Chadema hawafai

Nimemwona Nape Nauye akimtaka Mwenyekiti Mbowe awataje wana-CCM wanaohamia CHADEMA! Namshauri aende kwa Mbowe haraka apate kadi za CCM walizotoa ili wapate za CDM. Hizo kadi zitakuwa ni pamoja na za Wabunge 70 wa CCM walihamia Chadema. Aende haraka kwani tunazichoma hizi kadi za CCM.

Nauye naye atafakari kwa makini kujiunga, la sivyo atabakia na chama mfu.
 
Back
Top Bottom