CHADEMA HAOOOOOOOOOOOOO! Star tv live now!

Kama wasanii vile. Wazuri katika siasa za majukwaani, lakini ki-uhalisia so empty au kwa vile kuna akina sugu.

wakati mwingine unaweza kuwa unachukuliwa mkeo na kitu kipo ndani we upo dirishani hafu unashangaa tu hee mbona styre kama hizi huwa mi hanipi ukija shtuka mimba hafu unasema aah kitanda hakizai haramu kumbe uliona hata anavoliwa hafu hukutaka kuamini mkeo analiwa. Endeleeni kujipa moyo huku mnaina....shwa.
 
Zitto Kabwe ametoka kuhamasisha watu wasiuze shahada zao kwa CCM na pia amewataadharisha wapiga kura wa jimbo la Arumeru kwani watapiga kura April fools day(April 1) na hivyo wawe makini na uzushi na matani(pranks) ambazo zinaweza kusambazwa na vyombo vya habari ili kuvunja moyo wapiga kura.
Mfano:Kujitoa kwa mgombea wa Chadema.
Now anaongea Mh. Mbowe.
 
Back
Top Bottom