CHADEMA HAWAAMINIKI. Yes I said

with all due respect, mkuu wangu haya ni matusi makubwa sana kwa waislaam..
Mkuu Mkandara! Huyo usisumbuke nae kabisa ni Rev Masanilo, hizo ni baadhi ya ID zake anajiita.1. Saigon2. Fellow Tablet pitia kwa makini hii thread halafu angalia hizo ID zote zinafanya kazi moja! Wewe jiulize inawezekana mtu anaogoza kuandika pumba humu JF, Halafu anaongoza kugongewa Thanks! anajigongea mwenyewe bana!
 
Badili kichwa cha habari andika CCM HAWAAMINIKI. Yes I said, then elezea kuhusu UMEME TZ.

Haya ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe.

Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
 
with all due respect, mkuu wangu haya ni matusi makubwa sana kwa waislaam..
Nasikitika kukwambia ndugu Mkandara kwamba hizi ndio post zinazopendwa hapa JF. naheshimu sana hoja zako na mimi ni mtu makini sana, lakini mtu anapokuja na hoja za kipuuzi kudharirisha imani za wenzake basi dawa ya moto ni moto no comprimise.
Fuatilia kwa makini sana utagunduwa watu wanaosababisha haya hawazidi 10 hapa JF lakini inaonekana mods wanaenjoy hali hii. what do u expect? Au angalia mtu analazimisha mimi niwe Mchungaji Masanilo hivi huyu kijana ana akili timamu kweli?
 
with all due respect, mkuu wangu haya ni matusi makubwa sana kwa waislaam..
Mtu kama huyu unategemea apewe majibu gani? kwa nini mods wasiwe wa kwanza kufuta post kama hizi?
quote_icon.png
By ritz
Hakuna habari mpya huko zaidi ya ujenzi wa Ukiristo, wewe unadhani chama cha Kikiristo cha Ujerumani CDU kitatoa mafunzo gani kwa CDM kama sio mambo ya Kanisa
 
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
Sioni hoja ya msingi.... wewe unajaribu kufanya chunusi kuwa sawa na donda ndugu :A S 114:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom