CHADEMA HATARI Inakuja TAZAMENI

Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI.Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo.Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.....


Nenda kamuulize ROSE KAMILI tangu 2009 hadi 2012 mwenzake (Josephine)alipokuwa akitambulishwa rasmi kuwa ndiye mke mtarajiwa wa Dr. Slaa alikuwa wapi?.. ukishapata hilo jibu ndio uje na mada yako tuendelee kuchangia!!..
 
Kyandokyakombe, wewe je, ni mtakatifu na hujawahi kuzini? Hebu tuambie kiongozi mtakatifu nchi hii. Na hata huyo dhaifu anakushangaa kumwita Dr slaa mzinifu. Hebu tujikumbushe juuu ya maisha ya akina mkapa, kawawa, sumaye, Lowasa na wengine wengi. Lakini pia kumbuka juu ya maisha yako, inawezekana wewe una madhambi zaidi ya yeye unaye mhukumu.
 
Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI.Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo.Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.Najua kuna kuteleza ila slaa alizidi. So nashauiri tufikirie tuanze kujipanga kwa MGOMBEA URAIS ili tuanze kumshape huyo mgombea wetu mapema.Tukiendelea kumfikiria slaa ni kuendelea kupunguza kura 2015 kwani hataongeza kura tena bali zitapungua. Ni UKWELI usiopingika kwamba hakuna mtu asiyejua UJASIRI wa slaa lakini kwa sasa no way.Pia ili kuondoa DHANA ya kukifanya chama kionekane cha kikatoliki kutokana na slaa kuwa PADRE.Mimi ni mkristo nisingependa nitawaliwe na SHEHE au MUFTI so hata WAISLAMU hawatajisikia vizuri kuongozwa na PADRE so ili kuepusha tafsiri kama hizo nashauri TUNDU LISU au ZITO KABWE waandaliwe kushika wajibu huo mapema kwani wao hawajawahi kuwa VIONGOZI WA KIDINI hivyo watakubalika na pande zote WAISLAM na WAKRISTO. Ni vizuri tujue kwamba baada ya UCHAGUZI UJAO KAMA Chadema hakitashinda kitakachofuata ni MIGOGORO NA KUSAMBARATIKA REJEA NCCR na CUF.CHAMA kikishafika kileleni-piki kisipopata USHINDI kinaanza kuandamwa na mizozo so tujiandae.Mungu ibariki CHADEMA.
Duuh! ohh! ayyah! toba toba! mmh!ayyi mtu mwongo huyu! he he! angalia asivyo na haya! uuuwi !aibu yaani unatuletea khabari za tabiri za kizushi hapa?hebu tupishe!
 
Mbona muda wa kutafuta mgombea wa urais bado, wewe unauhakika gani kama CDM watamchagua Dr??
 
Ukweli ni kwamba watu wataongea sana lakini Slaa atabaki kuwa chaguo la wengi, ili mradi tu usiwe na elemant za 'kifisadi.' na mkichakachua tene 2015 lazima tuwaoneshe, tumewavumilia vya kutosha. nachojua mimi kuna bwana mmoja ameng'ang'amiza kuwa mtawala wetulakini watu hawa mfeel kabisa wana subiri muda wake uisha watu wapumue
 
ENYI MAGAMBA KIHORO CHOTE CHA NINI MSIKIAPO JINA LA DR SLAA NA CHADEMA???

Jamani enyi wana-CCM, mbona mkisikia tu jina la Dr Slaa mnakua hivi mpaka kero na aibu zote kwa pamoja kama damu na usaha kwe kidonda vile.

Ondoeni hofu kwa huyu baba hana pembe kama ya nyati vile bali tu ni mpenzi wa 'HAKI NA HESHIMA KWA UTU WA KILA MTANZANIA', kwisha habari!!!!!!!!!!!!!

Kihoro chote hicho cha nini wenzetu? Hebu angalieni jinsi gani mnavyokanyagana mpaka aibu kila kukicha dhidi ya mtu mmoja - WaTanzania tunaduazwa ajabu na vitendo vyenu hivi na majaribu yote dhidi ya Dr Slaa na CHADEMA kwa ujumla.

Katu msiendelee kupoteza muda wenu bure kwa kuwa WANANCHI TUMESHAAMUA juu ya mgombea CHADEMA na kusubiri tu kuwakabidhi madaraka 2015.

Kumbukeni, kila siku wananchi tunajiuliza mbona hakukuchi haraka ili walalahoi tupate kuondokana upesi na hili li-zigo la misumari ya moto kwa maana ya CCM!!!!!!

Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI.

Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo.Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.

Najua kuna kuteleza ila slaa alizidi. So nashauiri tufikirie tuanze kujipanga kwa MGOMBEA URAIS ili tuanze kumshape huyo mgombea wetu mapema.

Tukiendelea kumfikiria slaa ni kuendelea kupunguza kura 2015 kwani hataongeza kura tena bali zitapungua. Ni UKWELI usiopingika kwamba hakuna mtu asiyejua UJASIRI wa slaa lakini kwa sasa no way.

Pia ili kuondoa DHANA ya kukifanya chama kionekane cha kikatoliki kutokana na slaa
kuwa PADRE.Mimi ni mkristo nisingependa nitawaliwe na SHEHE au MUFTI so hata WAISLAMU hawatajisikia vizuri kuongozwa na PADRE so ili kuepusha tafsiri kama hizo nashauri TUNDU LISU au ZITO KABWE waandaliwe kushika wajibu huo mapema kwani wao hawajawahi kuwa VIONGOZI WA KIDINI hivyo watakubalika na pande zote WAISLAM na WAKRISTO.

Ni vizuri tujue kwamba baada ya UCHAGUZI UJAO KAMA Chadema hakitashinda kitakachofuata ni MIGOGORO NA KUSAMBARATIKA REJEA NCCR na CUF.CHAMA kikishafika kileleni-piki kisipopata USHINDI kinaanza kuandamwa na mizozo so tujiandae.

Mungu ibariki CHADEMA.
 
Kama Jacob Zuma aliyezini na mwanamke mwenye virusi vya ukimwi naye akakiri hadharani, na bado wananchi wa SA wakamwamnini na kumchagua kuwa Rais, basi hata Dr Slaa atakuwa Rais tu. Wananchi hawaangalii masuala ya uzinifu, tunaangalia ni nani aliye na uchungu na nchi hii. Hayo mambo ya chumbani ni mambo binafsi sana. Kumbuka pia Bill Klinton aliyezini na Monica Lewinksi lakini wamarekani wakasema hayo ni matatizo ya kibinadamu tu.

Sasa wale wanaofikiria kuwa Dr atapoteza umaarufu kwa hilo la Rose Kamili, nawafananisha kama fisi anayedhani mkono wa binadamu siku moja utadondoka ili apate kula. Poleeeni sanaaaa.
 
Na mimi mzinzi! asiye mzinzi na anyoshe kidole! kwani kazini na mbuzi? zalianeni tu kufidia wanaokufa kwa speed ya ajabu!
Mimi rais wangu DR, Kama hupendi kanywe sumu ya panya usepe sie tuzibe pengo!
 
Nenda kamuulize ROSE KAMILI tangu 2009 hadi 2012 mwenzake (Josephine)alipokuwa akitambulishwa rasmi kuwa ndiye mke mtarajiwa wa Dr. Slaa alikuwa wapi?????...... ukishapata hilo jibu ndio uje na mada yako tuendelee kuchangia!!

Kuanzia sasa Dr Slaa akae mbali kabisa na huyu mzazi mwenzake. Hizi sumu zinazoingizwa nchini na serikali wanaweza kumpa huyu mama azifanyie kazi. Ile kauli ya Wasira kuhusu kusambaratika kwa CDM bado inanitisha.


 
Chadema una washauri wengi wenye ubongo wa ki-binadamu, so haihitaji ushauri kutoka kyenye ubongo wa kitimoto!!
 
Mimi siwezi pigia mtu kura anayeropoka ropoka tu..i like poeple who adrress issues with facts katika hali ambayo mpokeaji anashawishika nayo..huwaga hata sizielewi hotuba za slaa maana masikio yangu hayawezi vumilia kelele kama zake..ajifunze kuongea taratibu kwa upole akiporomosha material bila kutumia nguvu nyingi sana na kelele..wengine hatumuelewi
Mkuu siwezi kuingilia maamuzi yako,kimsingi nayaheshimu.However,inavyoonekana umeonyesha msimo wenye hoja dhaifu,hii inafanana na mwanaume aliyeulizwa kwanini amempenda yule msichana na kujibu yani mimi nimetokea kumpenda tu!
 
Mkuu siwezi kuingilia maamuzi yako,kimsingi nayaheshimu.However,inavyoonekana umeonyesha msimo wenye hoja dhaifu,hii inafanana na mwanaume aliyeulizwa kwanini amempenda yule msichana na kujibu yani mimi nimetokea kumpenda tu!

Unakosea sana mzee kusema kua hoja yangu ni dhaifu..naamini kuwa kuna wengi kama mimi wenye mawazo kama yangu, na ndio yanawafanya wasimpigie kura huyo bwana..kuna vitu ambavyo unaweza ona vidogo vikawa na impact kubwa kuliko unavyodhani..hisia pekee hujenga imani..kama hisia hamna basi imani hakuna..imani ndio mwanzo wa kila kitu..bila hiyo matendo hakuna..mimi sina imani na waropokaji period..ninahisi kua they have no substance at all
 
Unakosea sana mzee kusema kua hoja yangu ni dhaifu..naamini kuwa kuna wengi kama mimi wenye mawazo kama yangu, na ndio yanawafanya wasimpigie kura huyo bwana..kuna vitu ambavyo unaweza ona vidogo vikawa na impact kubwa kuliko unavyodhani..hisia pekee hujenga imani..kama hisia hamna basi imani hakuna..imani ndio mwanzo wa kila kitu..bila hiyo matendo hakuna..mimi sina imani na waropokaji period..ninahisi kua they have no substance at all
Mkuu unanitatiza eneo moja tu,mbona wanasiasa rafuzi zao zinafanana kwa kiasi kikubwa?kama waropokaji CCM,CUF,NCCR wapo wengi sana,vipi uropokaji wa slaa ndiyo iwe issue kubwa kwako?inavyoonekana unakitu moyoni zaidi ya hayo uliyoyasema,ingawa hutaki kuyaweka hadharani,mwisho naheshimu msimamo wako,lakini sikubaliani na hoja,imani au mtazamo unaojenga msimamo wako!
 
Historia ya MFUMO wa VYAMA VINGI tangu kuanza hamuujui na hamjawahi kujiuliza sababu za kuzuka na kudidimia kwa vyama.Mipango na maandalizi mazuri ya WAGOMBEA ni chachu ya USHINDI.Mwaka 1995 KURA alizopata MREMA NCCR hazijawahi kufikiwa na mgombea yeyotempaka leo hata kura alizopata slaa juzi hatupaswi tujipongeze sana kwani ni zile ambazo wananchi walioupinzani walikuwa wanampa mrema so kutokuwepo mrema kwa sasa ndo wamehamia CDM so CDM tunatakiwa tufanye kazi zaid ili tuvune wanachama wengi na hasa waislamu wanaositasita kukiunga mkono.Tunapenda MABADILIKO na tunaomba mungu CCM ife ili neema mpya izaliwe so msijifikiri kwamba mimi nimeileta hii THREAD kwa kubeza chama chetu bali ni KUKIJENGA ili 2015 kiwae DOLA.
 
Nashukuru kwa kun ielewa kati ya watu waliochangia wewe ndo umeonesha appreciation.tunaipenda cdm sn ndo maana tunaandika mambo kama haya ila waelewa ni wachache ndo maana.
 
(Pia ili kuondoa DHANA ya kukifanya chama kionekane cha kikatoliki kutokana na slaa kuwa PADRE.Mimi ni mkristo nisingependa nitawaliwe na SHEHE au MUFTI so hata WAISLAMU hawatajisikia vizuri kuongozwa na PADRE so ili kuepusha tafsiri kama hizo nashauri TUNDU LISU au ZITO KABWE waandaliwe kushika wajibu huo mapema kwani wao hawajawahi kuwa VIONGOZI WA KIDINI hivyo watakubalika na pande zote WAISLAM na WAKRISTO. )

Kwani Dr slaa anaongoza Misa? si anaongoza chama kutokana na katiba,ilani, taratibu na utashi wake hata angekuja shehe si ushehe wake utaongoza bali ndio hivyo hivyo. hapa hatuangalii dini wala cheo cha kidini ni utendaji wa muhusika.
 
Back
Top Bottom