Tundu lissu na jusaa once aliulizwa sikuile jussa alisema wao ni wariberari sio wajamaa aucapitalism lissu alidai kuwa wao wanafuata itikadi ya nguvu ya umma aliboronga sana sikuile
Hakuna akili ndigo kama hii,ya kumsema Tundu Lissu kuwa tunafuata itikadi ya nguvu ya umma.
Watanzania wengi hushambikia chama bila kujua itikadi yake na ninaamini itikadi za vyama haiwezi kuonekana chadema ikishambuliwa kwa kejeli hivi,yote haya ni sababu chadema imekuwa tishio kwa ccm,
Maelezo na kila aina ya uzandiki utasemwa,itoshe tu kusema chadema inasera,itikadi na falsafa bora kabisa,isiyoegemea upande wowote