Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Jana wakati wanakula walianza kama
hv...
Wenje: Mwongozo wa Mwenye Hotel,
chumvi haitoshi. Mnyika: Taarifa Mheshimiwa., Mchuzi
unaonekana wa Jana siungi Mkono
Hoja ya Kulipia Chakula hiki.
Tundu Lisu: Mwongozo mwongozo,
Niliagiza kuku wa kienyeji Nimeletewa
wa kizungu silipi, Zito: naomba iundwe tume ya
kuchunguza kama kweli mchele huu ni
wa Mbeya au tumelishwa mchele
kitumbo.
hv...
Wenje: Mwongozo wa Mwenye Hotel,
chumvi haitoshi. Mnyika: Taarifa Mheshimiwa., Mchuzi
unaonekana wa Jana siungi Mkono
Hoja ya Kulipia Chakula hiki.
Tundu Lisu: Mwongozo mwongozo,
Niliagiza kuku wa kienyeji Nimeletewa
wa kizungu silipi, Zito: naomba iundwe tume ya
kuchunguza kama kweli mchele huu ni
wa Mbeya au tumelishwa mchele
kitumbo.