CHADEMA HAWAAMINIKI. Yes I said

I thought hii ni forum ya the inteligent ones, kumbe ni forum ya Chadema, I do not support neither parties, Lakini what i see here ni Biasness, akiyukanwa wa ccm , wengi wamapiga vigelegel, Chadema ikiguswa kidogo MARUNGU MIKONONI. fOR YOUR INFORMATION Chadema has its short commings also. Yes wamekua na kigeugeu Arusha, na hatukubali kuharibiwa mji wetu

Join Date : 2nd March 2011
Posts : 1
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
 
Unaandika kama nani? Weka msimamo wako, acha kelele! Sawa Stegomyia? Ur thread sounds more carcassial it is as low as the grave.
 
Kwa Imani yangu nilijua watu wanaochambua siasa hasa matukio yanaendelea kujitokeza kuhusu mambo yasiyofurahisha ndani ya CCM ni watu wanaopenda mstakabali wa nchi yetu uende vizuri kumbe ni ile ya kipendacho roho ula nyama mbichi ile dogo la umeya wa Arusha mnashindwa kulijadili kwa kina mnaanza kejeli.

Kama mnapenda ustawi wa nchi kimeeni yote yajitokezayo bila kujali limetoka upande upi, km CDM imejichanganya katika hili tukubali hakuna haja ya kutoleana kashfa ama kwa HAKIKA KTK HILI CHADEMA HAWAAMINIKI, na linalonitia hofu zaidi mpaka washabiki wao wanaojifanya JF walizaliwa nayo au walituma maombi kwa njia ya posta HAWAAMINIKI PIA sababu hawapendi ukweli.
 
chama cha magamba ndicho kilichokosa msemaji inatokea mke wa raisi,watoto wa raisi wote wanaongea kama katibu mkuu wa ccm au katibu kiongozi pale ikulu ha ha ha

mbowe na slaa ndio wenye chama nyie wengine mmeomba tu uchaga,ngoja mnyang'anywe kikiingia madakani hiyo siku ya akhrea maana hapa duniani ni ndoto ya abunuasi
 
Mwacheni Kalikenye akikua ataacha,maana hajui chochote yeye ametumwa tu.
 
........Naye Meya Lyimo, alipoulizwa kuhusiana na uteuzi wa kumpata Naibu Meya wa Chadema Estomiah Mallah, alisema kuwa uteuzi ulifuata sheria na taratibu zote za vikao halali vya halmashauri, alisema mazungumzo yao yalikuwa yanaendelea kwa miezi miwili na mwafaka ulifikiwa baadaye na maamuzi ya kikao kilichosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Raymond Mushi.

Meya Lyimo alisema baada ya kikao hicho kila upande ulipeleka taarifa katika chama chao.

"Kura katika kikao hicho zilipigwa na wajumbe walikuwa 25 na kati ya hizo kura tatu ziliharibika na kura moja ilisema hapana, hivyo tukamwapisha na sasa wanaendelea na vikao vya kamati mbalimbali, mfano leo (jana) tupo katika kikao cha kamati ya mipango miji," alisema Lyimo.

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Estomiah Chang'ah, alisema hakuna tararibu zilizokiukwa na walifuata taratibu zote za halmashauri za uchaguzi na kwamba anayo barua ya Chadema ya kumteua kuwa diwani wake kuwa naibu meya.

Naye Naibu Meya wa Chadema, Estomiah Mallah, alisema hatajiuzulu.

"Mimi siwezi kujiuzulu kwa sababu ni naibu meya halali na nimepita kwa kufuata taratibu zote na kanuni za halmashauri na siwezi kumsikiliza mtu mmoja anayeibuka na kunikataa," alisema.

Chini ya makubaliano, Chadema kitashika wadhifa wa unaibu meya hadi mwaka 2014 na TLP litashika nafasi hiyo hadi 2015 kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huo.

Mbali na kuwekeana vipindi vya kushika unaibu meya, nafasi za wenyeviti wa kamati za baraza la madiwani pia zimegawanywa.

Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya itaongozwa na diwani wa Chadema; kamati ya Fedha na Utawala ikiwa na wajumbe tisa, wanne kutoka Chadema na mmoja wa TLP, huku CCM ikiwa na wajumbe wanne tu, itakuwa chini ya Meya (CCM) na kamati ya Mipango Miji na Mazingira itaongozwa na diwani wa CCM.

Taarifa za mwafaka huo ziliwekwa hadharani Juni 20, mwaka huu katika mkutano wa Baraza la Madiwani wa Jiji la Arusha ukihusisha madiwani wote wa CCM, Chadema na TLP.

Mgogoro wa umeya uliibuka Disemba mwaka jana na kuzua uhasama kati ya CCM na Chadema kutokana na uchaguzi uliomweka madarakani Meya Lyimo kudaiwa kujaa utata.

Mwenyekiti wa vikao hivyo, Michael Kivuyo ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Sokoni One kwa tiketi ya TLP, wiki iliyopita alikiambia kikao maalum cha Baraza hilo kuwa mgogoro wa kutomtambua Meya Lyimo, umemalizika baada ya vikao vilivyokuwa vimefanyika mfululizo kwa kipindi hicho.

Alisema katika vikao hivyo, vyama vitatu vya CCM, Chadema na TLP vilikuwa vikitafuta suluhu kuhusu mgogoro huo na sasa wamefanikiwa.

Wiki iliyopita akiwa mjini Dodoma Lema alipotakiwa na NIPASHE kuzungumzia habari za mwafaka huo alisema kwa njia ya simu alikuwa hajapata taarifa ya maamuzi ya kikao hicho, lakini anawaamini waliokuwa katika kamati ya usuluhisi.....

SOURCE: IPP MEDIA.
 
Kalikenye, Mkuu wangu tatizo sio Chadema bali tatizo ni uwezo wako wa kuelewa. wewe umeandika hivi:- CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo!

Sasa hapa kuna kauli gani zinazokuchanganya!. Mbowe kasema wanafanya Uchunguzi kutokana na madai kwamba kulikuwepo na Muafaka, hii haina maana wanaukubali muafaka isipokuwa kujua uhalali wake. Bado swala la kutoutambua Muafaka limesimama palepale. Nini kilitokea ndicho pekee kinatakiwa kutolea maelezo na nadhani Mbowe katumia busara sana kujibu hoja kuhusiana na msimamo wa chama makao makuu na Lema kama mwakilishi wa WanaArusha kwa kiti cha Chadema hivyo anazungumza haya kama mbunge aliyechaguliwa kwa maslahi ya wana Arusha.. (kazi alokabidhiwa), hivyo sii lazima maoni yake yawe sawa na yale ya makao makuu ya chama.

Hivyo Chadema kama chama kitatoa msimamo wake baada ya uchunguzi kufanyika na ikajulikana kimefanyika kitu gani na sio kurukia kutangaza msimamo wa chama dhidi ya ule wa wananchi wa Arusha.
 
Rev Masanilo una ID ngapi? Nipe basi ile ingine inaitwa Saigon

Nina ID 23 pamoja na niliyofungua leo! Saigon wewe ichue tu nakutumia password hapa hapa.......Username: Saigon, Password: Jakaya
 
  1. Kila mtoto atakuwa na Laptop
  2. Umeme wa mgao utakuwa ni Historia
  3. Dodoma kutatengenezwa Ziwa na Meli kubwa italetwa
  4. Mwanza Itakuwa California
  5. Kigoma itakuwa Dubai
  6. Flyovers Dar es Salaam
  7. Ajila mpya kwa vijana Mil 2
  8. Bajaj kila kituo cha Afya
Inahitajika uwe taahira kama wewe ndipo utaelewa na kukubaliana na M.kwere

Mkuu mwisho wa ubaya ni aibu! ukiwaona kama watu!!!!!
You can full some of the people sometimes but not always!!!!

voxy populi voxy dei!!!!!!
 
sidhani kama JF ni mtandao wa chadeama. intelectuals arge on merit not personal interest.... achane kumshambulia dat is his viwes.... of course ni junior but his juniority doesnt affect his intellect.... tuache unazi hii inchi inazama kwa kubebe maslahi ya chama badala ya taifa.....
 
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!
Mbowe anafanya uchunguzi,Lema amekana kumtambua Meya.Sasa hapo kipi kinachokufanya usiwe na Imani na Chadema?Inamaana misimamo ya viongozi wote wawili hujaielewa mpaka hapo.Au unakurupuka tu kuandika.Yupi wa kumshangaa ni Jakaya Kikwete alieyakana majenereta ya Dowans(Richmond) na hajui yaliingiaje!!!!? au Lema na Mbowe kwa misimamo ya kutomkubali Meya wa jiji la Arusha?Kama ccm ilishindwa na imeshindwa kutuletea maendeleo ndani ya miaka 50 vipi unamlalamikia Lema kuwa atachelewesha maendeleo kwa hii miezi sita tu!!!!?Nenda ukalale ukue huku hakukufai
 
  1. Kila mtoto atakuwa na Laptop
  2. Umeme wa mgao utakuwa ni Historia
  3. Dodoma kutatengenezwa Ziwa na Meli kubwa italetwa
  4. Mwanza Itakuwa California
  5. Kigoma itakuwa Dubai
  6. Flyovers Dar es Salaam
  7. Ajila mpya kwa vijana Mil 2
  8. Bajaj kila kituo cha Afya
Inahitajika uwe taahira kama wewe ndipo utaelewa na kukubaliana na M.kwere
Mkuu hiyo ya mwanza kuwa calfonia ni ahadi ya 2005-2010, ndio maana wasukuma wakamshtukia
 
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!

kutokea kwa mpishano wa taarifa ni jambo la kawaida katika utawala mara nyingi taarifa zinapotokea chini. TEST OF TIME. ni mara ngapi CCM wamekuwa wakijichanganya katika taarifa, mawaziri wakitoa msimamo huu raisi anasema hivi, unataka mifano? nadhani unaijua.( mfano swala la katiba, malipo ya dowansi, nk au unataka zaidi, je ya Nape na Mkama walipobishana kuhusu maamuzi ya nec juu ya mapacha watatu)

KUNYA ANYE KUKU AKINYA BATA KAARISHA
 
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!

...Mkuu kipimo sahihi cha kuaminika kwa chama ni kukipa madaraka halafu unapima matokeo ya utendaji...kwa mfano, CCM tumeipa miaka takribani hamsini ya kutuongoza na matokeo yake tumeyaona. Kabla haujatoa hukumu ya kuaminika kwa CDM au la, subiri kwanza wakamate dola ndo ulete hoja mezani, otherwise save your breath!!!
 
Kwa kawaida uongo huwa hauna uwezo wa kuhimili test of time. Leo asubuhi nilikuwa naangalia taarifa ya habari nikakutana na habari ambayo imenishtua ya kwamba CHADEMA wamekana muafaka wa Umeya wa Arusha. Alipoulizwa Mbowe akajibu kuwa wanafanya uchunguzi juu ya suala hilo huku Lema akisema kuwa hatambui muafaka huo. Kitendo cha kutokuwepo kwa kauli thabiti inayoonekana kuwa imetokana na azimio la kikao rasmi, ni kielelezo cha kutoaminika kwa CHADEMA. Nasema hivi kwa sababu zifuatazo: Kwanza, taarifa za kuwepo kwa muafaka tumezipata siku nyingi zilizopita. Kama muafaka huo ungekuwa ni batili, CHADEMA wangeukana immediately au hata kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Naibu Meya. Pili, kuna tofauti kubwa sana katika kauli kati ya Mbowe na Lema kitendo kinachoashiria kuwa kuna misimamo tofauti kati ya Mbowe na Lema. Tatu, inaonekana kuwa CHADEMA hawana shida na maendeleo bali wanataka mapinduzi bila ya kujali gharama zake. CDM wanatuhadaa! Hawaaminiki!!

Madhara ya mgao wa umeme haya.Kiza kimeingia hadi kwenye bongo za baadhi ya Watanzania wenzetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom