MAKAMBA BWANA WEWE KAMA SI MWANANCHI MIMI NDO MTANZANIA MKUU WEWE MAKAMBA VIPI!?mMwananchi tumuache aumie , si ndio mkuu ?
Katika kile ambacho viongozi wa CHADEMA wanahaha kukitafuta hata kwa gharama ya kuhatarisha maisha ya wananchi (mfano mauaji ya arusha) na maandamano mbali mbali ya visingizo kibao (mfano maandamano ya mwanza ) ambapo hakuna hata moja lenye mashiko ya hoja ili mradi tu watimize dhamira yao ya kutaka kushika dola ili hali watanzania tuliisha amua kwa ridhaa yetu kukipa chama na kiongozi anae faa kwenye uchaguzi uliopita wa Oktoba 2010.
Hayo yote tisa, kumi ni kuwa sie wananchi hatudanganyiki tena kwa viongozi uchwara wenye uchu wa madaraka, na wenye kuweka maslahi yao binafsi kuliko ya kitaifa. Kwa hiyo hilo wanalo litaka sie wananchi hatuko tayari, wasubiri tena mechi ijayo ya 2015. Hivi sasa mpira umeisha , na washindi wameisha patikana, ushindi wa mezani hakuna kama mlishindwa kuzitumia dkk 90 zenu sawa sawa
Nichangie hayo yaliyoko kwenye red. Sidhani kama umefatilia kwa makini hoja zao kwenye hii mikutano au pengine unaongea kiushabiki au haupo Tanzania kujionea hali kwa uhalisia, kwa kukusaidia hawa jamaa wanafanya maandamano kupinga Mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za maisha, sakata la Dowans ambalo kwa kiasi kikubwa limepelekea tatizo lililopo la umeme na mengineyo (fatilia kwa karibu hoja zo), kwa yote haya Rais amekuwa kimya pasipo kuzungumza lolote kama vile hakuna jambo lolote linalomgusa yeye kama kiongozi wa nchi badala yake kila mtu katika serikali yake anazungumza kile anachokifahamu (rejea baadhi ya mawaziri sakata la Dowans) imefikia wakati mwenyekiti wa kamati ya madini bungeni amekuwa kama msemaji wa serikali juu ya sakata la umeme lililopo na kwa taarifa yako leo ameitisha Public hearing pale Karimjee juu ya sakata hili, je hakuna viongozi husika kufanya hili? Kwa haya yote CDM wamempa Rais siku tisa kuzungumzia juu ya matatizo yanayowakabili hivi sasa vinginevyo wataona ameshindwa kuliongoza taifa hivyo kuitisha maandamano rasmi nchi nzima kumtaka ajiuzulu
kwenye red ya pili, ni kwamba inawezekana wewe binafsi na mimi ndio tuliamua kumchagua Rais kwa ridhaa yetu, lakini usiwasemee watanzania wote maana asilimia ya watu waliopiga kura haifiki hata nusu ya watanzania wote (soma ripoti ya wasimamizi kutoka nje ya nchi iliyotoka hivi karibuni) hivyo si wote waliridhia kumchagua kuwa rais, pia inasemwa kuwa hata mchakato uliotumika kumweka pale haukuwa halali (rejea matukio wakati wa uhesabuji wa kura uliofanywa na Tume ya uchaguzi), kwahiyo unapoongolea suala nyeti kama hili pendelea kutumia umoja badala ya wingi katika kauli zako, si hapa tu hata sehemu zingine.
Katika hiyo red ya tatu, kwa nilivyofuatilia kwa makini toka kuanza kwa maandamano yao sijasikia tamko lao lolote likisema wanataka kuchukua nchi, ama nia yao hiyo ya kutaka kujiuzulu kwa Rais ni kwa manufaa ya Chadema au maslahi yao binafsi bali wanazungumzia maslahi ya taifa kwa ujumla, haibagui dini, rangi wala kabila. Labda kwa kukufahamisha tu ni kuwa wameanza kama Chadema ila mwisho wake utakuwa ni taifa kwa ujumla.
Jamani nani kakwambia cdm wanataka madaraka now kwa hyo mikutano na maandamano ajenda ziko wazi kupinga kupanda kwa gharama za umeme na maisha na malipo kwa kampuni ya dowans wala usitafisiri vingine hata kama wewe ni mwana CCM na kama hayo ktk ajenda yanakugusa ur most welcome come and express ur feelings. Wenye uchu wa madaraka ni viongozi wa CUF kwa hayo wanayoyafanya coz hta ukiwauliza hko ZnZ wanatekeleza ilani gani hawana jibuHakuna mwenye kukataa CHADEMA kufanya mikutano , hilo lajulikana ni shughuli za vyama vya siasa, tatizo lenu ni uroho wa madaraka mlio nao. Uchaguzi umeisha, na viongozi wamepatikana, sasa na nyie mnataka kwa wakati huu huu kushika dola , hilo litawezekana wapi ? acheni kuwa narrow minded !
Jamani nani kakwambia cdm wanataka madaraka now kwa hyo mikutano na maandamano ajenda ziko wazi kupinga kupanda kwa gharama za umeme na maisha na malipo kwa kampuni ya dowans wala usitafisiri vingine hata kama wewe ni mwana CCM na kama hayo ktk ajenda yanakugusa ur most welcome come and express ur feelings. Wenye uchu wa madaraka ni viongozi wa CUF kwa hayo wanayoyafanya coz hta ukiwauliza hko ZnZ wanatekeleza ilani gani hawana jibu
MAKAMBA BWANA WEWE KAMA SI MWANANCHI MIMI NDO MTANZANIA MKUU WEWE MAKAMBA VIPI!?m
Kikwette alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa msukosuko!
Kipindi hicho mkuu wa chuo alikuwa Gideon Sayore, Kikwete alikuwa ni mmoja wakufunzi wa siasa chuoni hapo.
Sasa ilikuwa hivi......
Re: Kikwette alivyoondoka Monduli chuo cha Jeshi kwa msukosuko!
Alipokuwa anaondoka ,alikutana na mwanajeshi mwenzie mfupi kuliko wote wakati huu wakimwita Pimbi wa Monduli Abruhaman Shimbo ......
PJNikiwa Rais wafuatao wakimbie nchi siku hiyo hiyo
Rostam, JK, Manji, EL, Riziwan, Makinda, vijisenti, na kuna vijamaa vingine majina yananitoka maana povu la hasira linanitoka
PJ
Unachafanya hapa ni upumbavu mkubwa, kwanini unatuma scams kwenye thread hii?
Geniusbrain,napata shaka na hili jina lako maana imeonekana dhahiri kuwa wewe si genius,unashindwaje kuelewa kuwa siasa si wakati wa uchaguzi tu bali ni swala endelevu?
Taifa letu linapita katika kipindi kigumu sana,na ni wajibu wa chama cha siasa na wananchi wote kukemea uovu wowote kwa namna yoyote bila kujali kama uchaguzi umeisha au la
Kuhusu allowance ya 350,000 ni uzushi na hujafanya utafiti huna haki ya kuongea
La msingi ni kuwa chadema wanatimiza wajibu wao,na si lazima wewe ukubali maana ukikubali au usipokubali hakubadilishi chochote sisi tutasonga mbele,hata kama wengine watatukebehi,kejeli,au kutukanwa,
sasa ya ukombozi ni sasa
Mimi naona ungeendesha utafiti mdogo uwaulize hao wanaokubali kuandamana, "Je, ni kwa nini viongozi wenu wakiwahamasisha mnakubali kuandamana?" Jibu utakalolipata kutoka kwa wananchi ndio zuri zaidi, kuliko kuja hapa JF kupinga maandamano wakati hao wanaoandamana wengi hawaingii humu. Vinginevyo kila siku utakuwa unalalamikia viongozi wa CHADEMA, na mwisho watu watakuona una upungufu wa mawazo, kumbe kuna kitu unataka kukiweka bayana.Jibuni hoja acheni jazba, ndio tatizo la wanachama/wapenzi/viongozi wa CHADEMA, kwenye hoja nyie mnaleta jazba, pevukeni mawazo !
Katika kile ambacho viongozi wa CHADEMA wanahaha kukitafuta hata kwa gharama ya kuhatarisha maisha ya wananchi (mfano mauaji ya arusha) na maandamano mbali mbali ya visingizo kibao (mfano maandamano ya mwanza ) ambapo hakuna hata moja lenye mashiko ya hoja ili mradi tu watimize dhamira yao ya kutaka kushika dola ili hali watanzania tuliisha amua kwa ridhaa yetu kukipa chama na kiongozi anae faa kwenye uchaguzi uliopita wa Oktoba 2010.
Hayo yote tisa, kumi ni kuwa sie wananchi hatudanganyiki tena kwa viongozi uchwara wenye uchu wa madaraka, na wenye kuweka maslahi yao binafsi kuliko ya kitaifa. Kwa hiyo hilo wanalo litaka sie wananchi hatuko tayari, wasubiri tena mechi ijayo ya 2015. Hivi sasa mpira umeisha , na washindi wameisha patikana, ushindi wa mezani hakuna kama mlishindwa kuzitumia dkk 90 zenu sawa sawa
Katika kile ambacho viongozi wa CHADEMA wanahaha kukitafuta hata kwa gharama ya kuhatarisha maisha ya wananchi (mfano mauaji ya arusha) na maandamano mbali mbali ya visingizo kibao (mfano maandamano ya mwanza ) ambapo hakuna hata moja lenye mashiko ya hoja ili mradi tu watimize dhamira yao ya kutaka kushika dola ili hali watanzania tuliisha amua kwa ridhaa yetu kukipa chama na kiongozi anae faa kwenye uchaguzi uliopita wa Oktoba 2010.
Hayo yote tisa, kumi ni kuwa sie wananchi hatudanganyiki tena kwa viongozi uchwara wenye uchu wa madaraka, na wenye kuweka maslahi yao binafsi kuliko ya kitaifa. Kwa hiyo hilo wanalo litaka sie wananchi hatuko tayari, wasubiri tena mechi ijayo ya 2015. Hivi sasa mpira umeisha , na washindi wameisha patikana, ushindi wa mezani hakuna kama mlishindwa kuzitumia dkk 90 zenu sawa sawa
we genius brain akili yako ipo matakoni kwan unashindwa kusoma alama za nyakat. kwa mpango huo utasababisha mwanao akose mume au mke kwa sababu nani anaetaka kupata wajukuu vilaza kama wewe.
asante bwana makamba tumekusikia... sasa kaa kimya fanya kzai zako za thithiemu, TUACHE CHADEMA na mambo yetu... najua maandamano yamekuchoma ndo maana unahangaika kuupotosha uma wa watanzania