CHADEMA hawana mkakati, endeleeni na shughuli zenu

Emma hilo jibu lako ndio kiini cha mada hii, kuwa wako watu ambao hawatataka kusikia masuala ya uchaguzi baada ya muda fulani na inaonekana hata wewe ni miongoni mwa hao ambao mada ya uchaguzi imekuchosha. Hivyo kutoa ushahidi wao sasa ni muhimu.
 
Emma nilichotaka kusema ni kuwa kuna wengi wana feeling kama yako kuwa sasa haya yaachwe kwa kuwa muda umeisha. Hivyo timing ya ushahidi huo ni muhimu ikawa ina build up kila siku kwa kuwa itasaidia utawala wa haki na sheria hata katika chaguzi zijazo.
 
Chadema ni watu makini na lazima ujue kuwa kimya kingi kina mshindo mkubwa

Kiongozi,
Mshindo mkuu bado tuutegemee baada ya mdahalo wa leo kati ya Mbowe na Hamad Rashid?
Nadhani sasa ni wazi kuwa hakuna mkakati wowote!
 
It is time now for Chadema to come out and give their evidence about the rigged election of 2010.
For many days now since that promise was made, days are passing and we are witnessing the changing of the goal posts, Instead of Giving the evidence as they have formerly promised they are now talking about, the Constitution Change and the free and fair NEC, I want to say that those Issues are important, but we want them to fullfil their promise on the election rig evidence.

The evidence which CHADEMA should give is vital for Strengthening their party and earning more public trust, People are not forgetful about that promise, and they want to see that CHADEMA really means bussines or they are the sore losers who want to distabilise and incapacitate the current government inorder to cement their political gains.

So I would like to call on the Chadema Leadership, You either give the evidence about the rigged election of 2010, or you keep Quite on the Issue, and humbly apologise to the President of the United Republic of Tanzania for walking out of his speech without the Concrete reasons of doing so incase you dont have any evidence whatsoever.

Patience is running out, and I want to tell CHADEMA leadership that nobody is going to go to the streets and Commit crime for giving out the evidence as soon as possible.
 
Mkuu, umenena. Nakuunga mkono, kama ni wa kweli watafanya hivyo na kama ni wababaishaji wataanza kupinduwapinduwa maneno kama alivyofanya jana Pro DJ.
 
Gamba la Nyoka,
i) Kwanza ni vema tukajua "Patience "ya Nani ina "Run out"? Na unamwakilisha Nani. Sisi tunaowasiliana na Watanzania wa kila kona ya nchi hawajachoka na wanaimani na hatua tunazochukua. Wewe umewasiliana na nani au ni mawazo yako?
ii) Je unafahamu mchakato unaoendelea sasa? Kama haujui unahaki gani kusema ..keep quite or apologize? "Rais" kakutuma, na kama kakutuma ni vema utueleze hivyo na hapo tutajua kuwa hata patience inayo run out ni ya "Rais" au ni ya kwako au ni ya watanzania wepi? Na kama hujui mchakato unaoendelea ni nani wa ku "keep quite" wewe usiyejua kitu au Chadema wanojua wanachodai na wanajua wanachofanya? Uchochezi huwa unaanza katika madogo kama haya ndio maana nimeona ni vema nikaweka hizi point hapa jamvini ili wapenziwetu pia wajue kama tunajua kinachojadiliwa na wenye nia njema na wasio na nia njema.
iii) Kama ni ushahidi tuliisha kuuweka hadharani, tena kwa barua kwa Tume. Sasa unataka tukuandikie au tumwandikie mtu mmoja mmoja. Tume ilikiri imekosea kwa case ya Geita na kunyamazia matokeo ya maeneo mengine. Unataka ushahidi gani zaidi ya huo? Au neno Evidence kwako ina maana tofauti? Tumesema kuna Uchakachuaji Mkubwa, unataka kila kitu kimwagwe mahali pasipo penyewe na kwa wakati usio wenyewe?
iv) Watanzania tunaozungumza, wanaotupigia simu, sms, emails wote wako patient kwa kuwa hakuna mtanzania anayetaka damu imwagike, na ndiyo dhamira ya Watanzania. Unaposema hakuna atakayetoka mitaani unajizungumzia wewe au unamzungumzia nani na kwa mandate ipi? Kila siku tunawatuliza Wananchi na wako tayari kutusikiliza ndio maana hakuna watu barabarani. Ukichezea moshi unajua kinachoweza kutokea.
 
Gamba la Nyoka! Nadhan hakuna haja ya kutokuwa wavumilivu. CDM wameomba iundwe tume kuchunguza yaliyojiri kipindi cha uchaguzi na utangazaji wa matokeo. Sasa kama wakituwekea huo ushahidi hapa then iweje?? Hakuna anaetaka amani ivunjike kwa namna yoyote na hivyo tutumie jukwaa hili kupropagate peace.
 
Well done dr.Slaa,
Nakushkuru kwa ufafanuzi huu hapa jamvini kwani hata mimi sikujua hii patience iliyopo na outcome yake, umeonyesha mfano mzuri mwaka huu japo mimi si mwanachama wenu ila nipo nawe kwa mtazamo wako ulionao na kura yangu ilikuangukia ila ndo tupo kwa patience.
 
iv) Watanzania tunaozungumza, wanaotupigia simu, sms, emails wote wako patient kwa kuwa hakuna mtanzania anayetaka damu imwagike, na ndiyo dhamira ya Watanzania. Unaposema hakuna atakayetoka mitaani unajizungumzia wewe au unamzungumzia nani na kwa mandate ipi? Kila siku tunawatuliza Wananchi na wako tayari kutusikiliza ndio maana hakuna watu barabarani. Ukichezea moshi unajua kinachoweza kutokea.
Mimi kama mwananchi nawaunga mkono and my patience will never run out infact ilisha run out kwa same old stories za chama tawala
 
Gamba la Nyoka,
i) Kwanza ni vema tukajua "Patience "ya Nani ina "Run out"? Na unamwakilisha Nani. Sisi tunaowasiliana na Watanzania wa kila kona ya nchi hawajachoka na wanaimani na hatua tunazochukua. Wewe umewasiliana na nani au ni mawazo yako?
ii) Je unafahamu mchakato unaoendelea sasa? Kama haujui unahaki gani kusema ..keep quite or apologize? "Rais" kakutuma, na kama kakutuma ni vema utueleze hivyo na hapo tutajua kuwa hata patience inayo run out ni ya "Rais" au ni ya kwako au ni ya watanzania wepi? Na kama hujui mchakato unaoendelea ni nani wa ku "keep quite" wewe usiyejua kitu au Chadema wanojua wanachodai na wanajua wanachofanya? Uchochezi huwa unaanza katika madogo kama haya ndio maana nimeona ni vema nikaweka hizi point hapa jamvini ili wapenziwetu pia wajue kama tunajua kinachojadiliwa na wenye nia njema na wasio na nia njema.
iii) Kama ni ushahidi tuliisha kuuweka hadharani, tena kwa barua kwa Tume. Sasa unataka tukuandikie au tumwandikie mtu mmoja mmoja. Tume ilikiri imekosea kwa case ya Geita na kunyamazia matokeo ya maeneo mengine. Unataka ushahidi gani zaidi ya huo? Au neno Evidence kwako ina maana tofauti? Tumesema kuna Uchakachuaji Mkubwa, unataka kila kitu kimwagwe mahali pasipo penyewe na kwa wakati usio wenyewe?
iv) Watanzania tunaozungumza, wanaotupigia simu, sms, emails wote wako patient kwa kuwa hakuna mtanzania anayetaka damu imwagike, na ndiyo dhamira ya Watanzania. Unaposema hakuna atakayetoka mitaani unajizungumzia wewe au unamzungumzia nani na kwa mandate ipi? Kila siku tunawatuliza Wananchi na wako tayari kutusikiliza ndio maana hakuna watu barabarani. Ukichezea moshi unajua kinachoweza kutokea.

Jee, Rais mnamkubali? Serikali mnaikubali? Au bado mko kwenye mgomo?
 
Usitake kudanganya watu, sema kweli, unangoja kesi ya kupora mke wa mtu iishe kwanza au sio?
 
Dar-Es-Salaam,
Nadhani position ya Chadema iliwekwa wazi toka mwanzo na hatujayumba katika hilo. Tumeeleza ubovu wa Katiba. Jana kwenye mdahalo position yetu iliwekwa wazi pia. Kama kuna swali specific na liko kwenye eneo ambalo kwa sasa linaweza kujibika niko tayari kulijibu. Taifa ni letu, nchi ni yetu, na wote tunajukumu la kuisaidia nchi yetu kusonga mbele. Swala la mgomo nadhani litajibiwa kwa kadiri matukio yatakavyokuwa na mchakato unaoendelea unavyopiga hatua. We dont have to put a cart before the horse. Lets move slowly but cautiously, tuna deal na jambo linalohusu maisha ya binadamu na halihitaji masihara wala papara.
 
daktari wa ukweli slaa tumechoka kudanganywa. toeni ushahidi wa kuibiwa na nakubaliana na mwandishi muda unaisha na uvumilivu unakwisha.

kama hamna ushahidi tubuni mapema na acheni kutudanganya. mmemsusia rais kwamba kaiba toeni ushahidi wenu
 
@ Dar es Salaam ..... usidhani tupo kwenye "Martyr" .... chambua hoja... haya ni mambo muhimu
 
Back
Top Bottom