CHADEMA HATARI Inakuja TAZAMENI

May 1, 2012
95
96
Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI. Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo. Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.Najua kuna kuteleza ila slaa alizidi.

So nashauiri tufikirie tuanze kujipanga kwa MGOMBEA URAIS ili tuanze kumshape huyo mgombea wetu mapema.Tukiendelea kumfikiria slaa ni kuendelea kupunguza kura 2015 kwani hataongeza kura tena bali zitapungua. Ni UKWELI usiopingika kwamba hakuna mtu asiyejua UJASIRI wa slaa lakini kwa sasa no way.

Pia ili kuondoa DHANA ya kukifanya chama kionekane cha kikatoliki kutokana na slaa kuwa PADRE.Mimi ni mkristo nisingependa nitawaliwe na SHEHE au MUFTI so hata WAISLAMU hawatajisikia vizuri kuongozwa na PADRE so ili kuepusha tafsiri kama hizo nashauri TUNDU LISU au ZITO KABWE waandaliwe kushika wajibu huo mapema kwani wao hawajawahi kuwa VIONGOZI WA KIDINI hivyo watakubalika na pande zote WAISLAM na WAKRISTO.

Ni vizuri tujue kwamba baada ya UCHAGUZI UJAO KAMA Chadema hakitashinda kitakachofuata ni MIGOGORO NA KUSAMBARATIKA REJEA NCCR na CUF. CHAMA kikishafika kileleni-piki kisipopata USHINDI kinaanza kuandamwa na mizozo so tujiandae.Mungu ibariki CHADEMA.
 
Umekopi ukurasa upi wa nyaraka za CCM? Maana hiyo sio akili yako hata wewe mwenyewe unajua hili.
 
Heri mzinifu anazini na watanzania na kuhonga watanzania...mkayarudishe kwanza yale mabilioni ya Uswis ndio mlete hoja zetu mbuzi. :"":":"":"":*&^%$#$%&*# (sorry key board iligoma kuchapa hapo)

Kila mtu ana makosa yake...hata wewe ndugu una makosa yako kiimani. Sasa tunaambiwa, usihukumu kabla hujahukumiwa. Pili, CDM hawajaanza kuzungumzia Urais sasa...hivyo hata mgombea mteule, na baadaye mtarajiwa wa chama hajajulikana. Hivyo acha NUKSI.
 
I go for Mnyika..though i am not CHADEMA, he is very firm on issues kuliko hao wengine...slaa, kwakweli i did not like him neither will i vote for him, ila akigombea Mnyika, mhh nitapata moyo wa kumpigia kura
 
Usitupangie mambo wewe,ndio hivyo mlivyokuwa mnataka au sio?? Hii kitu mmechemka sana,humu ndani hatudanganyiki kabisaaa,yaani muanzishe mipango yenu then mje humu ndani na thread zenu za ajabu ajabu eti Dr Slaa hafai tumtafute mwingine,msitake wananchi wapoteze mwelekeo na njama mlizopanga za kuwauwa viongozi wa chadema........

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Watz kwa kukomalia habari za kijinga ndo hobby zetu, masuala ya mahusiano ya watu yanatuhusu nini sisi. Mtamchafua slaa lakini nyota yake jitahidi kung'ara. Nani asie mzinifu? Tatizo lenu ccm nafikili watanzania wote wana akili mgando kama zenu. Wenye akili tunawaona ninyi ndo mmechanganyikiwa maana badala ya kutuletea maendeleo mnakimbilia kujadili personal life ya mtu. Mapenzi na uongozi ni vitu viwili tofauti. Kama mnamuita slaa mzinifu je jk tumuiteje?
 
Nape hongera sana vijana wako wanajitahidi sana hapa jf,nashauri sasa uwalipe padiem.hivi yule dada clinton alimnanii hii kule waiti hausi anaitweje?
 
Amekaa bungeni miaka 15 na hakuna mtu aliyeongea neno kuhusu upadre wake. Lakini bado naendelea kuuliza swali langu,
ni criteria/vigezo gani vinavyotumiwa kum-judge Dr Slaa? Na hivyo vigezo vilishatumika kwa vyama vyote vikubwa CCM, CUF na NCCR-Mageuzi? Na matokeo yake yako wapi? Ni watu gani wali-pass na watu gani walionekana kupwaya?
 
Karibu JF ulipoteza muda mwingi sana FB ni vema ya FB ukayaacha huko huko.Jipange kwanza kabla ya kuwasilisha hoja yako:spy:
 
mkuu bora mzinifu anayependa nchi yake na kuionea huruma au bora mtakatifu anayeuza nchi yake??wabongo mmechanganyikiwa nyie,mmelogwa hamjui mlikotolewa wala mnakopelekwa

I LIKE THIS... Sijui mambo ya Ndoa ya slaa inahusiana vipi na wizi wa Twiga wetu?, mafisadi kutoshea 300bil uswis, Misamaha ya kodi kwa mabepari wanaochota madini yetu? ... Haya magamba makuwadi wa kuuza ardhi yetu wanataka kutuambia kuwa kelele za akina mama kumgombea Kidume ni mbaya sana kuliko ufukara na umaskini huu wakuletewa na CCM?... job true true ...
 
I go for Mnyika..though i am not CHADEMA, he is very firm on issues kuliko hao wengine...slaa, kwakweli i did not like him neither will i vote for him, ila akigombea Mnyika, mhh nitapata moyo wa kumpigia kura
Mkuu kaa nayo hiyo kura yako ya maruani,maana masharti yake ni magumu sana!!!
 
Du mada kali kweli hebu changieni tumjue huyo rais ajaye mm namkumbuka chacha wangwe
 
ingekuwa tunachagua rais kwa kuangalia record ya ngono na uzinifu nina uhakika aliyepo sasa hivi kwenye uchaguzi wa 2010 angeshika mkia! jambo la pili wewe unayemnyooshea kidole slaa u msafi kiasi gani? kwani ni lazima upost kama huna cha kuandika hapa? nincompoop!!
 
Mkuu kaa nayo hiyo kura yako ya maruani,maana masharti yake ni magumu sana!!!

Mimi siwezi pigia mtu kura anayeropoka ropoka tu..i like poeple who adrress issues with facts katika hali ambayo mpokeaji anashawishika nayo..huwaga hata sizielewi hotuba za slaa maana masikio yangu hayawezi vumilia kelele kama zake..ajifunze kuongea taratibu kwa upole akiporomosha material bila kutumia nguvu nyingi sana na kelele..wengine hatumuelewi
 
Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI.Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo.Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.....

Mbona Kina Lau Masha wana wanawake Nje na Wamewajengea Majumba na Wako Kimya; Mbona Kikwete ana wake

zaidi ya Mmoja na Amekuwa Rais wa Nchi; Mbona Zitto Kabwe ana Mtoto na Hajaoa? Maisha ni Safari hasa Tanzania

Safari sio Barabara nyororo ina Milima na Mabonde; visiki na mitaro ni BONGO; Yaani Utamtukuza FISADI zaidi ya

Mkewenza?
 
Dr aache tamaa,tumuombee afunguke kadakwa na technolojia ya kihaya bila maombi hatoki,atakuwa tayari kuachia siasa ni si ile kiti ya ki ha ya! Si mnakumbuka ya Belskoni wa Italy? na yule jamaa wa WB, BED technology ina nguvu kuliko tunavyodhani
 
Back
Top Bottom