CHADEMA NI WEHU. kwanza huyo Slaa mwenyewe ana hasira kama nini. hivi yule angechukua urais si kuna siku watu tungechapwa viboko nchi nzima. kwanza hajui mahusiano na watu.
CHADEMA - CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Hata kama kingekuwa sio chama cha wachaga,walichemsha kwa Padri Slaa.Alilisaliti kanisa,akaiba mke wa mtu,ana hasira,ni msema hovyo.hafaiiiii
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.
Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.
Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.
Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.
kajifunze kiswahili kwanza ndio nawewe uongee mbeleza watu,ktk kamusi yakiswahili hakuna neno ALUA,CHADEMA si kama CUF kwamba watanunuliwa kwa Tende na Alua. Chadema ni nguvu ya Umma na wakati unakaribia.
Corrections, the Chaggas are already developed and they don't need any manifesto for that, the chaggas and countless other tanzanians are pained by mafisadi's , the fact thatt CCM imemkumbatia Kagoda ,meremeta, guys we wouldn't have known all ths hasn't DR Slaa come forth with it, as regards to mke wa mtu, that is so weak and u know it!let everyone mwenye mapenzi mema be awakened from ths long stupor, na CUF u have never bn the opposn and u can never give us UK's party alliances in a third world, use real life (african ) for us...and DR pls come forth with lile tamkoCHADEMA - CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO
Hata kama kingekuwa sio chama cha wachaga,walichemsha kwa Padri Slaa.Alilisaliti kanisa,akaiba mke wa mtu,ana hasira,ni msema hovyo.hafaiiiii
Poor Mwera 'majua tende na halua ? Meshaonja tende na halua ?' Znz wanamapinduzi wamepoozwa na madaraka,maalim full kipupwe mnaona mnao muafaka, actually one man being vying to be a president for 2decades and lose...hamjajifunza ?? THE BIGGEST losers mnapoozwa kwa kupokwa haki yenu kuunda baraza mzigo kwa wananchikajifunze kiswahili kwanza ndio nawewe uongee mbeleza watu,ktk kamusi yakiswahili hakuna neno ALUA,
Hapa umenena!naomba sana Dr Slaa ajipange kuna mkakati wa kuiharibu sifa njema CDM iliyojiwekea kwa wajanja wachache, tulieni na endesheni halmashauri kuwa za mifano...pamoja sanaChadema ndilo tumaini pekee lililobakia katika siasa za Tanzania, hasa baada ya CUF kufungishwa ndoa ya mkeka kwa mume jeuri CCM.
Mtu mpole ....hahahahahah!! Hajagongewa senksi walau once ? Tihi tihi mawazo mgando kama predecessor wake mr MwibaNYAMUNGO unatia aibu sana! Umejiunga JF Aug 2007, umePOSTS 172, Thanked 0!
Kusema kweli Chadema kimepoteza muelekeo wa kuwa Chama cha siasa na badala yake kinaelekea kuipeleka Tanzania pahala pabaya ,sehemu ambayo itakuwa tabu sana kurudi huku tulikotoka kwenye amani na utulivu.
Kwa muda huu Chadema inapuliza vuvuzela la machafuko Tanzania nzima ,kwa kuwa tu imepigwa bao la kisigino na kuachwa kwenye mataa.Nionavyo na mawazo yangu mgando ni bora chama hiki kifungwe au kiondoke kwenye medani za siasa na kuingia misituni kiendeleze mapambano ya kuing'oa CCM madarakani na sio kutumia siasa kama jukwaa la kuiondoa CCM kwani haitofanikiwa milele.
Mimi nilipowaona wanang'ang'ania kuvaa magwanda ya kijeshi nilijua tu kuwa hawa sio wanasiasa aidha watakuwa na lengo lingine kabisa ambalo leo hii limeanza kuota kama uyoga.Maguo yale ya kijeshi hutumika kwenye vita kwa kuvaliwa na viongozi waandamizi ambao huwa ni wazamiaji wa shughuli za kuendeleza mapambano na Chadema walianza zamani kuwavaa viongozi wa serikali za Tz zilizopita kwa kuwakosoa na kuwaweka katika hali ngumu na hata kupelekea mabadiliko ya serikali katika ngazi za uwaziri.
Chadema kama mmechoka na siasa bora mvunje chama na kurudi huko mnakotokea au ingieni msituni tujue kuwa mmekusudia.
Una akili chafu na maarifa yamekupiga chenga kama kweli wewe ni mzalendo halisi utajipanga kwa hoja na sio kwenda msituni unaenda msituni kufanya nini wakati ushindi ulikuwa wa wazi watu wanatakiwa kudai ushindi mchana kweupe na sio kiwoga na kukimbilia msituni
MTAJI WA CHADEMA NI WATU WALIOKO MITAANI NA SIYO MSITUNI