEC huru hatuwezi kuielewa kama hawatatuelewesha kwa ushahidi wa kutosha Ubaya wa NEC.
 
Jamani Katiba yenu yenye viraka haisemi kuwa Rais akitangazwa hakuna Mahakama yenye uwezo wa kuchunguza? Nijuavyo ushahidi huwa unapelekwa mahakamani, sasa huu ushahidi upelekwe wapi? Just a thought, na huo ushahidi ukiletwa utaufanyia nini?

wanataka ushahidi uwekwe JF.

akili zao kama kuku. akipewa maji kwenye bakuli, anakanyaga ile bakuli maji yote yanamwagika hata kabla ya kuyanywa.

chadema tunaamini nguvu ya umma.

wakati muafaka utakapofika umma utapewa taarifa.
 
huyu gamba la nyoka kweli kama gamba la nyoka. alikuwa wapi wakati ushahidi unamwagwa hapa janvini na kwenye magazeti? tumeshatoka kwenye kutoa ushahidi sasa tunadai tume huru kuchunguza uchakachuaji. hili siyo jukumu la chadema kama mlalamikaji bali tume na serikali kama mlalamikiwa
 
Ndugu Gurudumu, ushahidi uliletwa hapa jamvini JF; waliouleta walinukuu tovuti ya Mwananchi, lakini nao pia ulikuwa umechakachuliwa! Baadhi ya takwimu za idadi ya kura zilonyesha kuwa na decimal places.

Hawa wanasiasa wanatuyumbisha bure. Ni kweli kwamba NEC walifanya uzembe katika kujumlisha matokeo, na ni kweli kwamba kwa asilimia kubwa jumla iliyotangazwa na tume makao makuu ilitofautiana na zile za majimboni na vituoni. Hata hivyo hii haikuwaathiri Chadema peke yao, bali hata wagombea wengine matokeo yao yalikosewa, ingawa si kwa kiasi cha kubadili matokeo ya uchaguzi wote.
Hatujasikia Chadema wakihoji matokeo ya majimbo kama Biharamulo ambako wagombea wao walishinda kwa kura chache sana na bado wakatangazwa kushinda!
 
RealMan:
Hivi inamake sense, Kufanya Conclusion halafu ndo uombe uchunguzi ufanyike?. So far msimamo wa Chadema ni kwamba uchaguzi raisi wa mwaka 2010 ulichakachuliwa kwa hiyo ni uchaguzi batili.
na ili kuthibitisha Msimamo wa viongozi wakuu wa Chadema katika hilo:
(1) Dokta Slaa hakutokea siku ya kumwapisha JK, ili kutuma ujumbe wa kutokuridhika na matokeo
(2)Wabunge wa Chadema walisusia Hotuba ya Raisi ili kutuma ujumbe wa kutoridhika na mchakato wa uchaguzi wake.

Sasa hii ina maana gani?, maana yake ni kwamba Chadema wanaushahidi wa kuonyesha kwamba uchaguzi ule wa raisi uliharibiwa na kuhujumiwa ili kumfeva mgombea wa CCM.

Sasa kama wana Ushahidi haina haja ya kuundwa tume. kwa maoni yangu wanaweza kwenda mahakamani kuwashitaki wale ambao wana ushahidi wa kutosha waliovuruga uchaguzi(siyo kupinga kutangazwa kwa raisi).

Iwapo hawana nia ya kufanya hivyo, na so far mpaka sasa hawajaitangaza nia hiyo, option ya nguvu ni kwenda kwa wananchi kuwaeleza ni nini kilichotokea. kama miaka kadhaa iliyopita waliondoa hoja bungeni kwa kuhofia kuzimwa, na kisha kuja kuwashitaki wanaoitwa mafisadi kwa wananchi wananshindwa nini kuja kuwaelezea wananchi kinagaubaga kilichotokea katika uchaguzi wa mwaka huu?. kwa mtizamo wangu ni dhahiri kwamba kuiba uchaguzi nao ni ufisadi. ikumbukwe pia kwamba ahadi ya kutoa ushahidi wa kuhujumiwa kwa uchaguzi wa mwaka huu ilitolewa na Dokta Slaa.

Haitoshi kusema kwamba wameiandikia NEC kuonyesha kutoridhishwa na mchakato wa uchaguzi, na kwamba ushahidi wamepewa NEC, sasa haya ni majibu ya kushangaza, NEC ndiyo mtuhumiwa halafu unampa ushahidi ili afanyeje?, akiri kwamba ni kweli ndiyo ameharibu uchaguzi?, hili linawezekana?. yaani unamtuhumu mtu kwamba umeiba unampa na ushahidi halafu unamwambia kwamba jihukumu?.

Na kwa mtizamo wangu ni kwamba wakati huu ni wakati muafaka kabisa kutuelezea kile kilichojiri katika uchaguzi wa mwaka huu. hoja wanayoitumia ni kwamba huenda kukatokea uvunjifu wa amani kwa baadhi ya wananchi kuingia mtaani na kuleta vurugu. hoja hii ilikuwa na nguvu mara baada ya matokeo kuwa yametangazwa, lakini kwa sasa serikali ishaundwa, na iko under full control, halafu kitu kingine ni kwamba iwapo Chadema watatoa ushahidi huku wakiwaelimisha na kuwaelewesha wananchi kwamba vurugu siyo option nzuri, kiufupi Chadema wakidiscourage vurugu, bila shaka wananchi wataelewa na Chadema itazidi kujijengea heshima zaidi mbele ya Wananchi.

Kiufupi ni kwamba Chadema inabidi watuambie Watanzania.
(1) Je wanamtambua Raisi halali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba ni mheshimiwa Jakaya Kikwete?
(2) Je Uchaguzi Uliibiwa?, Ulichakachuliwa?, ulivurugwa?, wapi?, na nani?
(3) Dokta Slaa alipata kura ngapi za haki?, ambayo ni asilimia ngapi ya kura zote?

Wakisha fanya hivyo, then waendelee kutuletea ajenda ya NEC huru, kwa sababu so far ajenda yao ya kudai NEC huru hatuwezi kuielewa kama hawatatuelewesha kwa ushahidi wa kutosha Ubaya wa NEC
.
Nakushauri ukawaulize NEC na Kikwete unayedhani amedhalilishwa kama kweli NEC ushahidi iliyoupokea toka Chadema ni feki au si feki.
Ukipata jibu ndiyo uje hapa jamvini kutuletea hoja,nje ya hapo kaa kimya na ukawapepee hao MAFISADI
 
Back
Top Bottom