CHADEMA HATARI Inakuja TAZAMENI

mkuu bora mzinifu anayependa nchi yake na kuionea huruma au bora mtakatifu anayeuza nchi yake??wabongo mmechanganyikiwa nyie,mmelogwa hamjui mlikotolewa wala mnakopelekwa

bill clinton bonge la mzinzi.! Mkewe anajua, wamarekani wanajua, na dunia inajua, but he remains among bes U.s presidents, go slaa, go, hata akijilengesha mwingine we piga tu
 
Unazingua bwana... kuzini watu kibao wanazini... Kila ikickia Jina la Dk Slaa inaonekana unatetemeka... wemgine wanaozini kuliko yeye huko kwenye magamba tunawajua.... na taarifa tunazo tuombe data tukupe... huyu kuna kitu wanamchezea... wewe watu kibao ndoa zao zimevunjika na wameolewa au kuoa kwingine....
 
rwandacameron.jpg
 
Mbona rais amemrudisha mtu jela kwa kumtukana mpenziwe wa zamani ambaye sasa anamilikiwa na rais, wakatunga eti amepatwa na .............gere...........,kwani atujui
 
Mimi siwezi pigia mtu kura
anayeropoka ropoka tu..i like poeple who adrress issues with facts
katika hali ambayo mpokeaji anashawishika nayo..huwaga hata sizielewi
hotuba za slaa maana masikio yangu hayawezi vumilia kelele kama
zake..ajifunze kuongea taratibu kwa upole akiporomosha material bila
kutumia nguvu nyingi sana na kelele..wengine hatumuelewi

Yaani sijawahi kuona mtu asiekuwa upeo kama wewe!
Kwa hiyo unamwele jk kichwa cha nazi! Kweli kwa akili zako? Au ndio wang'oa kucha nyie ! Mnahangaikia kitumbu chenu..kinachowatoka 2015!
 
Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI. Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo. Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.Najua kuna kuteleza ila slaa alizidi.

So nashauiri tufikirie tuanze kujipanga kwa MGOMBEA URAIS ili tuanze kumshape huyo mgombea wetu mapema.Tukiendelea kumfikiria slaa ni kuendelea kupunguza kura 2015 kwani hataongeza kura tena bali zitapungua. Ni UKWELI usiopingika kwamba hakuna mtu asiyejua UJASIRI wa slaa lakini kwa sasa no way.

Pia ili kuondoa DHANA ya kukifanya chama kionekane cha kikatoliki kutokana na slaa kuwa PADRE.Mimi ni mkristo nisingependa nitawaliwe na SHEHE au MUFTI so hata WAISLAMU hawatajisikia vizuri kuongozwa na PADRE so ili kuepusha tafsiri kama hizo nashauri TUNDU LISU au ZITO KABWE waandaliwe kushika wajibu huo mapema kwani wao hawajawahi kuwa VIONGOZI WA KIDINI hivyo watakubalika na pande zote WAISLAM na WAKRISTO.

Ni vizuri tujue kwamba baada ya UCHAGUZI UJAO KAMA Chadema hakitashinda kitakachofuata ni MIGOGORO NA KUSAMBARATIKA REJEA NCCR na CUF. CHAMA kikishafika kileleni-piki kisipopata USHINDI kinaanza kuandamwa na mizozo so tujiandae.Mungu ibariki CHADEMA.

Nadhani muhimu zaidi ni EPA,RICHMOND,RADA,PESA USWISI.IPTL,GREEN DEEP NA UCHAFU MWINGI SIYO MAISHA BINAFSI YA MTU WENGINE HATA KAMA ANA WANAWAKE WANGAPI HATUJARI KABISA ILA TUNACHUKIZWA NA WATU WANAO TAFUNA NCHI NA KUTUACHA WENGINE TUNAKUFA NA NJAA NA KUFA KWA KUKOSA HUDUMA ZA HOSPITAL,ELIMU DUNI! HAYO NIDYO YANAYOTUSIBU LAKINI SIYO SLAA AMELALA NA NANI!

MAGEUZI YA SOVIET UNION YA PEROSTRIKA NA GLASNOT HAKUNA ALIAMINI KAMA SOVIET CHAMA LAO LITASAMBALATIKA!WAKO WAPI SASA? SEMBUSE TANZANIA? USIPOTEZE MUDA WAKO MABADILIKO YA SASA HAYAZUILIKI KABISA TENA! TUJENGE NCHI YETU TUWE WAZARENDO!ACHANA KUSHABIKIA WATU WANAO TUNYONYA!KUMBUKA UNA NDUGU ZAKO WANA SHIDA KWENYE NCHI TAJIRI KWA MADINI LAKINI HAKUNA TUNACHOPATA.
 
I LIKE THIS... Sijui mambo ya Ndoa ya slaa inahusiana vipi na wizi wa Twiga wetu?, mafisadi kutoshea 300bil uswis, Misamaha ya kodi kwa mabepari wanaochota madini yetu? ... Haya magamba makuwadi wa kuuza ardhi yetu wanataka kutuambia kuwa kelele za akina mama kumgombea Kidume ni mbaya sana kuliko ufukara na umaskini huu wakuletewa na CCM?... job true true ...

yeye atazidi kwa maana roho yake ni teketeke!
 
unakosea sana mzee kusema kua hoja yangu ni dhaifu..naamini kuwa kuna wengi kama mimi wenye mawazo kama yangu, na ndio yanawafanya wasimpigie kura huyo bwana..kuna vitu ambavyo unaweza ona vidogo vikawa na impact kubwa kuliko unavyodhani..hisia pekee hujenga imani..kama hisia hamna basi imani hakuna..imani ndio mwanzo wa kila kitu..bila hiyo matendo hakuna..mimi sina imani na waropokaji period..ninahisi kua they have no substance at all

kwa maelezo yako unaonesha kabisa thinking capacity yako ni chini sana! Na hivyo nivigumu kumuelewa dr slaa,wewe unaelewa mawazo mepesi tu kwa mfano maisha boraaa kwa kila mtanzania unashingilia huku unaibiwa kila kitu!mtu yeyote ambae yuko analytical huwezi kumuelewa, si vema hata hivyo dr kupigiwa na watu wenye upeo kama wewe hivyo kura yako si kitu,wengine tutampigia tu maana tunamwelewa anatutetea sisi wanyonge!!!!!!!!!
 
hizo ni personal issues,ss cdm wanaingiaje hapa?kweli magamba mna matatizo,mnatafuta pa kutokea eeh?kwa hili mmechemka!
 

Mbona Kina Lau Masha wana wanawake Nje na Wamewajengea Majumba na Wako Kimya; Mbona Kikwete ana wake

zaidi ya Mmoja na Amekuwa Rais wa Nchi; Mbona
Zitto Kabwe ana Mtoto na Hajaoa? Maisha ni Safari hasa Tanzania

Safari sio Barabara nyororo ina Milima na Mabonde; visiki na mitaro ni BONGO; Yaani Utamtukuza FISADI zaidi ya

Mkewenza?

Mkuu ana mtoto?kazaa na nani? anapeleka matunzo? anyway still si inshu kama mtu anao moyo wa dhati kutumikia raia wake. Mkapa aliyekuwa na "nke mmoja" mbona kaishia kuuza nyumba,kujiuzia migodi na biashara zingine lukuki akiwa ikulu
 
Nenda kamuulize ROSE KAMILI tangu 2009 hadi 2012 mwenzake (Josephine)alipokuwa akitambulishwa rasmi kuwa ndiye mke mtarajiwa wa Dr. Slaa alikuwa wapi?.. ukishapata hilo jibu ndio uje na mada yako tuendelee kuchangia!!..
Kwani unayosema ww huko ulipo yote tunayasikia? ww vipi? ameamua kwenda mahakamani baada ya kuona mzee anaoa tarehe 21 mwezi huu ndio maana akaamua adai haki yake kwanza. hana shida na mtu anachotaka ni haki yake asepe.
 
Mimi siwezi pigia mtu kura anayeropoka ropoka tu..i like poeple who adrress issues with facts katika hali ambayo mpokeaji anashawishika nayo..huwaga hata sizielewi hotuba za slaa maana masikio yangu hayawezi vumilia kelele kama zake..ajifunze kuongea taratibu kwa upole akiporomosha material bila kutumia nguvu nyingi sana na kelele..wengine hatumuelewi

kwa hoja hii tu, unaonekana ni mgumu kuelewa ata shule yako utakua ulirudia sana vidato na chuo ulisap sana kama ulifika lakin, cjui ulipata feki? so hutamwelewa slaa mkuu wewe utawaelewa kina wilson mukam na NAPE wenye bongo tope kama Yako. ASANTE
 
Back
Top Bottom