CHADEMA fujo na siasa haviendi pamoja

Mkuu Chadema kukataa matokeo imo kwenye sera za chama angalia tangu Urais , Igunga, Uzini wembe ni ule ule , ni njia moja wapo ya kuonesha kuwa wanaonewa kumbe danganya toto.
Halafu kitu kingine unachotakiwa kujua , hawa jamaa wanaendesha kampeni huku wakifikiria mafungu ya fedha na ndiyo maana matokeo yakishatangazwa tu huwaoni tena pengine tafsiri huja kuwa wamesusia kumbe wanakuwa wamewahi mgawo isije ikatokea wajanja wakawawahi. Unawajua lakini wajanja wa Chama? Unawajua fisi? msosi ukiwa adimu ikatokea mzoga ukasikika sehemu , hiyo vita ya fisi inakuwaje, na wakati mwingine mmoja wao akiwa lege lege anaweza kuliwa yeye. Ndicho kinachofanyika pale CDM.

Anza na Lu kwenye I'd yako isomeke Lusugu halafu wauilize wasukuma waliojirani yako maana yake ni nini.
 
Hiki chama ni cha kisiasa, kwanini kila kukiwa na kampeni mnapenda shari. Sote ni watanzania,twajivunia AMANI iliyoasisiwa na TANU/AFRO SHIRAZI,Mtoto CCM akazidi kuendeleza na wananchi kufurahia ndani ya nchi yao. Ujio wa vyama vingi umeleta vyama vya siasa vilivyo na heshima na vilivyokosa mwelekeo wa amani kama CDM.

Nachukua fursa hii kutoa USHAURI kwa CDM kuwa waachane na siasa za majitaka na ugomvi pale ARUMERU Mashariki, watumie majukwaa kuuza sera zao ambazo zimekataliwa Igunga, Uzini na dalili za Arumeru zinaonyesha CDM watakaa matokeo na kuanzisha fujo.

Tafadhalini Tanzania ni yetu sote, AMANI ni kitambulisho chetu, sasa nyie mnaanzisha fujo kwa manufaa ya nani???

yetu sote my"s"
 
****!

Every 100 graduates CCM gets at most 30 (REDET and SYNOVATE might hesitate to research on it).Young and educated persons do not swallow stuff without questioning. That is what the Mfilili type call 'fujo'.
 
Hiki chama ni cha kisiasa, kwanini kila kukiwa na kampeni mnapenda shari. Sote ni watanzania,twajivunia AMANI iliyoasisiwa na TANU/AFRO SHIRAZI,Mtoto CCM akazidi kuendeleza na wananchi kufurahia ndani ya nchi yao. Ujio wa vyama vingi umeleta vyama vya siasa vilivyo na heshima na vilivyokosa mwelekeo wa amani kama CDM.

Nachukua fursa hii kutoa USHAURI kwa CDM kuwa waachane na siasa za majitaka na ugomvi pale ARUMERU Mashariki, watumie majukwaa kuuza sera zao ambazo zimekataliwa Igunga, Uzini na dalili za Arumeru zinaonyesha CDM watakaa matokeo na kuanzisha fujo.

Tafadhalini Tanzania ni yetu sote, AMANI ni kitambulisho chetu, sasa nyie mnaanzisha fujo kwa manufaa ya nani???

Unajua maana ya Amani wewe? Mtaani kwangu mwisho kutembea saa mbili, is that Amani, hayo ndo madhara ya kuvimbiwa!
 
Kama Tanzania ni yetu sote mbona fedha za mauzo ya TWIGA mimi sikupata?

Mwambie aliyekutuma kuwa aondoe hiyo sentensi ya kuwa Tanzania ni yetu sote kwenye hayo maandishi aliyokukaririsha. Hata hivyo pitia Lumumba ukachukue buku 2 zako....eeh, nilitaka kusahau mwambie ngeleja umeme leo amesahau kukata

Mkuu huku kwetu mbona toka asubuhi wameukata.. Halafu bila ya aibu wanaomba tena kura Arumeru kwa ahadi za uongo..!!
 
Hiki chama ni cha kisiasa, kwanini kila kukiwa na kampeni mnapenda shari. Sote ni watanzania,twajivunia AMANI iliyoasisiwa na TANU/AFRO SHIRAZI,Mtoto CCM akazidi kuendeleza na wananchi kufurahia ndani ya nchi yao. Ujio wa vyama vingi umeleta vyama vya siasa vilivyo na heshima na vilivyokosa mwelekeo wa amani kama CDM.

Nachukua fursa hii kutoa USHAURI kwa CDM kuwa waachane na siasa za majitaka na ugomvi pale ARUMERU Mashariki, watumie majukwaa kuuza sera zao ambazo zimekataliwa Igunga, Uzini na dalili za Arumeru zinaonyesha CDM watakaa matokeo na kuanzisha fujo.

Tafadhalini Tanzania ni yetu sote, AMANI ni kitambulisho chetu, sasa nyie mnaanzisha fujo kwa manufaa ya nani???

Naomba nirekebishe jina lako, unatakiwe uitwe MAFILIFILI sababu kubwa ni kuwa unafanana na huyo mdudu kiakili. Anafanana na funza kama hujapata kumuona.
 
Back
Top Bottom