fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 388
Uvivu wa kusoma huo, hapa Marwa anasema 'amesoma' katiba yote ila hajaona ni chama chenye itikadi gani mpaka anakifananisha na timu ya simba! Labda neno itikadi linamsumbua lakini limeelezwa vizuri kwenye katiba na website ya cdm, rudi kasome utaona jibu cdm ni 'mrengo' wa kati kushoto na kuna siku Dr alieleza kwa kina sana kwenye mahojiano Chanel Ten