CHADEMA hamishieni majeshi vijijini vinginevyo ukumbozi wa nchi hii ni ndoto

Dawa ni katiba mpya bila hivo haitatokea kuishinda ccm wana kila njia za kuiba kura.




QUOTE=JERRY;2591716]Mbali na mapungufu mengi sana ya mfumo wa uchaguzi na TUME YENYEWE YA UCHAGUZI ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa sana kutaka kubaka demokrasia nchini lkn ikweli ni kwamba bado moto wa mabadiliko ktk nchi hii haujafika vijijini na ndo maana chaguzi nyingi matokeo ya vijijini yanakuwa yanaibeba sn ccm,Kule makatibu kata, wenyeviti wa vijiji na seikali za mitaa ndo waratibu wa madhambi mengi ya wizi wa kura.

HIVYO NASHAURI HUU NDO WKT MUAFAKA WA CDM KUHAMISHIA MAPAMBANO HUKO VIJIJINI VINGINEVYO VUGUVUGU HILI LITAISHIA MAENEO YA MIJINI KAMA ILIVYO SASA, WKT HUKO VIJIJINI ccm tayari wana mtaji wao wa muda mrefu,
wkt ni sasa 2015 panapo majaliwa si mbali[/QUOTE]
 
Bila kusahau kwamba kuna vijana wengi ambao hadi 2015 umri wao utakuwa umetimia kupika kura. Hivyo ni muhimu kuanza kuweka mikakati ya kuwaandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Naamini vijana wanaelewa nini maana ya mageuzi na hali halisi ya maisha hapa nchini. Tusingoje hadi kipindi cha uchaguzi ndo tuanze kulalama wakati muda ndo huu.
Zoezi hili la ku'update' daftari la wapiga kura linaweza kwa msimu walau mara mbili kwa mwaka though suala la gharama liznazingatiwa.
Bila kuupdate daftari tutajikuta tunakuwa na wapiga kura walewale waliopiga kura 2010 na hivyo kuwa rahisi kwa magamba kuchakachua matokeo.
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom