CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

Hivi mnataka kutuambia mlikuwa hamjui kwamba yeye ni mchumia tumbo?.....acheni unafiki,wabunge wenu wengi mazoba tu hawajui wanachofanya.
 
Fikra zilizokufa always huwafaa wafu mana dunia yao ni nyingine kabisa,Fikra hai always ni kwa walio hai so tuache mfu arudishwe kwenye wafu wenziwe na kutacha sisi tulio hai na huai wetu.Aipingae kweli ni shabiki wa uongo
Safi sana mkuu..hiyo kweli kabisa
 
Tatizo sio kumfukuza,tujiulize je anachokitetea Kinamaslai kwetu.Mimi nafikili kwanza tuanzie Hapo.
Mkuu mimi siungi mkono kabisa, labda tujiulize hayo aliyoyafanya Shibuda kutetea posho kwa chadema hasa ni nini, je ni sera, itikadi, falsafa au ni nini? Lazima twende mbali zaidi posho ziko nyingi na sio hizo tu sitting allowances za bungeni, kuna sitting allowances za vikao kwenye kamati za kudumu za bunge ambazo Zitto, Mbowe na Mnyika ni wajumbe wengine sina uhakika watuambie hizo nazo wanazikataa au zenyewe wanachukua, tuangalie posho zote Chadema wanachukua baadaye twende kwenye ruzuku wanazopata kama chama wewe unadhani wananchi wa kawaida mimi na wewe tunafaidika nini kama suala ni kufaidika, kwa nini kodi yako ifadhili vyama vya siasa ambavyo sisi sio wanachama wake kwa nini wanachama wao wasigharamie, kwa hili la Shibuda
chadema wasipoangalia watakuwa wanapiga hatua mbele halafu baadaye wanapiga hatua nyuma.
 
CDM mmchelewa kufukuza vuvuzela la Chama Cha Magamba, litupieni virago kwa kupitia dirishani!
 
Hawa watu itabidi wani-convince sana kuwaamini tena wasipo mfukuza
shumbuda,watakua wanalea tabia mbofu mbofu katika chama,...

ni chama kukosa mbunge kabisa,kuliko kuwa na mbunge kama shumbuda

Dawa ni moja kumfukuza tuuuuuuuuuu
 
Ndugu wadau nimepitia thread zote hakuna hata moja iliyoelezea yaliyojiri kwenye kikao cha kamati kuu ya CDM kilichofanyika 17.07.2011 ambacho pamoja na mambo mengine kilijadili sakata la madiwani Arusha kuhusiana na mwafaka na CCM , na sakata la Mh. Shibuda kuhusiana na utovu wa nidhamu ndani ya Chama.

Mwenye nayo yaliyojiri tafadhali atujuze !
 
Mkuu mbona nimesikia kwenye vichwa vya habari kwamba CC ya CDM ikekataa kutambua muafaka wa madiwani huko Arusha!
 
Kama hujasikia si usubiri?
Nini kinachokuwasha!!...
au umetumwa kuja hapa kuulizia na mashetani wako wa kijani
wasio taka tupate umeme mpaka watakapo ondoka madarakani
 
Kazi kweli kweli au mambo mazito wakuu mbona mmekaa kimya mpaka sasa ? Na Shibuda aliisha sema msimguse nyie mkimwaga ugali yeye anasema atamwaga mboga. Kweli Magwanda leo hii mmekuwa mabubu ? toeni taarifa zenu
 
Mkuu mbona nimesikia kwenye vichwa vya habari kwamba CC ya CDM ikekataa kutambua muafaka wa madiwani huko Arusha!

Mkuu habari za kusikia hata mie nimesikia, nadhani taarifa kamili kwa wale ambao ni wajumbe wa kikao hicho si waseme , na wapo wengi humu JF wakina Regia Mtema, Zitto, Slaa nk
 
kanunue gazeti mkuu,mbona unakuwa kama mtoto wa chekechea?
 
mbona hamuulizi yale yaliyojiri kule mbeya kwenye mkutano kwa magamba? lol kulikuwa na wale wanaojiita wapiganaji ndani ya CCM waliwasha moto wa ajabu.
 
Magamba wamekutuma nini?ujasoma magazeti leo au unataka nini?ndomana mnaiharibu nchi ili cdm wakiichukua 2015 wapate shida coz mmeua kila kitu kuanzia vyanzo vya maji kule mtera,mnauza wanyama nje ili mbuga zetu zifungwe pia mnagawa migodi bure bila kusahau mnagawa ardhi yetu.shame on you magamba.
 
Nani alikuambia Magwanda 2015 mtaichukua hii nchi ? Hii nchi mtaiona hivi hivi!

Kupata taarifa muhimu mwenye nazo atujuze tafadhali wengine tupo nje y bongo magazeti hadi siku ya 3
 
Mkuu habari za kusikia hata mie nimesikia, nadhani taarifa kamili kwa wale ambao ni wajumbe wa kikao hicho si waseme , na wapo wengi humu JF wakina Regia Mtema, Zitto, Slaa nk
Ukijua kilichojiri utapata nini. Kamwulize Nape
 
Back
Top Bottom